Je, dunia inahitaji dini mpya?

Je, dunia inahitaji dini mpya?

Padri mmoja aliulizwa na kijana mmoja kuhusu uwepo wa Mungu akajibu hata yeye hajui kama yupo. Kuna dini imekuwa na misimamo mikali ya kutokubadilika tangu kale nayo imeanza kumomonyoka, ni suala la muda tu waumini wake wataachana nayo na kujua kuwa ilikuwa ni uongo na ulaghai tu. Nachunguza hamasa kwenye dini mbalimbali zinazoonekana ni smart naona hakuna tena mahudhurio makubwa kama zamani, watu wako bize na mambo yao ya shughuli zao. Haya mambo yalitabiriwa hayana budi kutokea. Ni muelekeo wa zama za mpangilio wa ulimwengu mpya
Hivi kama Mungu yupo, kwa nini ajifiche?

Anacho ogopa kujulikana ni nini?

Kama Mungu ni muweza wa yote, Akijulikana hadharani kwamba yupo itabadilisha nini yeye kuwa Mungu?

Kwa nini awa achie viumbe wake sintofahamu kubwa na utata kuhusu uwepo wake?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele,

Alishindwaje kuumba Binadamu wasio na ufahamu wa kutomtambua yeye Hayupo na Aka tambuliwa na watu wote Yupo kwa wakati wote pasipo utata?
 
Mungu Yupo na hajajificha na anawasiliana na viumbe wake kila kukicha.....

Sifa zote alizonazo Mungu zipo kwa Mwanadamu na wakaandika kabisa sisi ni mfamo wake yeye... na ndio maana pamoja na sifa zake zote bado kupitia mwanadamu ndio tunazithibitisha.. mfamlno.. upole.. kusamehe... hasira... uumbaji....adhabu nk.

hivyo basi namna dini zilivyokufundisha namna ya kumpendeza Mungu sasa anza kumfanyia binadami mwenzako na ziada kwa viumve wengine huku ukiisho kayika maisha ya asili ya Mwanadamu... Majibu utayapata hapa hapa maana Mungu atakua amejidhihirisha kwako Live..
Pende Jirani Yako kama Nafsi yako... Huo ndio Uungu wenyewe.!
 
Haya tunayoyaona na mengine mengi ambayo bado hatujayaona yalikuwepo tangu enzi hizo,
Hixo simu inazotumia hazikuwepo enzi hizo.
Magari, ndege, viwanda havikuwepo ktk enzi. Dini hazikuweza kutabiri haya maajabu yaliopo sasa.
Kwangu mimi Science ndio dini itakayotawala na inayotawala sasa.
Hata viongozi wa dini wanafuata matakwa ya wanasayansi.
Uzuri wanasayansi huwa hawajikwezi kama wanadini.
Wanasayansi hufungua mlango kwa wajao wanadini wameufunga mlango kwa wajao.
Mfano dini hazikujua kama kutakuja gonjwa la VVU hivyo hawana suluhisho la kujikinga zaidi ya kukemea usizini, wajati kuzini ni hitaji la kibailojia wala si la kijamii.
Matokeo yake kiongozi wa dini anakaa kimya binadamu anaumwa anamwambia kavunja amri ya sita.
Mwanasayansi kaunda condom kazuia ueneaji wa VVU. Huu ni mfano mdogo tu.
 
Mungu Yupo na hajajificha na anawasiliana na viumbe wake kila kukicha.....

Sifa zote alizonazo Mungu zipo kwa Mwanadamu na wakaandika kabisa sisi ni mfamo wake yeye... na ndio maana pamoja na sifa zake zote bado kupitia mwanadamu ndio tunazithibitisha.. mfamlno.. upole.. kusamehe... hasira... uumbaji....adhabu nk.

hivyo basi namna dini zilivyokufundisha namna ya kumpendeza Mungu sasa anza kumfanyia binadami mwenzako na ziada kwa viumve wengine huku ukiisho kayika maisha ya asili ya Mwanadamu... Majibu utayapata hapa hapa maana Mungu atakua amejidhihirisha kwako Live..
Pende Jirani Yako kama Nafsi yako... Huo ndio Uungu wenyewe.!
Umeelewa vizuri hoja ya Infropreneur ...?
 
Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana!

Ni wazi maisha yamebadilika sana, dunia imebadilika sana na wanadamu nao wamebadilika sana, vitu karibia vyote vimerahisishwa mno, yaliyokuwa ya sirini mengi yamewekwa bayana.

Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia yamebadili mitazamo ya wengi hasa kwenye mambo yahusuyo Mungu, dini na imani.. Na ndio maana kuna kundi kubwa linalokuwa kwa kasi na kuongezeka linalohoji uwepo wa Mungu ama ambalo haliamini tena katika Mungu.

