Je, Binadamu ameshaenda umbali upi chini ya ardhi?

Je, Binadamu ameshaenda umbali upi chini ya ardhi?

Ile project ya CERN si wanachimba huko ardhini? Sijui wamefikia urefu gani

MTC | 101| [emoji769]
 
Kwa somo la Geografia nililosoma, sehemu ya mwisho ya ardhi, dunia inaitwa inner core, inajoto sana hadi udongo unachemka kama uji, ukitoka nje inajulikana kama volkano, ndivo nilivoelewa kwa uelewa wangu , kuhusu kufika chini ya arthi sinauhakika kama kunamtu alishafanikiwa kufanya hivo nakurudi salama.

Hii ni conspiracy mkuu...just a belief,lkn sidhani kama ‘inner core’ ni kweli ina exist


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
groundwater naijua vizuri sana ila so mita 200 mnazosema nyie nawe jaribu kugoogle kitu kinaitwa bedrock na deepest groundwater halafu ulete majibu.
Mkuu. Sikia kunavitu unachanganya vitu viwili. Kunamaji yanaingia mgodi kutokana na vua. Pia kunamaji ya underground. Google underground water. Kawaulize waliokuwa kitengo kinaitwa hydrogeology hapo buli watakueleza source of water in the mine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wamefika mpaka kwenye Core na kujua hapa ndo mwisho, basi ndo huko. Tafta toka kwwnye surface mpka huko ni KM ngap [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
groundwater naijua vizuri sana ila so mita 200 mnazosema nyie nawe jaribu kugoogle kitu kinaitwa bedrock na deepest groundwater halafu ulete majibu.
Groundwater may be near the Earth's surface or as deep as 30,000 feet, according to the U.S. Geological Survey (USGS).Jan 8, 2015

What is Groundwater? - Live Science
Soma zaidi www.livescience.com

Mkuu. 30000feet ni sawa na more than 9.1km

Underground water ni balaaa. Usitake kuleta utani. Bedrock does not mean ndiyo mwisho wa maji. Bedrock in structure za kutosha kama fault, joints etc zinapisha mikondo ya maji. Kumbuka hydrothermal hold mineralization inategemea maji that is why the name hydro means water linaingia hapo. Mkuu nafikili utakuwa umenielewa. Kama haujalizika uliza tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wamefika mpaka kwenye Core na kujua hapa ndo mwisho, basi ndo huko. Tafta toka kwwnye surface mpka huko ni KM ngap [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Approximated earth's radius 6,371 KMs kuchimba huo umbali siyo kitu kidogo. Yaani ni kama umbali wa kutoka dar es salaam hadi Cairo sasa kwenda chini
 
Wakichimba sana wakatoboa na jinsi dunia ilivyo maana yake watadondokea huko chini
 
Back
Top Bottom