Je, deep state ya Tanzania inamtaka nani awe Rais?

Tanzania deep state alikuwa ni mtu mmoja tu na ndo huyo anapumzishwa Lupaso Mtwara saivi.

From Now Anyone can become a president na October Tundu Antipas Lissu anaenda kuchukua nchi.
Exactly, hakuna deep state Tz ila marehemu alikuwa na uwezo na nguvu katika mambo ya kitaifa kama ya mgombea urais n.k bila nguvu yake huyu wa sasa wa asingekuwa Rais.
 
they made a huge mistake in 2015. Tanzania is no place for hate like it has been in the past 5 years. we are a Simba na Yanga nation, we urgue but never hate, kidnap or kill each other.
Ajabu sana wanakosaje profile mpaka mtu anafika mbali . With all due respect, yani tena sana tu mara 100 heshma lakini hii ni one of their biggest failure in Tz history.
 
Chadema mumebobea kwenye ujinga kasome katiba ya Nchi hairuhusu serikali ya mseto !!! Pili Lisu ahangaike kupitishwa na chama chake Chadema mbona anaruka ruka Kama chura kawrkwa chungu chenye mafuta ya Moto!!!

Sasa a concentrate kwenye uchaguzi ndani ya Chadema ugombea Uraisi maji marefu kwake . Magufuli keshavuka hicho kiunzi

Taarifa zilizopo zinasema Tundu Lisu anaumwa Yuko hoi Baada ya kukiuka masharti ya daktari ya kutosimama muda mrefu Yeye akajifanya kidume kasimama masaa kibao toka airport kwenye gari la wazi .Sasa miguu imemgomea kuinuka ananyaliwa Kama na winchi akitaka kuinuka.Watu wanatakiwa kumshika mabega!!!

Chadema Wana roho ngumu mbaya hawajali wagonjwa hata Lowasa walimtembeza Hivyo hivyo bila kujali afya

Sasa Lisu akikaa hawezi inuka Yuko kwenye Isolation. Akihangaika kurudisha uwezo wake wa kutembea sasa hivi Ni mtu wa wheel chair!!! Chadema wanaficha lakini viongozi wa juu wakon concerned na hali yake .Wakiwaza arudishwe ubelgiji au apelekwe mama cheza muhimbili?

Yaani watu wengine hata kuwajibu hivyo paragraph nyingi unaona uvivu

Eti TL awe PM kwanza PM lazima awe mbunge wa kuchaguliwa TL akagombee kwanza na mtaturu kukidhi hilo takwa kabla hata hatujafikiria serikali mseto😄😄
 
Hakuna cha deep state wala mama yake deep state. Weka Tume Huru Watanzania tutaamua ni nani anayestahili kuwa Rais.

1596138317732.jpeg

Baada ya chama kugawika makundi makundi deep state iliamua kumpitisha mwalimu wa mathematics kuwa mgombea na hatimaye kuwa amiri jeshi mkuu , miaka mitano inaisha je, deep state walipatia au walikosea kuwekeka mwalimu wa mathematics
 
Nasikia wako arobaini sijui,mimi nawaambia tu wakae wakijua nchi yetu deep state ni waomba Mungu tu,na kudhihirisha mamlaka yake kupitia watu wake,nawaambieni kuanzia sasa mpaka 2022 yatatokea mengi sana na hao ds hawatakuwa na la kufanya,na huo mwaka wa 2022 Mungu atadhihirisha wokovu wake kwa taifa.Nimemaliza.
 
Hilo swali uliza 2025!

Hao DS wana nguvu ya ku-controll jini likiwa ndani ya chupa tu,wakilitoa nje lenyewe ndo linawa-controll kwa miaka 10.
Mungu anaweza kumhitaji kabla hiyo miaka 10 haijatimia DS wamejiaandaje?
R.I.P Nkurunziza
 
Nasikia wako arobaini sijui,mimi nawaambia tu wakae wakijua nchi yetu deep state ni waomba Mungu tu,na kudhihirisha mamlaka yake kupitia watu wake,nawaambieni kuanzia sasa mpaka 2022 yatatokea mengi sana na hao ds hawatakuwa na la kufanya,na huo mwaka wa 2022 Mungu atadhihirisha wokovu wake kwa taifa.Nimemaliza.
Mkuu, why 2022?tufungue
 
Tanzania deep state alikuwa ni mtu mmoja tu na ndo huyo anapumzishwa Lupaso Mtwara saivi.

From Now Anyone can become a president na October Tundu Antipas Lissu anaenda kuchukua nchi.
Kwanini mwinyi hakuwa na nguvu?
 
Chadema mumebobea kwenye ujinga kasome katiba ya Nchi hairuhusu serikali ya mseto !!! Pili Lisu ahangaike kupitishwa na chama chake Chadema mbona anaruka ruka Kama chura kawrkwa chungu chenye mafuta ya Moto!!!

Sasa a concentrate kwenye uchaguzi ndani ya Chadema ugombea Uraisi maji marefu kwake . Magufuli keshavuka hicho kiunzi

Taarifa zilizopo zinasema Tundu Lisu anaumwa Yuko hoi Baada ya kukiuka masharti ya daktari ya kutosimama muda mrefu Yeye akajifanya kidume kasimama masaa kibao toka airport kwenye gari la wazi .Sasa miguu imemgomea kuinuka ananyaliwa Kama na winchi akitaka kuinuka.Watu wanatakiwa kumshika mabega!!!

Chadema Wana roho ngumu mbaya hawajali wagonjwa hata Lowasa walimtembeza Hivyo hivyo bila kujali afya

Sasa Lisu akikaa hawezi inuka Yuko kwenye Isolation. Akihangaika kurudisha uwezo wake wa kutembea sasa hivi Ni mtu wa wheel chair!!! Chadema wanaficha lakini viongozi wa juu wakon concerned na hali yake .Wakiwaza arudishwe ubelgiji au apelekwe mama cheza muhimbili?
kavuka kwa mabavu angeweka ngoma ipigwe apo free uone kinachomtokea
 
Back
Top Bottom