Je Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Sijui unamwandikia nani ila hizi sio lugha za JF intelligence..... Hapa ni hoja juu ya hoja so ukiona mada imezidi uelewa wako we Nenda jukwaa la siasa mbishane kuhusu Ccm na CHADEMA hizo ndio level zenu huku waachie watu makini wanaotaka kujifunza na kuelewa concept muhimu za maisha.
 
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,822
Likes
479
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,822 479 180
Mkuu mie unanichosha tu sasa ulitegemea nilete hapa maandishi ya kijerumani ya mwaka 1522??? Are you serious?? Hiyo ni tafsiri ya DIBAJI ya Luther Bible ya kwanza kabisa. Mbona Yesu aliishi miaka 2000 iliyopita ila Biblia unayosoma ya kiswahili imekuwa copy and pasted 1970s hapo ila bado unasoma na kuiamini na wala hujawahi hoji wakuletee original maneno aliyosema Yesu ?? Huoni una double standards

Issue hapa ni kwamba tukio hilo lipo wewe unaweza hata kugoogle au kwenda maktaba au kuuliza wachungaji wako kuhusu EPISTLE OF STRAW hiyo nadharia ni ya Martin Luther na utakutana na vitabu,articles vyote na journals ambazo zimechambua hili swala sasa kama hutaki nicopy and paste vitabu vilivyoandika sijui unataka nitoe wapi facts???

Au otherwise kanunue Luther Bible original version iliyoandikwa kijerumani usome dibaji yake ukikuta nachosema hakipo ndio uje ubishe sio unabisha kitu ambacho dunia nzima inajua
Sikuchoshi.
Kwa miaka 446 hakuna aliyeona hiyo DIBAJI? mpaka huyu jamaa uliyemleta hapa ndio ameliona hilo?
And by the way, nikumbushe kitu hapa, ili twende sawa.
Umesema Luther Bible. Je, Luther alitafsiri, na kutoka Bible ipi kuipata hiyo yake unayofanyia reference?
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Sikuchoshi.
Kwa miaka 446 hakuna aliyeona hiyo DIBAJI? mpaka huyu jamaa uliyemleta hapa ndio ameliona hilo?
And by the way, nikumbushe kitu hapa, ili twende sawa.
Umesema Luther Bible. Je, Luther alitafsiri, na kutoka Bible ipi kuipata hiyo yake unayofanyia reference?
Hiyo DIBAJI Imeonekana mbona na imeandikiwa article na waandishi kibao toka martin luther akiwa hai ila mimi ndio nmetumia hiyo niliyoweka ila haimaanishi ndio wa kwanza ndio maama nimekwambia katafute maana ya EPISTLE OF STRAW ndio utaniambia kama nachosema humu nimetunga au lah ila sitegemei unabisha bisha tu vitu ambavyo kila mtu anajua ni sawa na kusema Nyerere alikuwa rais wa Tanzania alafu uombe ushahidi????

Alitafsiri Biblia ya kilatin ambayo ilitafasiriwa na padre Jerome na ilikuwa inasomwa na viongozi tu wa kanisa katoliki washirika hawakuwa na access kabisa so luther ndio alitumia hiyo Vulgate pamoja na source zingine kama Hiyo septuagint,masoretic texts na textus receptus ili kupata taarifa zaidi za utafsiri kutoka kiebrania/kigiriki/kilatin ili apate maana ya maneno atakayoweka kwa lugha ya kijerumani.

Hiyo Biblia aliyoisoma ilikuwa na vitabu 73 ila alipotafsiri aliamua kuvifuta hivo 7 ambavyo aliviona ni apocrypha...... Na vilivobaki 66 aliamua kuvitenga kabisa vitabu kama 4 huku akiandika kwenye Dibaji kuwa HAVIFAI kuwa kwenye Biblia maana havijavuviwa na Roho mtakatifu.

