Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

Tuna tatizo kubwa la vijana wetu kutopenda kutafuta taharifa. Huwezi kwenda kuomba mkopo kwenye taasisi ambayo hujaifanyia due diligence. BRAC ni kampuni kubwa sana duniani na imeanzia Bangladesh mwaka 1972 (miaka 50 iliyopita) na mwanzilishi wake alikuwa na maono makubwa ya kuwakomboa masikini duniani maono ambayo mpaka sasa yametimia kwa kiwango kikubwa. BRAC imewafikia wateja wengi masikini duniani na imewakomboa kwa kiasi kikubwa ikiwemo watanzania. Hapa Tanzania mtandao wa Brac Microfinance ni mpana mno na wana wafanyakazi zaidi ya 2,000 wanaofanya kazi karibia wilaya zote nchini. Kwa maana nyingine BRAC wana wafanyakazi wengi kuliko NMB Bank. Na kwa Dunia nzima wana wafanyakazi zaidi ya laki 1 na mapato zaidi ya Trillion 2 za kitanzania kwa mwaka.

Sasa wewe ebu jikadirie
Mbona km hujajibu hoja zaidi ya kusifia na kutoa takwimu Tu,bhas tupe na ASA bhas.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ktk mkopo kuna vitu viwili ,bima na dhamana ya mkopo, dhamana hutumika mteja anaposhindwa kulipa na bima hutumika mteja anapopata majanga,lkn pia huwezi kopa kama hauna akiba, na hii akiba ikitokea umemaliza mkopo wako na hauitaji kuendelea unarudiahiwa akiba yako,
Hiyo akiba hawaitumii kuendesha shughuri zao,haitumiki?
Mfano akiba 250000,inakaa kwao kwa umri wa mkopo.
Asum watu 500 wamechukua mikopo ktk tawi moja kwa mwezi.

HAWAKOMBOI WATU.
 
Tuna tatizo kubwa la vijana wetu kutopenda kutafuta taharifa. Huwezi kwenda kuomba mkopo kwenye taasisi ambayo hujaifanyia due diligence. BRAC ni kampuni kubwa sana duniani na imeanzia Bangladesh mwaka 1972 (miaka 50 iliyopita) na mwanzilishi wake alikuwa na maono makubwa ya kuwakomboa masikini duniani maono ambayo mpaka sasa yametimia kwa kiwango kikubwa. BRAC imewafikia wateja wengi masikini duniani na imewakomboa kwa kiasi kikubwa ikiwemo watanzania. Hapa Tanzania mtandao wa Brac Microfinance ni mpana mno na wana wafanyakazi zaidi ya 2,000 wanaofanya kazi karibia wilaya zote nchini. Kwa maana nyingine BRAC wana wafanyakazi wengi kuliko NMB Bank. Na kwa Dunia nzima wana wafanyakazi zaidi ya laki 1 na mapato zaidi ya Trillion 2 za kitanzania kwa mwaka.

Sasa wewe ebu jikadirie
Wewe ni meneja wa tawi gani???
 
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na DECCI iliyowatapeli watu?
Akiba yako gani wakati wewe unataka kukopa? amka amka amka.
 
Sijawahi kutumia huduma za BRAC ila sidhani kama ni sahihi kuwafananisha na DECCI.

Hizi ofisi nimeshakutana nazo maeneo tofauti kwa muda mrefu sasa na kama wangekuwa na mauzauza sidhani kama wangeendelea kuwepo.

Pia masharti magumu ya kutoa mikopo wakati Mwingine husababishwa na Jamii yenyewe. Hivyo hebu na wewe Muhusika fanya tathmini ya unavyowajua Watanzania wenzako. Je wewe ungetamani wakupe pesa zao tu bila namna yoyoyote ya wao kuchukua tahadhari ya pesa zao?.
 
Kwahiyo ndio wanaondowa umaskini kwa mkopo wa 250,000/= uwape kwanza 60,000/=

Sasa huu si ndio upatu wenyewe? Yani watumie pesa za haohao maskini kukopeshea?

Declare interest kwanza kabla hujaanza kudemka na kuhororoja.
Mtoa mada aseme wapi ameambiwa hivyo na Atupe mrejesho. Nna namba za simu za watu kadhaa wa brac nipate niwaulize kama ni kweli. Ukute pengine staff individual ndio anataka kufanya mchezo mbaya.

Na kama ni kweli wanatoleshwa hicho kiasi niulize ni kwa ajili ya nini?

Brac taasisi yao ipo vizuri sana. Mie nafanya nao kazi zaidi ya miaka Kumi sasa na hakuna malalamiko ya wateja wao zaidi labda udanganyifu wa baadhi ya wateja.
 
