Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Kwa hapa Tanzania tuna rock python,ziko species Kama tatu hivi nimesahau kwenye pythonidae family ziko duniani!
Tukisema chatu tusiweke majoka mengine Kama anakonda kwa sababu anakonda sio python Ni anakonda wapo sijui huko Brazil!!

Ila chatu Ni ambusher anavizia swala la kusema eti ulale chini hakumezi Ni sawa na kumpakia mwenye njaa mkate blue band!

Chatu Ni mla nyama Kama nyoka wote na Hana sumu,na huwa ana Target windo analojua Lina mfit

Unaweza naukibonge wako ukakatiza mbele yake aka mute coz sio saiz yake unless umprovoke Vita vitaanza!


Chatu ana meno mengi membamba yako Kama ndoano ya kuzuia kitu kilichoingia mdomoni kisitoke

Ukilazimisha kutoa utaacha vipande vya nyama huku damu ikikutoka


Achilia mbali ajaku coil bado
African Rock Python(Python Sebae)
SUBSPECIES- 1. PYTHON SEBAE SEBAE (Western, Central & parts of Eastern Africa)
2. PYTHON SEBAE NATALENSIS(Southern Africa)
3. HYBRIDS(parts of East Africa like Kenya, Tanzania, Rwanda & parts of Uganda.
African Rock Python ni moja kati ya kundi la majoka sita makubwa ulimwenguni wakiwemo 'Green Anaconda, Reticulated Python, Burmese Python, Indian Python na Amethystine Python'
Chatu huogopewa sana lakini ni nadra sana kusikika ameua binadamu na akifanya hivyo basi huwa amechokozwa kiani. Asia pia wapo hawa chatu aina hii
 
Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?
Usimchezee Chatu.. oh Chatu eenh... Mkuu Anaweza zipo Video zake akiwala hao
 
Kwa Simba nakubali ukimtoa silaha anakumaliza! Mikono yake Ina nguvu akikupiga Kofi hauamki

Ila kwa chui ukimtoa silaha ngumu Sana kumuua binadamu mwanaume mwenye nguvu!

Mwaka Jana Kuna jamaa huko kusini alimuua chui(panthera pardus) kwa kumnyonga tu mpaka akamkosesha pumzi ingawa jamaa alijeruhiwa na kucha vibaya mno
Niliona hiyo news huko Tz, huyo jamaa alijiamini sio mchezo kutoka hai ni Mungu tu, paka wale hawaweki breki kabisa, akiamua ni wewe basi tia sala moyoni kabisa mtoke starring one on one ka dume mbili 😂
 
Usimchezee Chatu.. oh Chatu eenh... Mkuu Anaweza zipo Video zake akiwala hao
Once a Python realizes that it has encountered a lion....it is already too late. Lions take down every animal in the animal kingdom whether it's a squirrel or an elephant. Although they hunt as a group to bring down bigger animals. A full grown male lion can take down a full grown Cape buffalo by himself so a 25 ft Python is nothing to big cats.
✌️
 
Niliona hiyo news huko Tz, huyo jamaa alijiamini sio mchezo kutoka hai ni Mungu tu, paka wale hawaweki breki kabisa, akiamua ni wewe basi tia sala moyoni kabisa mtoke starring one on one ka dume mbili 😂
Noma mzee paka wa nyumbani akikuvimbia kumuua mpaka uwaze kidogo
Either uvae gloves Kama za tanesco unyonge shingo au umdanganyie samaki akizubaa upige nondo ya kichwa!!

Mikono mitupu paka Ni hatari
 
African Rock Python(Python Sebae)
SUBSPECIES- 1. PYTHON SEBAE SEBAE (Western, Central & parts of Eastern Africa)
2. PYTHON SEBAE NATALENSIS(Southern Africa)
3. HYBRIDS(parts of East Africa like Kenya, Tanzania, Rwanda & parts of Uganda.
African Rock Python ni moja kati ya kundi la majoka sita makubwa ulimwenguni wakiwemo 'Green Anaconda, Reticulated Python, Burmese Python, Indian Python na Amethystine Python'
Chatu huogopewa sana lakini ni nadra sana kusikika ameua binadamu na akifanya hivyo basi huwa amechokozwa kiani. Asia pia wapo hawa chatu aina hii
Aina zote za chatu nazijua ila African rock python ndio common Tanzania na nadra Sana kumeza binadamu labda mtoto mdogo hasa huko vijijini!

Rock python wengi utawapata maeneo ya mashamba makubwa hasa morogoro kilombero huko!

Kwa ufupi hakuna mnyama anayetishia maisha ya binadamu kwa lazima Kama kiboko au nyati
 
Kuna neno wanalitumiaga kwenye national geographic channel neno lenyewe ni easy meal.Mnyama anapokuwa na njaa huwa anaangalia mnyama anayeweza kumkamata kwa urahisi.Duma hawezi kumkamata nyati yeye anakula sahani moja na swala na wanyama wengine wa saizi yake
 
Huyo Jaguar moto kama pasi, anaruka ndani ya Amazon River anatoka na crocodile/Mamba aina ya Caiman na kakamata kisawasawa, buruta hadi nchi kavu, yuwaenda mla solo, dah acha kabisa huyo.
Anaconda(wa Amazon pia) ndio nao huwaweza Mamba wasize medium pia lakini hii kabila ya mapaka paka hayana mchezo, hayafi kirahisi hivyo sawa na paka wa mtaa tu, jaribu mfungie kwa chumba empty mkiwa nyote mtoke sparring ukiwa na gogo au ufagio, alafu ilitwe mrejesho hapa jf, 🤣🤣🤣
Naona Jaguar ana mibavu sana, kuliko chui wa kawaida.. ukitazama hata miguu sijui mikono yake imejaa
 
Kabisa, Jaguar ako na nguvu sana na sio mwoga, chui hawa wetu ni mbio walibarikiwa na venye ni wembamba basi wanatoka kama risasi, adui hana chake kwa chui.
✌️
Haiwezekani tukachukua Jaguar tukaweka kwenye misitu yetu au hata kwenye zoo zetu
 
Aina zote za chatu nazijua ila African rock python ndio common Tanzania na nadra Sana kumeza binadamu labda mtoto mdogo hasa huko vijijini!

Rock python wengi utawapata maeneo ya mashamba makubwa hasa morogoro kilombero huko!

Kwa ufupi hakuna mnyama anayetishia maisha ya binadamu kwa lazima Kama kiboko au nyati
Kweli, chatu hana issue kwa binadamu. Hata huku KE visa vingi vya watu kupoteza maisha kupitia wanyama pori ni vya 'Mamba', 'Kiboko', na Nyoka hawa wa sumu.
✌️
 
Back
Top Bottom