Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,348
- 8,254
🤣🤣🤣Kwa vizazi vilivyopo duniani kwa sasa wengi wao wanaamini katika inner self...na kama hio ndio case iliyopo mezani maybe then dini iliyopo kwa sasa ni liberty....

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine. Period.Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana!
Ni wazi maisha yamebadilika sana, dunia imebadilika sana na wanadamu nao wamebadilika sana, vitu karibia vyote vimerahisishwa mno, yaliyokuwa ya sirini mengi yamewekwa bayana.
Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia yamebadili mitazamo ya wengi hasa kwenye mambo yahusuyo Mungu, dini na imani.. Na ndio maana kuna kundi kubwa linalokuwa kwa kasi na kuongezeka linalohoji uwepo wa Mungu ama ambalo haliamini tena katika Mungu.
Kwenye nyumba zote za ibada za imani mbalimbali wamebaki na mapokeo, hakuna ubunifu mpya kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia
Mafundisho ni yaleyale
Mahubiri ni yaleyale
Dua ni zilezile
Mifano ni ileile na mingi ikiwa ni ya uongo ama ya kutunga
Uwezo wa watumishi na viongozi wa dini zote umekuwa na kikomo mno.. Wengi wao wanahubiri wasichoamini na wanaamini wasichohubiri
Mahubiri yamejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia..
Hawana suluhisho ya matatizo yanayowakabili waumini wao
Huwezi kumhubiria mtu kwenda mbinguni wakati
Hana Kazi
Hana hela ya kula
Ana vinyongo na visasi kutokana na dhuluma mbalimbali anazofanyiwa na wenye nguvu
Anamwangalia kiongozi wake wa dini kama tapeli tu, ameshiba, amenona ana siha njema tofauti kabisa na yeye.. Huku mahubiri kwa asilimia 90 yakihubiri utoaji
Viongozi wengi wana migongano na viongozi wenzao ama na waumini wao
Viongozi wengi wana kashfa za rusha
Viongozi wengi wana kashfa za ngono na ushoga
Viongozi wengi wana tuhuma za uchawi na kurogana nknk
Kuna baadhi walichungulia fursa baada ya kuona haya madhaifu, wakaja na option ya dini mbadala za kiroho
Kuhubiri miujiza ya uponyaji
Kuhubiri utajiri kwa njia za miujiza
Kuhubiri kupata kazi kwa njia za miujiza
Kuhubiri ndoa, mahusiano, kupata watoto nknk
Hawa wamevuna mabilioni ya pesa toka kwa waumini na waamini waliochoshwa na mahubiri ya mapokeo.. Lakini kwa bahati mbaya sana nao wameanza kushtukiwa janja janja yao maana nao hawakujipanga vema!
Kuna imani hizi za kishirikina.. Zina wateja kwenye imani zote za dini, viongozi watumishi na hata waumini wao. Ni imani zilizobeba usiri mkubwa na wateja bado wapo.. Hizi uwepo wa maendeleo ya sayansi na teknolojia haujaziathiri sana
Kuna hizi dini mbili kongwe sana.. Viongozi wake wameweza kudhibiti kwa kiasi kikubwa maudhui yake! Ni dini kwa ajili ya wachache wanaochaguliwa kwa umakini mkubwa sana. Sio dini za kila mtu hizi.. Na hizi ndio zinaendesha dunia kwa sasa nazo ni Freemason na Satanism. Hawa wako vizuri sana kwenye pesa elimu na fursa za kiuchumi
Hawa wanatamani sehemu kubwa ya wajinga waamini dini zingine waangamie ili wabaki wao tuu.. Na kuna tetesi za wao kufadhili miradi ya siri kwa ajili yakufanikisha hili
Sasa dini mpya ya ulimwengu ujao ni ipi? Hii inaweza kuja kuwa ni mchanganyiko wa hizi dini zinazomuabudu Mungu mmoja, dini zinazoabudu miungu Satanism na The masons. Na hili litatokea baada ya kuona hakuna upande utaweza kuitawala dunia peke yake bila msaada wa mwenzake.
Penye werevu panahitajika na wapumbavu ili mambo yasonge na ndipo hapo dini mpya itakapozaliwa.
View attachment 2753598
😆😆😆😆😆Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana!

Ila kwer kwa zile sadaka zinaendaga wapi kutoa kwa awamu tatu famasiala nini🤣Dini ni utapeli kama utapeli mwingine. Period.