Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Nimekucheka Sana ,unajua sunni ni asilimia ngapi Jordan , na unamjua vizuri Ibn Abbas , nenda kasome kwanza tukutane kesho
Yaani ulivyokuwa kilaza unaanza kubisha. Hata wakiwa 100 haibadilishi kuwa hiyo website ya mashia.
 
Yaani ulivyokuwa kilaza unaanza kubisha. Hata wakiwa 100 haibadilishi kuwa hiyo website ya mashia.
Huwa nacheka Sana mnapo toa takwimu duniani mnahesabu wote mkibanwa mnasema washia sio waislamu sio mada ya leo , nimekupa kazi kasome kwanza
 
Akili yako haina akili[emoji23][emoji23][emoji13]
Unafikiri shetani ni object hadi mmefikia kiwango cha juu cha ujinga kununua mawe kwa dola mkiwa nusu uchi na kumpopoa mawe shetani huku mkifa mnaamini shetani kawazidi ujanja[emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
Shetani ni Spirit Ambayo kila siku Ina Kubeba na ww gavana anakushinda kila siku, ndio sababu unaiba, unazini, unasema uongo...na mambo kama hayo!View attachment 1853579View attachment 1853581

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app

Umeandika
Akili yako haina akili
emoji23.png
emoji23.png
emoji13.png

Unafikiri shetani ni object

Swali

kwani Mungu naye ni object ??

Soma John 4 :24

God is spirit, and his worshipers must worship in the Spirit and in truth.”
 
Mtumwa huwa anambeba Bwana wake kwenye Machela.
Shetani ni mmoja wapo katika Watumwa wa Mungu.

Ingekuwa Ajabu Yesu angembeba Shetani.

Sasa Bosi Gavana,

Turudi kwenye swali langu la msingi sasa.

Huko Msikitini, ushabahatika kukutana na ndugu zako wa
Kijini ?
Ambao ukiingia Msikitini lazima uwasalimie kulia na kushoto hata kama hakuna mtu.

Kumbe ndio mkawaweka ndani ya kanisa muwaabudu ??

1626313816098.png
 
Rudia kusoma swali na ujibu ,

Allah alituma majini kwa Suleiman wake yakamjengea masanamu, zilikuwa za kazi gani hizi sanamu?

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........

Ulivyoandika na aya inasema kitu chengine au ndivyo ulivyozowea ??
 
Kumbe ndio mkawaweka ndani ya kanisa muwaabudu ??

View attachment 1854306
Mi sijui hilo ni Jengo gani rafiki yangu Gavana,

Naomba basi chukua nafasi hii unanijibu swali langu tafadhali sana ndugu.

Muhammadi ndio Nabii pekee aliyefanikiwa kuyasilimisha Majini na kuyaingiza katika Uislamu.

Sikumbuki aliambiwa na nani awe Nabii wa Majini pia.
Ninachokumbuka Waraqa Bin Naufal alimbashiria awe Mtume kwa watu wa mji wa Macca na pembezoni mwake.

Sasa baada ya kuyasilimisha Majini akawaunganisha Waislamu wote wawe na undugu na wenzao wa jamii ya Kijini.

Akawashauri mnapoingia Msikitini ni lazima muwasalimie ndugu zenu wa Kijini kulia na kushoto.

Yaani ukiingia tu Msikitini unatamka kwa sauti, Asalaam Aleikum, huku umegeuka Kulia na unarudia tena kusalimia upande wa kushoto kwako wewe.

Majini yanaweza kujibadiisha katika umbo la Binadamu.

Sasa wewe Gavana, kama Gavana,
Ushabahatika siku moja ukakutana na ndugu yako wa Kijini kama alivyokuwa anakutana nao Mtume wako Muhammadi wakati alipowafundisha dini ya Kiislamu ?

Kama hujawahi, umefanya juhudi gani kukutana na hao jamaa zako wa Kijini ?

Maana kwa Mwislamu, hakuna Sunna Bora kama kuiga Vitendo vya Nabii Ummi Muhammadi.

Kama Mtume alifanya juu chini hadi akajumuika na Majini na kuwaunganisha na Waislamu watu, natumaini ni jambo la furaha na la ndoto ya kila Muislamu kukutana na ndugu zake wa Kijini kama alivyofanya Mtume.

Je wewe kama Muislamu usiye na shaka.

Ushabahatika kukutana na ndugu zako wa Kijini ?
Kama sio unafanya juhudi gani kukutana nao ?

Nijibu tafadhari.
 
Yaani ulivyokuwa kilaza unaanza kubisha. Hata wakiwa 100 haibadilishi kuwa hiyo website ya mashia.
Nasubiria uthibitisho wako , nimekupa tafsir Ibn Abbas na wewe ukasema ni uongo nasubiria uweke ya kweli hapa
 
Nasubiria uthibitisho wako , nimekupa tafsir Ibn Abbas na wewe ukasema ni uongo nasubiria uweke ya kweli hapa
Nenda kasome legacy.quran.com kama unataka tafsiri. Kama unataka kuleta bangi Sawa. Eti Ibn Abbas! Kwa hiyo ndiyo mwalimu wako huyo kwenye hiyo website. Nadhani nimemaliza.
 
Nimeingia hakuna tafsir yoyote ni translation tu, nataka maelezo ya aya , kijana tunapo debate naomba uwe makini sana aya za koran ili uzielewe unaitaji kusoma scholar wanasemaje kuhusu aya husika ,
Ibn Abbas anasema (na kamsome ibn abbas ujue ni nani maana naona unaleta utoto mbele yake)
Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs (They made for him what he willed: synagogues and statues) of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Kama utaendelea na utoto nasitisha debate na wewe rasmi
 
Debate unaongea pumba. Mfuate huyo Ibn Abbas wako ukanywe naye chai kama unampenda. Unaleta either ufafanuzi wa hadith. Kama umeshindwa kameze matango pori ya King James
 
Nimeingia hakuna tafsir yoyote ni translation tu, nataka maelezo ya aya , kijana tunapo debate naomba uwe makini sana aya za koran ili uzielewe unaitaji kusoma scholar wanasemaje kuhusu aya husika ,
Ibn Abbas anasema (na kamsome ibn abbas ujue ni nani maana naona unaleta utoto mbele yake)
Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs (They made for him what he willed: synagogues and statues) of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Kama utaendelea na utoto nasitisha debate na wewe rasmi
Na uniambie huyo Ibn Abbas huo ufafanuzi aliupata wapi? Unadhani kama Marko na Luka wanavyojiandikia.
 
Back
Top Bottom