Kwa hasira hizi utaweza kweli kufungiwa ndani manka?!
Njaa ikikuuma utawatesa sana wazazi wako kiasi cha kujutia kula tunda!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hasira hizi utaweza kweli kufungiwa ndani manka?!
Njaa ikikuuma utawatesa sana wazazi wako kiasi cha kujutia kula tunda!
Hapo bado hujafungiwa ndani unacheuwa kama nguruwe.Umetuwekea na jina lako kumbe unaitwa manka asante tumekusikia.
Pole sana.
Utakuwa siyo riziki wewe.
Jaribu Mombasa wengine biashara hiyo hatununui.
Hapo bado hujafungiwa ndani unacheuwa kama nguruwe.
Ngoja ufungiwe uone kama Mbowe ataleta chakula hapo nyumbani kwenu bibie!
Manka wewe ni mtunzi mzuri sana wa mashairi.Mbowe ndiyo baba yako?
Mbona unakuwa unataja taja majina ya watu na viumbe hovyohovyo nguruwe wewe?
Yaonesha nguruwe wewe unauzoefu sana wa kucheua cheua. Vipi umecheua tena?
Ama kweli s**ge ni s**ge tu.
😄😄😄😄😄😄Mtaongea wew na familia yako.
Tunawajua nyie mko hata 100 hamfiki ndio mnalilia kufungiwa ndani.
Sasa msisubiri Magufuli atangaze. Mwambieni Mbowe awatangazie wala hakuna mtu atakuja kuwatoa kwa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli msanii,trust him at your own riskRais alisema ana pesa za kuendesha nchi kwa miezi mitano, Sasa iweje lockdown ya miez miwil iwe tatizo,
Suala ni kwamba waache uongo na kujimwambafai, haya Sasa kumetokea janga tekeleza Ile kauli uliyosema nchi ina pesa za kuitosha miezi mitano, alafu lawama zinapelekwa kwa wapinzani ajabu
Pesa ipo Kama si kwa ajiri ya madaraja,mabarabara,maflyover,mandege kwa keshi basi hatuwezi shindwa nunua vifaa ya kufanyia mass testingUna vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
Basi tuna serikali dhaifu haijawahi kutokeajohnthebaptist, Hata serikali ingetangaza total lockdown hao hao Chadema wangepinga na kusema wananchi watapata tabu. Hao jamaa ni wa kuwasikiliza na kuwapuuza tu.
Hujijui.Basi tuna serikali dhaifu haijawahi kutokea
Pesa ipo Kama si kwa ajiri ya madaraja,mabarabara,maflyover,mandege kwa keshi basi hatuwezi shindwa nunua vifaa ya kufanyia mass testing
Sasa kwanini serikali ya ccm isituhakikishie kupata mkate wa kila siku? Hasa kwa watu ambao watakuwa hawana kitu kwa maisha magumu.Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?
Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.
Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.
Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?
Niwatakie Pasaka yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
johnthebaptist, Hata serikali ingetangaza total lockdown hao hao Chadema wangepinga na kusema wananchi watapata tabu. Hao jamaa ni wa kuwasikiliza na kuwapuuza tu.
Unafahamu mass testing gharama yake? Je, unavyo vifaa kwa kazi hiyo?
Vipi hapo ufipa mmeshafunga ofisi ili makamanda wafanyie kazi nyumbani?Huu ni umbumbumbu. Mataga mna minyoo kichwani. Haya ni mawazo ni ya kwako.
Mfano mdogo walipinga suala la kuweka watu karantini kwenye hotel za gharama, na moja moja ya options walizotoa ni kutumia Hostels. Mliwapinga ila baadae mkaja kuchagua hostel zitumike kama quarantine. Hapo waliwapinga tena?
Huna hoja wewe, unaruka ruka tu kama kunguru.Unaijua athari ya kukaa na wagonjwa ambao hawajapimwa?