Brac ni taasisi ya kweli.haina utapeli.pia mkopo unalindwa na dhamana.Bima ni ikiwa mkopaji atafariki basi mkopo ulipwe na bima badala ya kuuza dhamana yako.halafu thamani ya dhamana ni lazima iwe sawa na thamani ya mkopo pamoja na riba yake.so ukiambiwa weka 250,000 kama dhamana maana yake mkopo wako ukizidi 250,000 lazima wakudai dhamana nyingine isiyohamishika.kuhusu hiyo hela ya bima,unaweza kuwambia wakukate kwenye hela utakazo kopa pia

Du! nadhani elimu ya mikopo inahitajika kwa umma.

Cha masingi angalia zaidi kama kile unachoenda kufanyia huo mkopo kinaweza kulipa.kama ni biashara,uwe na uhakika ni biashara inayoendelea au unataka kuongezea mtaji wa kununulia bidhaa.usiendee kukarabati fremu au kununulia vitu ambovyo si bidhaa za kuuza.

Mikopo ni mkombozi wa maisha lakini pia mikopo ni chanzo cha umasikini na ugonjwa wa kiharusi
Kifupi hii ni ile mikopo umiza
 
Nawafahamu BRAC walipanga home nyumba naima Karina miaka kuku waliondoka mwaka juzi tuu.sidhani kama niwapigaji.njee ya mada(waliibiwaga pale dah siku hiyo kama movie vile fasta tuu pesa hana kila mtu na mbili zake wengine tulibaki na mshangao)walikuwaga eti wanaenda kuchukua pesa siku wapi ma kuna nazo ofisini kwai kwa tax na wafanyakazi swahili watatu .baada ya yukio neo aka wanakodi maaskari na bunduki juu
Sa si utulie uandike vizuri
 
Mtoa mada aseme wapi ameambiwa hivyo na Atupe mrejesho. Nna namba za simu za watu kadhaa wa brac nipate niwaulize kama ni kweli. Ukute pengine staff individual ndio anataka kufanya mchezo mbaya.

Na kama ni kweli wanatoleshwa hicho kiasi niulize ni kwa ajili ya nini?

Brac taasisi yao ipo vizuri sana. Mie nafanya nao kazi zaidi ya miaka Kumi sasa na hakuna malalamiko ya wateja wao zaidi labda udanganyi

Nawafahamu BRAC walipanga home nyumba naima Karina miaka kuku waliondoka mwaka juzi tuu.sidhani kama niwapigaji.njee ya mada(waliibiwaga pale dah siku hiyo kama movie vile fasta tuu pesa hana kila mtu na mbili zake wengine tulibaki na mshangao)walikuwaga eti wanaenda kuchukua pesa siku wapi ma kuna nazo ofisini kwai kwa tax na wafanyakazi swahili watatu .baada ya yukio neo aka wanakodi maaskari na bunduki juu
Umekimbia mnooo
 
Tuna tatizo kubwa la vijana wetu kutopenda kutafuta taharifa. Huwezi kwenda kuomba mkopo kwenye taasisi ambayo hujaifanyia due diligence. BRAC ni kampuni kubwa sana duniani na imeanzia Bangladesh mwaka 1972 (miaka 50 iliyopita) na mwanzilishi wake alikuwa na maono makubwa ya kuwakomboa masikini duniani maono ambayo mpaka sasa yametimia kwa kiwango kikubwa. BRAC imewafikia wateja wengi masikini duniani na imewakomboa kwa kiasi kikubwa ikiwemo watanzania. Hapa Tanzania mtandao wa Brac Microfinance ni mpana mno na wana wafanyakazi zaidi ya 2,000 wanaofanya kazi karibia wilaya zote nchini. Kwa maana nyingine BRAC wana wafanyakazi wengi kuliko NMB Bank. Na kwa Dunia nzima wana wafanyakazi zaidi ya laki 1 na mapato zaidi ya Trillion 2 za kitanzania kwa mwaka.

Sasa wewe ebu jikadirie
Na Wana matawi mengi balaa
 
Unajua NMB ina staff wangapi nchi nzima au unaleta story za kufikirika 🤣 🤣
 
Kwenye mikopo kuna
Ya chini
Ya kati
Ya juu
Hii ya chini mara nyingi ni kimbilio la wasio na uwezo na sometimes elimu na uelewa mkubwa.. Na huwa haizidi laki 5.. Ukija hii ya kati na juu vilio huanzia hapo.. Na si kwamba ni matapeli wa direcf ila kuna mlolongo wa hidden costs ambazo at Low level si kitu ila kwenye high level ndio utaziona rangi halisi
Kimbilio la wenye uwezo wa kifedha mdogo na uelewa mdogo,
Wengi inawaumiza haiwasaidii.
 
Back
Top Bottom