Je, dunia inahitaji dini mpya?

Je, dunia inahitaji dini mpya?

Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana!

Ni wazi maisha yamebadilika sana, dunia imebadilika sana na wanadamu nao wamebadilika sana, vitu karibia vyote vimerahisishwa mno, yaliyokuwa ya sirini mengi yamewekwa bayana.

Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia yamebadili mitazamo ya wengi hasa kwenye mambo yahusuyo Mungu, dini na imani.. Na ndio maana kuna kundi kubwa linalokuwa kwa kasi na kuongezeka linalohoji uwepo wa Mungu ama ambalo haliamini tena katika Mungu.

Kwenye nyumba zote za ibada za imani mbalimbali wamebaki na mapokeo, hakuna ubunifu mpya kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia
Mafundisho ni yaleyale
Mahubiri ni yaleyale
Dua ni zilezile
Mifano ni ileile na mingi ikiwa ni ya uongo ama ya kutunga

Uwezo wa watumishi na viongozi wa dini zote umekuwa na kikomo mno.. Wengi wao wanahubiri wasichoamini na wanaamini wasichohubiri
Mahubiri yamejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia..
Hawana suluhisho ya matatizo yanayowakabili waumini wao

Huwezi kumhubiria mtu kwenda mbinguni wakati
Hana Kazi
Hana hela ya kula
Ana vinyongo na visasi kutokana na dhuluma mbalimbali anazofanyiwa na wenye nguvu
Anamwangalia kiongozi wake wa dini kama tapeli tu, ameshiba, amenona ana siha njema tofauti kabisa na yeye.. Huku mahubiri kwa asilimia 90 yakihubiri utoaji

Viongozi wengi wana migongano na viongozi wenzao ama na waumini wao
Viongozi wengi wana kashfa za rusha
Viongozi wengi wana kashfa za ngono na ushoga
Viongozi wengi wana tuhuma za uchawi na kurogana nknk

Kuna baadhi walichungulia fursa baada ya kuona haya madhaifu, wakaja na option ya dini mbadala za kiroho
Kuhubiri miujiza ya uponyaji
Kuhubiri utajiri kwa njia za miujiza
Kuhubiri kupata kazi kwa njia za miujiza
Kuhubiri ndoa, mahusiano, kupata watoto nknk
Hawa wamevuna mabilioni ya pesa toka kwa waumini na waamini waliochoshwa na mahubiri ya mapokeo.. Lakini kwa bahati mbaya sana nao wameanza kushtukiwa janja janja yao maana nao hawakujipanga vema!

Kuna imani hizi za kishirikina.. Zina wateja kwenye imani zote za dini, viongozi watumishi na hata waumini wao. Ni imani zilizobeba usiri mkubwa na wateja bado wapo.. Hizi uwepo wa maendeleo ya sayansi na teknolojia haujaziathiri sana

Kuna hizi dini mbili kongwe sana.. Viongozi wake wameweza kudhibiti kwa kiasi kikubwa maudhui yake! Ni dini kwa ajili ya wachache wanaochaguliwa kwa umakini mkubwa sana. Sio dini za kila mtu hizi.. Na hizi ndio zinaendesha dunia kwa sasa nazo ni Freemason na Satanism. Hawa wako vizuri sana kwenye pesa elimu na fursa za kiuchumi

Hawa wanatamani sehemu kubwa ya wajinga waamini dini zingine waangamie ili wabaki wao tuu.. Na kuna tetesi za wao kufadhili miradi ya siri kwa ajili yakufanikisha hili

Sasa dini mpya ya ulimwengu ujao ni ipi? Hii inaweza kuja kuwa ni mchanganyiko wa hizi dini zinazomuabudu Mungu mmoja, dini zinazoabudu miungu Satanism na The masons. Na hili litatokea baada ya kuona hakuna upande utaweza kuitawala dunia peke yake bila msaada wa mwenzake.

Penye werevu panahitajika na wapumbavu ili mambo yasonge na ndipo hapo dini mpya itakapozaliwa.

View attachment 2753598
Pole Sana kaka mkubwa. Nakuombea upate nafuu mapema.
 