Kwenye nyumba zote za ibada za imani mbalimbali wamebaki na mapokeo, hakuna ubunifu mpya kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia
Mafundisho ni yaleyale
Mahubiri ni yaleyale
Dua ni zilezile
Mifano ni ileile na mingi ikiwa ni ya uongo ama ya kutunga

Uwezo wa watumishi na viongozi wa dini zote umekuwa na kikomo mno.. Wengi wao wanahubiri wasichoamini na wanaamini wasichohubiri
Mahubiri yamejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia..
Hawana suluhisho ya matatizo yanayowakabili waumini wao

Huwezi kumhubiria mtu kwenda mbinguni wakati
Hana Kazi
Hana hela ya kula
Ana vinyongo na visasi kutokana na dhuluma mbalimbali anazofanyiwa na wenye nguvu
Anamwangalia kiongozi wake wa dini kama tapeli tu, ameshiba, amenona ana siha njema tofauti kabisa na yeye.. Huku mahubiri kwa asilimia 90 yakihubiri utoaji

Viongozi wengi wana migongano na viongozi wenzao ama na waumini wao
Viongozi wengi wana kashfa za rusha
Viongozi wengi wana kashfa za ngono na ushoga
Viongozi wengi wana tuhuma za uchawi na kurogana nknk

Kuna baadhi walichungulia fursa baada ya kuona haya madhaifu, wakaja na option ya dini mbadala za kiroho
Kuhubiri miujiza ya uponyaji
Kuhubiri utajiri kwa njia za miujiza
Kuhubiri kupata kazi kwa njia za miujiza
Kuhubiri ndoa, mahusiano, kupata watoto nknk
Hawa wamevuna mabilioni ya pesa toka kwa waumini na waamini waliochoshwa na mahubiri ya mapokeo.. Lakini kwa bahati mbaya sana nao wameanza kushtukiwa janja janja yao maana nao hawakujipanga vema!

Kuna imani hizi za kishirikina.. Zina wateja kwenye imani zote za dini, viongozi watumishi na hata waumini wao. Ni imani zilizobeba usiri mkubwa na wateja bado wapo.. Hizi uwepo wa maendeleo ya sayansi na teknolojia haujaziathiri sana

Kuna hizi dini mbili kongwe sana.. Viongozi wake wameweza kudhibiti kwa kiasi kikubwa maudhui yake! Ni dini kwa ajili ya wachache wanaochaguliwa kwa umakini mkubwa sana. Sio dini za kila mtu hizi.. Na hizi ndio zinaendesha dunia kwa sasa nazo ni Freemason na Satanism. Hawa wako vizuri sana kwenye pesa elimu na fursa za kiuchumi

Hawa wanatamani sehemu kubwa ya wajinga waamini dini zingine waangamie ili wabaki wao tuu.. Na kuna tetesi za wao kufadhili miradi ya siri kwa ajili yakufanikisha hili

Sasa dini mpya ya ulimwengu ujao ni ipi? Hii inaweza kuja kuwa ni mchanganyiko wa hizi dini zinazomuabudu Mungu mmoja, dini zinazoabudu miungu Satanism na The masons. Na hili litatokea baada ya kuona hakuna upande utaweza kuitawala dunia peke yake bila msaada wa mwenzake.

Penye werevu panahitajika na wapumbavu ili mambo yasonge na ndipo hapo dini mpya itakapozaliwa.

View attachment 2753598
Wajinga na werevu wote wanatakiwa ili mambo yaende, bila hivyo mambo hayawezi kwenda kwenye hii dunia ya fujo
 
Dini ni upumbavu mkubwa kuwahi kuwapo hapa duniani dunia haiitaji tena waathirika wengine wa madawa ya kulevya ya dini waliopo wanatosha.
Changamoto ya dini ni kwamba imeshikilia kipengele cha umoja, uhai wa dini upo kwenye ushirikiano wa moyo siyo kiakili na kiufahamu, ndiyo maana unaona matatizo mengi yanatokea na wajinga ndiyo wanaoliwa. Ndiyo maana unaona aliyelala akiamka anawavuta na wengine wamfuate ila hao wanakuwa chakula chake labda awe na moyo wa dhati. Dini ni kifungo kibaya sana
 
Hivi kama Mungu yupo, kwa nini ajifiche?

Anacho ogopa kujulikana ni nini?

Kama Mungu ni muweza wa yote, Akijulikana hadharani kwamba yupo itabadilisha nini yeye kuwa Mungu?