Na ndio hoja yangu ikaanzia hapo kuwa je wakati anavitenga utasemaje Biblia zote ni sawa wakati wanakinzana misimamo juu ya baadhi ya maandiko??? So jikite hapo hayo mengine unaweza muuliza Pastor wako jumapili ndio utamuelewa akikupa jibu tofauti na langu kuhusu Luther Bible tafuta hii account JF i promise.
 
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,148
Likes
3,231
Points
280
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,148 3,231 280
Usihamishe mada embu jibu swali amri 10 pekee ndio zinampeleka mtu mbinguni hata asipozaliwa upya wala asipomkiri Yesu wala kujazwa Roho mtakatifu??

Agano jipya linasema Sheria za musa ni kivuli tu cha mambo mazuri yajayo ambayo reality ya hicho ni Yesu kristo ambaye ndio alikuja kuitimiza..... alafu ww unasema Amri 10 pekee zinatosha ina maana unampinga paulo aliyeziita KIVULI !!

Kazi kwelikweli

Nilikuwa na nia NJEMA kujua maradhi yako ili nikutibu kwa daawa sawia hukutaka! Sasa nakujibu kisilamu silamu! AMRI KUMI UKIZIFUATA KIKAMILIFU!; UMEMKIRI YESU, UTAZALIWA UPYA, UTAJAZWA ROHO MTAKATIFU! UKIMKIRI YESU; UMEZIFUATA AMRI KUMI PIA UMEJAZWA ROHO MTAKATIFU NA KUZALIWA UPYA! UKIZALIWA UPYA! NDIO UMEZIFUATA AMRI KUMI ZA MUNGU, UMEMKIRI KRISTO, UMEJAZWA ROHO MTAKATIFU! HABARI NDIO HIYO KUHUSU AMRI.10 (Vise versa) KUNA PIN HAPO YA KUKUZUIA KWENDA PEPONI?? SASA NAMBIE WAPI NIMEMPINGA PROF PAULO MTUME WA YESU??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Nilikuwa na nia NJEMA kujua maradhi yako ili nikutibu kwa daawa sawia hukutaka! Sasa nakujibu kisilamu silamu! AMRI KUMI UKIZIFUATA KIKAMILIFU!; UMEMKIRI YESU, UTAZALIWA UPYA, UTAJAZWA ROHO MTAKATIFU! UKIMKIRI YESU; UMEZIFUATA AMRI KUMI PIA UMEJAZWA ROHO MTAKATIFU NA KUZALIWA UPYA! UKIZALIWA UPYA! NDIO UMEZIFUATA AMRI KUMI ZA MUNGU, UMEMKIRI KRISTO, UMEJAZWA ROHO MTAKATIFU! HABARI NDIO HIYO KUHUSU AMRI.10 (Vise versa) KUNA PIN HAPO YA KUKUZUIA KWENDA PEPONI?? SASA NAMBIE WAPI NIMEMPINGA PROF PAULO MTUME WA YESU??

Sent using Jamii Forums mobile app
Embu acha kujichanganya wewe mwenyewe umesema Nitaje Biblia ambayo haina amri 10 za Mungu ikimaanisha kwamba hata vitabu vingine vikikinzana ila amri 10 zipo constant basi hzio biblia ni halali.

Ndio sasa nimekuhoji kwamba ukiwa na Biblia kama ya Waisrael wa samaria ambao walikuwa na Bible ya vitabu 5 tu tena vyote vya Torati ya musa. Je inawatosha wao kwenda peponi ilihali hawavitambui kabisa vitabu vya injili wala mafundisho ya Yesu n.k???

Hoja yangu ni kwamba torati pekee haitoshi ndio maana paulo alisema ni kivuli tu cha mambo mazuri yajayo na uhalisia ambao kibiblia ndio Yesu kristo sasa unapokomaa kusema amri 10 zinatosha ilihali paulo kasema ni kivuli tu nikueleweje kama sio kumpinga Paulo???

Wewe kama think tank na mtetezi mkuu wa wakristo humu jukwaani jitahidi uwe unasoma maandiko kabla ya kuingia kwenye mjadala wowote ule ili uwe na uhakika na unachosema sio kupotosha tu unajishushia sana credibility.
 
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,148
Likes
3,231
Points
280
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,148 3,231 280
Embu acha kujichanganya wewe mwenyewe umesema Nitaje Biblia ambayo haina amri 10 za Mungu ikimaanisha kwamba hata vitabu vingine vikikinzana ila amri 10 zipo constant basi hzio biblia ni halali.

Ndio sasa nimekuhoji kwamba ukiwa na Biblia kama ya Waisrael wa samaria ambao walikuwa na Bible ya vitabu 5 tu tena vyote vya Torati ya musa. Je inawatosha wao kwenda peponi ilihali hawavitambui kabisa vitabu vya injili wala mafundisho ya Yesu n.k???

KAMA HAWAMTAMBUI YESU!; YESU ALIWATAMBUA NA KUWAFIKIA KUPITIA HIVYO VITABU VITANO...

Hoja yangu ni kwamba torati pekee haitoshi ndio maana paulo alisema ni kivuli tu cha mambo mazuri yajayo na uhalisia ambao kibiblia ndio Yesu kristo sasa unapokomaa kusema amri 10 zinatosha ilihali paulo kasema ni kivuli tu nikueleweje kama sio kumpinga paulo!?

MAELEZO YOTE NILIYOKUWEKEA KTK POST YANGU ILIYO PITA BADO HUJAELEWA! UMENG'ANG'ANIA TU UNAMPINGA PAULO! HUU UTARATIBU WA IMANI YA KIKRISTO MUANZILISHI NI YESU MWENYEWE! HAKUNA WA KUVUNJA HIYO CHAIN! NA PAULO KAONGEA YA YESU!

Wewe kama think tank na mtetezi mkuu wa wakristo humu jukwaani jitahidi uwe unasoma maandiko kabla ya kuingia kwenye mjadala wowote ule ili uwe na uhakika na unachosema sio kupotosha tu unajishushia sana credibility.
Think tank ndio nini?? YESU MWENYEWE yupo HAI ndie MWALIMU NA MTETEZI WETU! JUKUMU alilo TUPA ni Kuihubiri INJILI!Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,822
Likes
479
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,822 479 180
Hiyo DIBAJI Imeonekana mbona na imeandikiwa article na waandishi kibao toka martin luther akiwa hai ila mimi ndio nmetumia hiyo niliyoweka ila haimaanishi ndio wa kwanza ndio maama nimekwambia katafute maana ya EPISTLE OF STRAW ndio utaniambia kama nachosema humu nimetunga au lah ila sitegemei unabisha bisha tu vitu ambavyo kila mtu anajua ni sawa na kusema Nyerere alikuwa rais wa Tanzania alafu uombe ushahidi????

Alitafsiri Biblia ya kilatin ambayo ilitafasiriwa na padre Jerome na ilikuwa inasomwa na viongozi tu wa kanisa katoliki washirika hawakuwa na access kabisa so luther ndio alitumia hiyo Vulgate pamoja na source zingine kama Hiyo septuagint,masoretic texts na textus receptus ili kupata taarifa zaidi za utafsiri kutoka kiebrania/kigiriki/kilatin ili apate maana ya maneno atakayoweka kwa lugha ya kijerumani.

Hiyo Biblia aliyoisoma ilikuwa na vitabu 73 ila alipotafsiri aliamua kuvifuta hivo 7 ambavyo aliviona ni apocrypha...... Na vilivobaki 66 aliamua kuvitenga kabisa vitabu kama 4 huku akiandika kwenye Dibaji kuwa HAVIFAI kuwa kwenye Biblia maana havijavuviwa na Roho mtakatifu.

Na ndio hoja yangu ikaanzia hapo kuwa je wakati anavitenga utasemaje Biblia zote ni sawa wakati wanakinzana misimamo juu ya baadhi ya maandiko??? So jikite hapo hayo mengine unaweza muuliza Pastor wako jumapili ndio utamuelewa akikupa jibu tofauti na langu kuhusu Luther Bible tafuta hii account JF i promise.
Bado jibu langu linabaki pale pale.
VIKO SAWA KWA MTIZMO NA UELEWA WA MTUMIAJI.

Swali Wewe una amini nini ukiwa kama Mkristo. kabla sijaomba jibu la mtizamo wako Biblia ipi ni sahihi/kweli.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Bado jibu langu linabaki pale pale.
VIKO SAWA KWA MTIZMO NA UELEWA WA MTUMIAJI.

Swali Wewe una amini nini ukiwa kama Mkristo. kabla sijaomba jibu la mtizamo wako Biblia ipi ni sahihi/kweli.
Kuwa sawa tunapoongelea ni machoni kwa Mungu ambao wanamuabudu si ndio sasa toka lini giza na nuru vikawa sawa mbele ya Mungu?? Kitendo cha maandiko kukinzana na kukosoana haiwezi kuwa sawa mbele ya Mungu hata siku moja kwahiyo ni vizuri kwanza tukubaliane kwamba havipo sawa MBELE ZA MUNGU hapo ndio mjadala uendelee kuhusu ipi ni sahihi maana kama unadai zipo sawa ina maana zote zipo SAHIHI hivyo mada imeishia hapo!! Yaani mpaka Biblia inayosema Abraham alipewa gauni la shetani nayo ipo sahihi!! Biblia inayosema malaika wa Mungu tunaoaminishwa ni watakatifu eti walibaka wanadamu!! Nayo ipo sawa??

Embu ukubali kwanza hapa ndio mjadala uendelee tutafute ipi ni sahihi

NB: Kuhusu msimamo wangu mie naamini Biblia 99% hazikujumuishwa kwa uweza wa Roho mtakatifu bali wahuni wachache walitumia akili zao kupanga nini tusome na kipi tusisome ndio maana vitabu vinakinzana

Ukitaka kuliona hilo ndio maana unakuta biblia inayosomwa zaidi ya King james version ilitafsiriwa kuingia kiingereza kwa amri na ufadhili wa SHOGA!! Yaani Mfalme James 1 Sasa utasema hapo aliongozwa na Roho mtakatifu?? Na kwa sasa Biblia ambayo ipo accurate kabisa kwenye tafsiri na ya pili kwa kusomwa zaidi yaani NIV nayo imefadhiliwa na Zondervan ambao nao wanachapisha majarida ya kusupport ushoga alafu mtu useme waliongozwa na Roho itahitaji ujitoe ufahamu kidogo!!

Amka mkuu
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Think tank ndio nini?? YESU MWENYEWE yupo HAI ndie MWALIMU NA MTETEZI WETU! JUKUMU alilo TUPA ni Kuihubiri INJILI!Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako unajifanya unajua wakati huna unalo fahamu ndio maana nimekushauri uwe unasoma kwanza kabla ya kuingia kwenye mijadala ya kitaaluma.....

Sasa hapo nmekuuliza samaria waliamini vitabu 5 tu vya Biblia yaani Torati na Yesu hawamtambui Je wataenda mbinguni kisa tu wameshika amri 10 za Mungu???

Wewe unajibu eti kupitia hivo vitabu 5 Yesu aliwafikia ilihali Biblia inasema pasipo kumkiri Yesu na kuzaliwa upya na kujazwa Roho huwezi kwenda mbinguni!! Kwahiyo ina maana Yesu alikuwa hana haja ya kuja sababu hata wasipomtambua bado wanaenda mbinguni?

NB: Uje na hoja sio screenshots za Quran
 
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,148
Likes
3,231
Points
280
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,148 3,231 280
Shida yako unajifanya unajua wakati huna unalo fahamu ndio maana nimekushauri uwe unasoma kwanza kabla ya kuingia kwenye mijadala ya kitaaluma.....

Sasa hapo nmekuuliza samaria waliamini vitabu 5 tu vya Biblia yaani Torati na Yesu hawamtambui Je wataenda mbinguni kisa tu wameshika amri 10 za Mungu???

Wewe unajibu eti kupitia hivo vitabu 5 Yesu aliwafikia ilihali Biblia inasema pasipo kumkiri Yesu na kuzaliwa upya na kujazwa Roho huwezi kwenda mbinguni!! Kwahiyo ina maana Yesu alikuwa hana haja ya kuja sababu hata wasipomtambua bado wanaenda mbinguni?

NB: Uje na hoja sio screenshots za Quran
Unarudia ujinga ule ule! Licha ya kukufundisha! Ufahamu kwanza kwamba Biblia Takatifu ni Kitabu cha IMANI na maana ya IMANI ni...wewe unalinganisha na kuihoji Biblia Takatifu sawa na kitabu cha hesabu! Nimekwambia KUPITIA Biblia Takatifu Yesu Amemfikia kila Kiumbe chake yeye Ni ALFA NA OMEGA! AMRI.10 ZA MUNGU, KUMKIRI YESU, KUZALIWA UPYA!; NI MDUARA AMBAO HUWEZI KUUVUNJA KTK IMANI YETU!
img_20190208_064941_029-jpeg.1016338

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Unarudia ujinga ule ule! Licha ya kukufundisha! Ufahamu kwanza kwamba Biblia Takatifu ni Kitabu cha IMANI na maana ya IMANI ni...wewe unalinganisha na kuihoji Biblia Takatifu sawa na kitabu cha hesabu! Nimekwambia KUPITIA Biblia Takatifu Yesu Amemfikia kila Kiumbe chake yeye Ni ALFA NA OMEGA! AMRI.10 ZA MUNGU, KUMKIRI YESU, KUZALIWA UPYA!; NI MDUARA AMBAO HUWEZI KUUVUNJA KTK IMANI YETU! View attachment 1016338

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hoja imekushinda kabisa..... Sasa ushaambiwa Israel ya samaria walitumia vitabu 5 tu vya Musa na vingine vyote hawatambui ikiwemo agano jipya alafu bado unasema wamemjua Yesu kupitia humo!! Kama sio upotoshaji ni nni??

Niambie wapi kwenye Torati inaposema ukimkiri Yesu ndio utaenda mbinguni?? Kama hamna hao wanaotumia Samarian Bible/Torah watajuaje kuhusu hilo??

Kajisomee urudi na hoja
 
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,148
Likes
3,231
Points
280
mgen

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,148 3,231 280
Naona hoja imekushinda kabisa..... Sasa ushaambiwa Israel ya samaria walitumia vitabu 5 tu vya Musa na vingine vyote hawatambui ikiwemo agano jipya alafu bado unasema wamemjua Yesu kupitia humo!! Kama sio upotoshaji ni nni??

Niambie wapi kwenye Torati inaposema ukimkiri Yesu ndio utaenda mbinguni?? Kama hamna hao wanaotumia Samarian Bible/Torah watajuaje kuhusu hilo??

Kajisomee urudi na hoja
Kama mtoto analilia pipi! Labda nikuulize Unapo zitii Amri.10 za Mungu HUJA MKIRI YESU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

nsekwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2015
Messages
888
Likes
1,306
Points
180
N

nsekwa

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2015
888 1,306 180
Torati 12:32
32 Neno niwaagizalo lo lote liangalieni kulifanya; usiliongeze, wala usilipunguze.