Dini na Mungu ni vitu viwili visivyokubaliana mkuu.
Mahusiano ya Mungu ni kwa mtu binafsi na kamwe haijawahi kuwa kwa kundi la dini au dhehebu fulani.
Fuatilia watu wote wanaogombewa kuwa Icon za dini zote. Wao hawajawahi kuwa sehemu ya hiyo mifumo ya kidini tofauti na mmoja tu aliyejinasibisha kwa dini ya kiisilamu.
Mwangalie Nuhu hajawahi kuwa na kundi lililojiita kitu fulani zaidi ya uhusiano wake binafsi na Mungu.
Halikadhalika Ibrahimu, Isaac, Yakobo, Musa, Eliya, Isaya, Daudi , Ezekiel, Yeremia, Daniel , Malaki nk, hawakuwahi kujinasibisha na dhehebu lolote kuwapa uhalali wa haki kutoka kwa Mungu.
Hata wanafunzi wa Yesu hawakujulikana kwa dhehebu lolote ila waliitwa wanafunzi wa Kristo yaani Yesu kwa maana ya mkristo akiwajibika kibinafsi kwa Mungu nje ya dhehebu liwalo lote.
Hawa wapigaji wa mwilini kwa kigezo cha dini au dhehemu haina maana yoyote kuwawekea usikivu maana dhawabu yao ni katika fahari ya dunia tu.
Hata Yesu shetani mwenye kuimiliki Babylon system aliwahi kumtega akimwambia ikiwa utanisujudia nitakumilikisha utajiri wa hii dunia. Lakini Yesu alimkatalia kwa hoja kwamba wakuabudiwa ni Mungu peke yake .
Hizi dini na vikundi vyote vya kisiri vimeridhia kumsujudia yule jamaa yaani shetani na amewamilikisha utajiri wa nchi kijinai.
 
Mungu Yupo na hajajificha na anawasiliana na viumbe wake kila kukicha.....
Ana wasiliana nao vipi?

Watu wanakufa na matetemeko ya ardhi huko Morocco na mafuriko huko Libya, Lakini wamelia na kumwomba sana huyo Mungu awasaidie lakini nothing happened...!!!
Sifa zote alizonazo Mungu zipo kwa Mwanadamu
Kama sifa zote alizonazo Mungu zipo kwa mwanadamu,

Kwa nini wanadamu wanashindwa Kuzuia na kudhibiti majanga ya asili kama radi, mafuriko, vimbunga na matetemeko ya ardhi?

Mungu mpole na mwenye Upendo na huruma, Anashindwaje kuzuia majanga haya yasitokee na kuua maelfu ya watu?

Maelfu ya watu walikufa Uturuki, Syria, Morocco na Libya..

Mungu huyo mwenye Upendo yupo kweli?
na wakaandika kabisa sisi ni mfamo wake yeye... na ndio maana pamoja na sifa zake zote bado kupitia mwanadamu ndio tunazithibitisha.. mfamlno.. upole.. kusamehe... hasira... uumbaji....adhabu nk.

hivyo basi namna dini zilivyokufundisha namna ya kumpendeza Mungu sasa anza kumfanyia binadami mwenzako na ziada kwa viumve wengine huku ukiisho kayika maisha ya asili ya Mwanadamu... Majibu utayapata hapa hapa maana Mungu atakua amejidhihirisha kwako Live..
Pende Jirani Yako kama Nafsi yako... Huo ndio Uungu wenyewe.!
 
Dini nyingine si ipo mkuu inaitwa new world order imeanza karne ya 20 for more information about the future world utaipata kwenye kitabu cha new world order mkuu wameelezea kila kitu kuna kitu kinaitwa noble era kwa waliosoma chemistry wanaelewa maana ya noble the noble era will be the ultimate goal of the new world order.

Sent using Jamii Forums mobile app
New world order sio dini ni agenda ya kuitawala Dunia nzima kwa serikali moja. Chini ya mtawala mmoja.
 
"Hivi, wanataka dini nyingine isiyokuwa ya allah, na hali ya kuwa kila kilichomo mbinguni na katika ardhi kimesalimu amri kwake, kwa utiifu au kwa kulazimishwa, na kwake yeye watarejeshwa?!."

Qur'an 3:83
 
Haya ni mapokeo lakini na watu wa kisasa wamechoshwa na mapokeo
Maneno kutoka kwa Muumba wa Kila Kitu (Qur-an) yataendelea kuwepo na wanaoyafuata wapo na wanaendelea kuongezeka. Hao watu wa "kisasa" ambao wamechoshwa na "mapokeo" sijui umemaanisha nini Mshana. Haki kutoka kwa Mola tokea zamani kuna watu wanaipinga wakafuata matamanio ya nafsi zao na wengine wanaifuata hiyo haqq, iko hivyo. Na wala sio kwa sababu sijui sayansi imekuwa sijui nini na nini sijui hawataki mapokeo.

Hata hivyo haqq itashinda tu.

Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Mshana.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.
 
Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Mshana.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana!

Ni wazi maisha yamebadilika sana, dunia imebadilika sana na wanadamu nao wamebadilika sana, vitu karibia vyote vimerahisishwa mno, yaliyokuwa ya sirini mengi yamewekwa bayana.

Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia yamebadili mitazamo ya wengi hasa kwenye mambo yahusuyo Mungu, dini na imani.. Na ndio maana kuna kundi kubwa linalokuwa kwa kasi na kuongezeka linalohoji uwepo wa Mungu ama ambalo haliamini tena katika Mungu.

Kwenye nyumba zote za ibada za imani mbalimbali wamebaki na mapokeo, hakuna ubunifu mpya kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia
Mafundisho ni yaleyale
Mahubiri ni yaleyale
Dua ni zilezile
Mifano ni ileile na mingi ikiwa ni ya uongo ama ya kutunga

Uwezo wa watumishi na viongozi wa dini zote umekuwa na kikomo mno.. Wengi wao wanahubiri wasichoamini na wanaamini wasichohubiri
Mahubiri yamejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia..
Hawana suluhisho ya matatizo yanayowakabili waumini wao

Huwezi kumhubiria mtu kwenda mbinguni wakati
Hana Kazi
Hana hela ya kula
Ana vinyongo na visasi kutokana na dhuluma mbalimbali anazofanyiwa na wenye nguvu
Anamwangalia kiongozi wake wa dini kama tapeli tu, ameshiba, amenona ana siha njema tofauti kabisa na yeye.. Huku mahubiri kwa asilimia 90 yakihubiri utoaji

Viongozi wengi wana migongano na viongozi wenzao ama na waumini wao
Viongozi wengi wana kashfa za rusha
Viongozi wengi wana kashfa za ngono na ushoga
Viongozi wengi wana tuhuma za uchawi na kurogana nknk

Kuna baadhi walichungulia fursa baada ya kuona haya madhaifu, wakaja na option ya dini mbadala za kiroho
Kuhubiri miujiza ya uponyaji
Kuhubiri utajiri kwa njia za miujiza
Kuhubiri kupata kazi kwa njia za miujiza
Kuhubiri ndoa, mahusiano, kupata watoto nknk
Hawa wamevuna mabilioni ya pesa toka kwa waumini na waamini waliochoshwa na mahubiri ya mapokeo.. Lakini kwa bahati mbaya sana nao wameanza kushtukiwa janja janja yao maana nao hawakujipanga vema!

Kuna imani hizi za kishirikina.. Zina wateja kwenye imani zote za dini, viongozi watumishi na hata waumini wao. Ni imani zilizobeba usiri mkubwa na wateja bado wapo.. Hizi uwepo wa maendeleo ya sayansi na teknolojia haujaziathiri sana

Kuna hizi dini mbili kongwe sana.. Viongozi wake wameweza kudhibiti kwa kiasi kikubwa maudhui yake! Ni dini kwa ajili ya wachache wanaochaguliwa kwa umakini mkubwa sana. Sio dini za kila mtu hizi.. Na hizi ndio zinaendesha dunia kwa sasa nazo ni Freemason na Satanism. Hawa wako vizuri sana kwenye pesa elimu na fursa za kiuchumi

Hawa wanatamani sehemu kubwa ya wajinga waamini dini zingine waangamie ili wabaki wao tuu.. Na kuna tetesi za wao kufadhili miradi ya siri kwa ajili yakufanikisha hili

Sasa dini mpya ya ulimwengu ujao ni ipi? Hii inaweza kuja kuwa ni mchanganyiko wa hizi dini zinazomuabudu Mungu mmoja, dini zinazoabudu miungu Satanism na The masons. Na hili litatokea baada ya kuona hakuna upande utaweza kuitawala dunia peke yake bila msaada wa mwenzake.

