Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,597
- 18,415
Sio watu ganiBado hujanijibu,,
Unajua hapo Allah alikuwa anaongea na watu gani ,, Je alikuwa anawaambia waumini, Waislamu, ama Mtume ?
Unaweza kuthibitisha hilo jibu lako ?
Hapo imetumika Lugha ya Umoja, anamwambia mtu mmoja.
Tubu zambi zako
Tubuni zambi zenu.
Tena kule nyuma kaambiwa
Tubu zambi zako na za Waislamu wanaume na za Waislamu wanawake
Basi tufanye alikuwa anamwambia Jibrili au Walaqa Bin Naufal
Au mke wa Mtume.