Je, Captain Tesha ni nani?

siasa ni michezo, usije ukaashangaa sku lissu huyo ccm
Sielewi chochote kiongozi.Sema huyu kwa haraka haraka ni mwanajeshi, sababu hizi hapa:

Kavaa sare zinazotambulika na Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ).Hivyo hii inatosha kusema ni mwanajeshi(mpaka pale taarifa rasmi kutoka Jeshini)

Kataja kikosi ambacho anahudumu(unaweza kutafuta kama kikosi hicho tunacho au hatuna(hapa sina jibu))

Wakati anatoa hotuba yake unasikia kwa nyuma kuna pilika za vingora kibao ikionyesha either hii ni sehemu ya kijeshi au ni vingora vya barabarani(ambulance au magari ya viongozi wakubwa wenye vingora).Kiufupi angekuwa raia wa kawaida nadhani alikuwa anarisk kizembe

Muda utasema lakini bibi kachokwa huyu
 
alafu akamuita president mama? au sio
 
sare za jeshi si ata ukimaliza form 6 unapewa aisee kijana
 
Kiongozi unazo ngapi unipatie na mimi niende live sasa hivi.

Katika reasoning hii inanitosha kuhitimisha ni mwanajeshi mpaka taarifa rasmi.(sare za jeshi hazivaliwi kizembe hivyo ukiachana kwamba zinapatikana)
inaonekana we siasa hauna D mbili bado
 
Kiongozi unazo ngapi unipatie na mimi niende live sasa hivi.

Katika reasoning hii inanitosha kuhitimisha ni mwanajeshi mpaka taarifa rasmi.(sare za jeshi hazivaliwi kizembe hivyo ukiachana kwamba zinapatikana)
umesahau juzi juzi tu apa walikua wanakamata watu wanaovaa izi sare uraiani
 
Haitosaidia...
Hili suala limeishia hivyo...
Samia ndio kaondoka hivyo...
Huyu akipuuzwa atatoka mwingine.
Tunaongea lugha moja kuna watu wamesema atakuwa detained nimewajibu wako nyuma ya muda ukishika huyo nyuma yake wapo wangapi na watakuja kwa mtindo upi hapo ndio kinabaki kitendawili.

Mimi tangu mwanzo nilisema ulikuwepo muda mrefu sana wa kufanya marejeo na kujikosoa tulipofika ukipita katika mitandao unaona chuki kubwa ya watu dhidi ya serikali.

Huyu ni mwanajeshi mmoja tu kaongea naambiwa YouTube imekuwa blocked huku 95% ya comments wanamuunga mkono je kwa mtindo huu adui akitokea watu watasimama na serikali au adui sababu ya chuki kubwa?

Ni busara kujua mtu anayesema bora tukae mezani tujenge na kupata mabadiliko au yule anayesema twende hivyo hivyo nani hapo yuko katika nafasi kubwa ya kuleta machafuko.?
 
Mbona utambulisho wake uko wazi! Au unafikiri ni rahisi kwa raia tu from nowhere anaweza akajitokeza hadharani na kujitambulisha kama ofisa wa jeshi, na kukemea uhuni unaoendelea nchini?

Kama siyo mwanajeshi, basi ni viongozi wa jeshi ndiyo watajitokeza kumkana. Ila mpaka sasa unatakiwa uamini kama huyu ni Mwanajeshi wa JWTZ! Na ni mmoja tu kati ya wananchi wengi nchini ambao hawafurahishwi na haya madudu yote yanayo endelea nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…