Bima ni kwaajili ya bank kutosumbua ndugu zako au kunyangaya dhamana uliyoiweka pale unapofariki au unapopata ulemavu wa kudumu instead watalipwa kiasi kilichobaki na kampuni ya bima pamoja na ela ya rambirambi watapewa familia yako……
Kampuni ya bima haitolipa mkopo wako pale itakaposhindwa kulipa mkopo ikiwa umzima wa afya ndio maana iyo BRAC watachukua iyo dhamana ulioiweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.