Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Sijasema kitu kama hicho, anaelibusu jiwe limsamehe dhambi ni wewe

Rudia kusoma swali na ujibu ,

Allah alituma majini kwa Suleiman wake yakamjengea masanamu, zilikuwa za kazi gani hizi sanamu?

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Mapambo. Kwani kila sanamu lililochongwa linaabudiwa? Mbona hamuendi kulilia pale la posta?
 
Jibu maswali kwanza, ukishaweka majibu ya maswali , alafu uliza swali
Usikimbie kutojibu maswali. Maswali mengine hujibiwa Kwa kuulizwa swali. Au haujaangalia movie ya Brian Deacon kijana?
 
Mapambo. Kwani kila sanamu lililochongwa linaabudiwa? Mbona hamuendi kulilia pale la posta?
Usipindishe unapo jibu wapi swali limesema linaabudiwa , umeshajibu ni mapambo , kwa nini aliweka masanamu ya mapambo?
 
Jibu maswali kwanza, ukishaweka majibu ya maswali , alafu uliza swali
Shida unauliza una majibu yako. Maswali mengine unatumia logic kwanza. Mtu anaweza kukuuliza thibitisha kama binadamu wa kwanza alikuwa Adamu? Na mtu huyo ni atheist.
 
Mapambo. Kwani kila sanamu lililochongwa linaabudiwa? Mbona hamuendi kulilia pale la posta?
Anae abudu jiwe , na anaeswali kuelekea jiwe kila siku ni wewe , na jiwe litakuwa shuhuda siku ya mwisho Allah atalipa macho na mdomo liongee kama uliliabudu kwa kweli , ila sio mada leo

Naomba majibu yangu ya kubadili muonekano kwa Allah rudi kayasome na lingine waislamu mtatambua ugoko wa allah ,je mlishawahi uona au mtautumbua vipi
 
Usipindishe unapo jibu wapi swali limesema linaabudiwa , umeshajibu ni mapambo , kwa nini aliweka masanamu ya mapambo?
Kwani mapambo si kupendezesha sehemu? Uliza maswali ya akili kidogo. Au mapambo yanaliwa?
 
Tumeshamaliza , yalikuwa masanamu ya mapambo tu , je kuna scholar anaweza support mawazo Yako, nipe jina nikasome
 
Anae abudu jiwe , na anaeswali kuelekea jiwe kila siku ni wewe , na jiwe litakuwa shuhuda siku ya mwisho Allah atalipa macho na mdomo liongee kama uliliabudu kwa kweli , ila sio mada leo

Naomba majibu yangu ya kubadili muonekano kwa Allah rudi kayasome na lingine waislamu mtatambua ugoko wa allah ,je mlishawahi uona au mtautumbua vipi
Makafiri huwa mna shida sana. Kwani manabii walikuwa wanamtambua vipi Mwenyezi Mungu? Hivyo hivyo walivyokuwa wanamtambua mitume duniani ndiyo tutatambua huko itavyokuwa.
Kajifundishe kwanza "new testament". Huku elimu rijali itakusumbua.
 
Tafuta scholar. Si unajua kutafuta kisha uje kupinga.
Kama unamfahamu Ibn Abbas
Amesema hivi.
They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Walimtengenezea kila anacho hitaji ,nyumba ya kuabudia na masanamu, masanamu ya Malaika na mitume na watumisha watuifu , ILI watu (waislamu) wayaangalie na kufuata mfano (kumbukumbu) wa kumuabudu Allah
 
Weka reference. Maana makafiri uongo ni sehemu ya ibada. Hadith gani inasema hivyo? Sio unaokota kota tu kwenye mtandao.
 
Hiyo ni tafsir ya Ibn Abbas kijana, nenda kasome ,Mimi nimekuwekea hapo ILI kujiridhisha kasome mwenyewe
 
Back
Top Bottom