You know nothing you ass!!they made a huge mistake in 2015. Tanzania is no place for hate like it has been in the past 5 years. we are a Simba na Yanga nation, we urgue but never hate, kidnap or kill each other.
You know nothing you ass!!they made a huge mistake in 2015. Tanzania is no place for hate like it has been in the past 5 years. we are a Simba na Yanga nation, we urgue but never hate, kidnap or kill each other.
Full stop!Kwanza ni mwalimu wa Kemia.
Pili ni kwamba hearsay za Deep State hauna getway yake na hakuna humu atakayekusaidia kwenye hilo labda dare devils wakijitokeza kukupotosha
Hahaha kwa hiyo Anco Ben amepigwa overtake kama ambavyo yeye alimu overtake mchonga mwaka 1999Mmoja katangulia ina semekana at least alikua na powers ya kugeuza mambo 2020
True before 2016 we used to live in peace and harmony, no unknown criminal and no hating each othersthey made a huge mistake in 2015. Tanzania is no place for hate like it has been in the past 5 years. we are a Simba na Yanga nation, we urgue but never hate, kidnap or kill each other.
Hakuna Mwalimu wa mathematics aliyewahi tawala Tanzania una ujinga wa kukutosha kichwani mleta mada.Magufuli Alikuwa Mwalimu wa kemia Huna akili ya kuongelea mambo ya deep state mjinga weweBaada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Hakuna Mwalimu wa mathematics aliyewahi tawala Tanzania una ujinga wa kukutosha kichwani mleta mada.Magufuli Alikuwa Mwalimu wa kemia Huna akili ya kuongelea mambo ya deep state mjinga wewe
Swali la kijinga sanaBaada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Tena kwa aibu kubwa anafanya kazi katika kampuni ya naibu waziri wa wizara flani .Acha ndoto kama hizi unajidhalilisha
Chadema mumebobea kwenye ujinga kasome katiba ya Nchi hairuhusu serikali ya mseto !!! Pili Lisu ahangaike kupitishwa na chama chake Chadema mbona anaruka ruka Kama chura kawrkwa chungu chenye mafuta ya Moto!!!Rais ni John Pombe Magufuli. Tundu Lisu waziri mkuu!.
Vilaza walio zoea maisha ya bweleleeeeeee bweleleeeeeee, jua linawachoma hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Wanaongea kila lugha, hii mpaka 2020 lazima ukilaza uwatoke.Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
Tena sio mwalimu wa kemia tu ni bingwa wa kemia. Mtu mwenye bachelor ya Kemia na hesabu kisha masters ya kemia kisha Doctorate ya Kemia. Sio mtu wa kawaida huyo. Huyo ni bingwa wa kemia.Hakuna Mwalimu wa mathematics aliyewahi tawala Tanzania una ujinga wa kukutosha kichwani mleta mada.Magufuli Alikuwa Mwalimu wa kemia Huna akili ya kuongelea mambo ya deep state mjinga wewe
Chadema mumebobea kwenye ujinga kasome katiba ya Nchi hairuhusu serikali ya mseto !!! Pili Lisu ahangaike kupitishwa na chama chake Chadema mbona anaruka ruka Kama chura kawrkwa chungu chenye mafuta ya Moto!!!
Sasa a concentrate kwenye uchaguzi ndani ya Chadema ugombea Uraisi maji marefu kwake . Magufuli keshavuka hicho kiunzi
Taarifa zilizopo zinasema Tundu Lisu anaumwa Yuko hoi Baada ya kukiuka masharti ya daktari ya kutosimama muda mrefu Yeye akajifanya kidume kasimama masaa kibao toka airport kwenye gari la wazi .Sasa miguu imemgomea kuinuka ananyaliwa Kama na winchi akitaka kuinuka.Watu wanatakiwa kumshika mabega!!!
Chadema Wana roho ngumu mbaya hawajali wagonjwa hata Lowasa walimtembeza Hivyo hivyo bila kujali afya
Sasa Lisu akikaa hawezi inuka Yuko kwenye Isolation. Akihangaika kurudisha uwezo wake wa kutembea sasa hivi Ni mtu wa wheel chair!!! Chadema wanaficha lakini viongozi wa juu wakon concerned na hali yake .Wakiwaza arudishwe ubelgiji au apelekwe mama cheza muhimbili?
Sure!!Toa boriti jichoni kwako kwanza ndio uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio
Mnaogopa hata ndoto ama kweli ujinga ni mtaji wa ccmAcha ndoto kama hizi unajidhalilisha