Nimeshaona haupo makini hata kidogo, nilikwambia kamsome Ibn Abbas jana , kama ungemsoma leo usinge kuja na swali la kitoto, hakuna mada ya marko wala luka hapo acha kupindishaNa uniambie huyo Ibn Abbas huo ufafanuzi aliupata wapi? Unadhani kama Marko na Luka wanavyojiandikia.
Nimeshamaliza kazi yangu usirudie tena kudanganya mbele yangu
YHN 8:44 BHN Nyinyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake.........