Penye werevu panahitajika na wapumbavu ili mambo yasonge na ndipo hapo dini mpya itakapozaliwa.

View attachment 2753598

Ukipata wasaa pitia Psalm 14.
 
Maneno kutoka kwa Muumba wa Kila Kitu (Qur-an) yataendelea kuwepo na wanaoyafuata wapo na wanaendelea kuongezeka. Hao watu wa "kisasa" ambao wamechoshwa na "mapokeo" sijui umemaanisha nini Mshana. Haki kutoka kwa Mola tokea zamani kuna watu wanaipinga wakafuata matamanio ya nafsi zao na wengine wanaifuata hiyo haqq, iko hivyo. Na wala sio kwa sababu sijui sayansi imekuwa sijui nini na nini sijui hawataki mapokeo.

Hata hivyo haqq itashinda tu.

Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Mshana.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.
One millions likes!

from 50thebe
 
Ukipata wasaa pitia Psalm 14.
ZABURI 14
Uovu wa watu
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi)
1 Wapumbavu hujisemea moyoni:
“Hakuna Mungu.”
Wote wamepotoka kabisa,
wametenda mambo ya kuchukiza;
hakuna hata mmoja atendaye jema!

2Mwenyezi-Mungu anawaangalia wanadamu kutoka mbinguni,
aone kama kuna yeyote mwenye busara,
kama kuna yeyote anayemtafuta Mungu.

3Lakini wote wamekosa,
wote wamepotoka pamoja;
hakuna atendaye mema,
hakuna hata mmoja.

4“Je, hao watendao maovu hawana akili?
Wanawatafuna watu wangu kama mikate;
wala hawanijali mimi Mwenyezi-Mungu.”

5Hapo watashikwa na hofu kubwa,
maana Mungu yu pamoja na waadilifu.

6Unaweza kuvuruga mipango ya maskini,
lakini Mwenyezi-Mungu ndiye kimbilio lake.

7Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni!
Mwenyezi-Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake,
wazawa wa Yakobo watashangilia;
Waisraeli watafurahi.

English version ndio inabamba zaidi!

Foolishness and Wickedness of People.​

For the music director. A Psalm of David.​

14 The fool has said in his heart, “There is no God.”
They are corrupt, they have committed detestable acts;
There is no one who does good
.

2 The Lord has looked down from heaven upon the sons of mankind
To see if there are any who [a]understand,
Who seek God.

3 They have all turned aside, together they are corrupt;
There is no one who does good, not even one.

4 Do all the workers of injustice not know,
Who devour my people as they eat bread,
And do not call upon the Lord?

5 There they are in great dread,
For God is with a righteous generation.

6 You would put to shame the plan of the poor,
But the Lord is his refuge.

7 Oh, that the salvation of Israel would come out of Zion!
When the Lord restores the fortunes of His people,
Jacob will rejoice, Israel will be glad.

My take:
Andiko la miaka elfu kadhaa iliyopita linathibitisha uwepo wa ujinga na wajinga na mtazamo wao kuhusu Mungu.

Ndio kusema, yanayotukia na kutokea Leo hii (zama hizi) sio matukio mapya na sio utukizi (new incidences).

Nikitakie heri.
 
Ndio kusema, yanayotukia na kutokea Leo hii (zama hizi) sio matukio mapya na sio utukizi (new incidences).[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie jizuzueni ila kaeni mkijua hapo awali mlikua si wenye kutajika dunian ,,na mmejikuta tu hapa kila kitu ulimwenguni kina misingi yake hakuna cha bahati mbaya kila kitu kina mfumo sasa unachopaswa kujua ni kutafuta mfumo sahihi ambao alioueka yule alieikarabati dunia
 
Wanakwambia wameuchoka wanataka wa kisasa zaidi, wanadamu ni waovu mno.
 
Back
Top Bottom