Je, deep state ya Tanzania inamtaka nani awe Rais?

Je, deep state ya Tanzania inamtaka nani awe Rais?

Hilo swali uliza 2025!

Hao DS wana nguvu ya ku-controll jini likiwa ndani ya chupa tu,wakilitoa nje lenyewe ndo linawa-controll kwa miaka 10.
Hahahahahah teh teh teh

iwe ndani, pembeni au juu ya chupa remote control ya jini nguvu yake ni ile ile
 
Back
Top Bottom