Je, Binadamu ameshaenda umbali upi chini ya ardhi?

Je, Binadamu ameshaenda umbali upi chini ya ardhi?

Mkuu super natural je kama hivyo ndivyo isingekuwa rahisi kwa kutengeneza njia fupi ya safari? Short cut. Unakatiza tu hapo kwenye hilo shimo unatokea upande wa pili.
Dunia ni tufe, wakiichimba mojamoja kwa moja kwenda chini wanatokezea upande wa pili(Either EAST-WEST or SOUTH-NORTH) hapo linatokea tundu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufika kwenye magima unahitaji 5000km. Na huko kunauji tu hivyo joto lake balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
So pamoja na sayansi yetu yote hakuna walioweza pata ufumbuzi wa kuipenya hiyo magma.?
au ndo Jehanamu yenyewe mkuu maana maandiko yanasema kuzimu ni chini ya ardhi na kuna sehemu nyingine inasimulia habari za tajiri na lazaro kuwa tajiri alikuwa kwenye moto.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila layer ya dunia inajuricana INA nini. From earth crust to deep core.
Mkuu wanasayansi wameweza kugundua vifaa ambavyo vinahimili joto kwa kiasi kikubwa sana.
Je wameshindwa kugundua kifaa kinachoweza kuhimili joto la magma na kutupa taarifa za mwisho kabisa kwenye kina cha ardhi..?
Je sayansi yetu binadamu ya kijiographia imefikia ukomo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuu rub na nini mwisho wa kipimo hicho yaani kinaelezea nini mwisho wake ? Mfano kama mwisho wa layer ya ardhi ni core je baada ya hiyo core unaelekea wapi?
Kunavipimo binaitwa kwa geophysics, hivi vinascan the earth. Hivi ni balaaaa, binakucholea down deep. Vinatumika kusoma kina kilefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuu rub na nini mwisho wa kipimo hicho yaani kinaelezea nini mwisho wake ? Mfano kama mwisho wa layer ya ardhi ni core je baada ya hiyo core unaelekea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ni duara kama unavyoona yai. Gamba LA juu, utepe mweupe kisha njano. Core ndiyo njano ya yai, utepe mweupe ndiyo Mantle na ngamba la juu ndiyo the earth crust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye migodi mikubwa watakuja hapa, madini mengine huwa wanayatoaga mbali sana
 
So pamoja na sayansi yetu yote hakuna walioweza pata ufumbuzi wa kuipenya hiyo magma.?
au ndo Jehanamu yenyewe mkuu maana maandiko yanasema kuzimu ni chini ya ardhi na kuna sehemu nyingine inasimulia habari za tajiri na lazaro kuwa tajiri alikuwa kwenye moto.


Sent using Jamii Forums mobile app
Jehanamu ni theory za misafu ya dini. We don't where we go after death.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12km, huko kola penisula ya urusi, miaka ya 70s na ilichukua zaid ya miaka 10 kufikia urefu huo,

lengo lao ni kuchimba mpk wapite earth crust yote, wakachima walipofikia mita 12,262 walipogundua ndio kwanza wapo robo ya program yao wakafungasha ma mashine yao wakafa.

kumbuka hapa zilizofikia upana huo ni mashine sio watu, urefu mkubwa kbsa uliofikiwa na binadam ni 2.2km huko georgia, na walishindwa kutokana na joto kali,

kumbk: kila km 1 kwenda chini temp inaongezeka kwa zaid ya asilimia 15, sbb ni nini? Refer to state of thermodynamic equlibrium,

hapa napo walipooona joto linawatesa hawakutaka shida na ntoto ya ntu wakafungasga sululu zao wakarudi wakakufa.
Dah! Imebidi nicheke tu, japo kwa masikitiko!
 
Core ni kiini cha ndani kabisa. Kama yai kile cha njano. Kama untoboa yai kuazia upande mmoja kuelekea kwingine. Ukifika katikati utaanza kuzirudia layer zile zile kati upande wa pili. Ifikilie dunia ni kama yai
Kuu rub na nini mwisho wa kipimo hicho yaani kinaelezea nini mwisho wake ? Mfano kama mwisho wa layer ya ardhi ni core je baada ya hiyo core unaelekea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za jioni..
Kumekuwa na makala mbalimbali zinaozo elezea umbali ambao wanasayansi wameshafikia angani. Wameweza safiri mpaka kwenye mwezi na wameweza tuma vyombo vya uchunguzi katika anga kujua sayari nyingine na umbali wake.

Je Binadamu ameshakwenda umbali gani chini ya ardhi kwa rekodi zilizopo? Je binadamu wameshasafiri kwa umbali upi kwenda chini na wamegundua kitu gani chini ya ardhi ya sayari yetu katika kudrill. Ama kuchimba?
Nawasilisha kwa wataalam wa Elimu ya miamba..

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu noma sana wew ule umbali wa titanic ilipozama watu walifika....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom