Je, deep state ya Tanzania inamtaka nani awe Rais?

Hata Iddy Amin alikuwepo na wafuasi ivi ivi president for life lakini alipo pata kisanga mbwambwa wote wakamkimbia
 
Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Magu amekuwa kituko cha taifa ni aibu kabisa.
 
Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Deep State ni mnyama gani mkuu,hebu weka wazi,mbona unatuuzia mbuzi kweñye gunia?
 
Nasikia wako arobaini sijui,mimi nawaambia tu wakae wakijua nchi yetu deep state ni waomba Mungu tu,na kudhihirisha mamlaka yake kupitia watu wake,nawaambieni kuanzia sasa mpaka 2022 yatatokea mengi sana na hao ds hawatakuwa na la kufanya,na huo mwaka wa 2022 Mungu atadhihirisha wokovu wake kwa taifa.Nimemaliza.

Imebaki miaka miwili, nafatilia kwa karibu
 
Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Hakuna Deep State Tanzania
 
Hilo swali uliza 2025!

Hao DS wana nguvu ya ku-controll jini likiwa ndani ya chupa tu,wakilitoa nje lenyewe ndo linawa-controll kwa miaka 10.
Mbona sasa yakatokea ya kutokea March 17 mwaka mmoja baada ya uchaguzi?
 
Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Deep state ya kisengerema tu kama ilishindwa kujua mtu ana cheti cha Mirembe. We don't need them. Useless 🚮
 
Back
Top Bottom