Kwa nini awa achie viumbe wake sintofahamu kubwa na utata kuhusu uwepo wake?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele,

Alishindwaje kuumba Binadamu wasio na ufahamu wa kutomtambua yeye Hayupo na Aka tambuliwa na watu wote Yupo kwa wakati wote pasipo utata?
Hapa tuelimishane kidogo Mungu ni roho sio mwili ila wengi hudhani Mungu ni mwili na huko mbinguni ni sehemu visible.. Hata ufufuko wa siku ya mwisho (kama upo) ni wa kiroho sio wa kimwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipojitahidi kuuelewa ulimwengu wa kiroho japo kwa kupapasa tu, ni vigumu sana kukubaliana na haya mambo. Mfano ni bustani ya Eden
 
Hahaha unaweza ukauliza swali kwa nasibu tu linalozidi uelewa wako na ukapata jibu linalokuongezea utata na maswali zaidi. Ili upate kuelewa ni vema uwe radhi kujifunza kwa uvumilivu na kutenga muda wa kutosha
Si unakumbuka Kaini baada ya kumuua nduguye Abel Mungu alifukuza na,kumwambia aende wapi!? Na huko akaoa! Ina maana kulikuwa na dunia nyingine.. Hili nitalifafanua vizuri kwenye post kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana!

Ni wazi maisha yamebadilika sana, dunia imebadilika sana na wanadamu nao wamebadilika sana, vitu karibia vyote vimerahisishwa mno, yaliyokuwa ya sirini mengi yamewekwa bayana.

Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia yamebadili mitazamo ya wengi hasa kwenye mambo yahusuyo Mungu, dini na imani.. Na ndio maana kuna kundi kubwa linalokuwa kwa kasi na kuongezeka linalohoji uwepo wa Mungu ama ambalo haliamini tena katika Mungu.

Kwenye nyumba zote za ibada za imani mbalimbali wamebaki na mapokeo, hakuna ubunifu mpya kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia
Mafundisho ni yaleyale
Mahubiri ni yaleyale
Dua ni zilezile
Mifano ni ileile na mingi ikiwa ni ya uongo ama ya kutunga

Uwezo wa watumishi na viongozi wa dini zote umekuwa na kikomo mno.. Wengi wao wanahubiri wasichoamini na wanaamini wasichohubiri
Mahubiri yamejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia..
Hawana suluhisho ya matatizo yanayowakabili waumini wao

Huwezi kumhubiria mtu kwenda mbinguni wakati
Hana Kazi
Hana hela ya kula
Ana vinyongo na visasi kutokana na dhuluma mbalimbali anazofanyiwa na wenye nguvu
Anamwangalia kiongozi wake wa dini kama tapeli tu, ameshiba, amenona ana siha njema tofauti kabisa na yeye.. Huku mahubiri kwa asilimia 90 yakihubiri utoaji

Viongozi wengi wana migongano na viongozi wenzao ama na waumini wao
Viongozi wengi wana kashfa za rusha
Viongozi wengi wana kashfa za ngono na ushoga
Viongozi wengi wana tuhuma za uchawi na kurogana nknk

Kuna baadhi walichungulia fursa baada ya kuona haya madhaifu, wakaja na option ya dini mbadala za kiroho
Kuhubiri miujiza ya uponyaji
Kuhubiri utajiri kwa njia za miujiza
Kuhubiri kupata kazi kwa njia za miujiza
Kuhubiri ndoa, mahusiano, kupata watoto nknk
Hawa wamevuna mabilioni ya pesa toka kwa waumini na waamini waliochoshwa na mahubiri ya mapokeo.. Lakini kwa bahati mbaya sana nao wameanza kushtukiwa janja janja yao maana nao hawakujipanga vema!

Kuna imani hizi za kishirikina.. Zina wateja kwenye imani zote za dini, viongozi watumishi na hata waumini wao. Ni imani zilizobeba usiri mkubwa na wateja bado wapo.. Hizi uwepo wa maendeleo ya sayansi na teknolojia haujaziathiri sana

Kuna hizi dini mbili kongwe sana.. Viongozi wake wameweza kudhibiti kwa kiasi kikubwa maudhui yake! Ni dini kwa ajili ya wachache wanaochaguliwa kwa umakini mkubwa sana. Sio dini za kila mtu hizi.. Na hizi ndio zinaendesha dunia kwa sasa nazo ni Freemason na Satanism. Hawa wako vizuri sana kwenye pesa elimu na fursa za kiuchumi

Hawa wanatamani sehemu kubwa ya wajinga waamini dini zingine waangamie ili wabaki wao tuu.. Na kuna tetesi za wao kufadhili miradi ya siri kwa ajili yakufanikisha hili

Sasa dini mpya ya ulimwengu ujao ni ipi? Hii inaweza kuja kuwa ni mchanganyiko wa hizi dini zinazomuabudu Mungu mmoja, dini zinazoabudu miungu Satanism na The masons. Na hili litatokea baada ya kuona hakuna upande utaweza kuitawala dunia peke yake bila msaada wa mwenzake.

Penye werevu panahitajika na wapumbavu ili mambo yasonge na ndipo hapo dini mpya itakapozaliwa.

View attachment 2753598
Naunga mkono hoja 👍 yule jamaa wa mafuta na maji ni tapeli na ni mwizi kabisa ni mtume fake kabisa
 
Back
Top Bottom