Je huu mstari unaopinga kupunguza au kuongeza maneno kwa Bible unauzungumziaje ?
Hapo unatakiwa ujue neno gani lililokuwa linaagizwa, ni hayo maagizo ndiyo wanaagizwa wasiyaongeze wala kuyaunguza. Hata mwenye kitabu cha Ufunuo anaelekeza kuhusu maneno yaliyomo kwenye Ufunuo, hakuna alipotaja biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,822
Likes
479
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,822 479 180
Kuwa sawa tunapoongelea ni machoni kwa Mungu ambao wanamuabudu si ndio sasa toka lini giza na nuru vikawa sawa mbele ya Mungu?? Kitendo cha maandiko kukinzana na kukosoana haiwezi kuwa sawa mbele ya Mungu hata siku moja kwahiyo ni vizuri kwanza tukubaliane kwamba havipo sawa MBELE ZA MUNGU hapo ndio mjadala uendelee kuhusu ipi ni sahihi maana kama unadai zipo sawa ina maana zote zipo SAHIHI hivyo mada imeishia hapo!! Yaani mpaka Biblia inayosema Abraham alipewa gauni la shetani nayo ipo sahihi!! Biblia inayosema malaika wa Mungu tunaoaminishwa ni watakatifu eti walibaka wanadamu!! Nayo ipo sawa??

Embu ukubali kwanza hapa ndio mjadala uendelee tutafute ipi ni sahihi

NB: Kuhusu msimamo wangu mie naamini Biblia 99% hazikujumuishwa kwa uweza wa Roho mtakatifu bali wahuni wachache walitumia akili zao kupanga nini tusome na kipi tusisome ndio maana vitabu vinakinzana

Ukitaka kuliona hilo ndio maana unakuta biblia inayosomwa zaidi ya King james version ilitafsiriwa kuingia kiingereza kwa amri na ufadhili wa SHOGA!! Yaani Mfalme James 1 Sasa utasema hapo aliongozwa na Roho mtakatifu?? Na kwa sasa Biblia ambayo ipo accurate kabisa kwenye tafsiri na ya pili kwa kusomwa zaidi yaani NIV nayo imefadhiliwa na Zondervan ambao nao wanachapisha majarida ya kusupport ushoga alafu mtu useme waliongozwa na Roho itahitaji ujitoe ufahamu kidogo!!

Amka mkuu
Swali langu umelieelwa ila kwa hila zako unakuja na jibu. NB: Kuhusu msimamo wangu mie naamini Biblia 99% hazikujumuishwa kwa uweza wa Roho mtakatifu bali wahuni wachache walitumia akili zao kupanga nini tusome na kipi tusisome ndio maana vitabu vinakinzana.
Sijakuuliza imani kwenye vitabu.
Nataka utuambie IMANI YAKO ni ipi? Ngoja niweke hivi. Wewe unaabudu Mungu wa imani gani?
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,285
Likes
2,023
Points
280
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
13,285 2,023 280
Padri mgen Wadanganye kondoo kanisani lakini sio hapa jf
wewe mwalimu wako Mkuu ni allah! Kwa nini usianzie kwa allah aliye kufundisha...allah ameelewa na kuwaele mchana kweupe?! Kwa nini unabagua na huamini? au wewe ni mjuzi zaidi ya allah na muhammad kwa umoja wao? Sema bro! Ili tubague na tukuamini wewe!
Hii kitu imewapita? Namsalimieni tu.

Mgen unaposali unasujudu au unalala kifudi fudi?

Link Pope says nuns were reduced to sexual slavery - Premier

Link2. Pope says priests kept nuns as sex slaves

Link3. Pope Acknowledges Nuns Were Sexually Abused by Priests and Bishops
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Swali langu umelieelwa ila kwa hila zako unakuja na jibu. NB: Kuhusu msimamo wangu mie naamini Biblia 99% hazikujumuishwa kwa uweza wa Roho mtakatifu bali wahuni wachache walitumia akili zao kupanga nini tusome na kipi tusisome ndio maana vitabu vinakinzana.
Sijakuuliza imani kwenye vitabu.
Nataka utuambie IMANI YAKO ni ipi? Ngoja niweke hivi. Wewe unaabudu Mungu wa imani gani?
Tusitoke nje ya mada zitto junior hata akiabudu mungu wa makopo bado haijibu swali lake je Biblia ipi ni halisi..... Nmeshakupa msimamo wangu juu ya Biblia ambayo ipo ndani ya mada hayo mengine fungua uzi au uende chit chat kwenye hii thread ntakujibu

JF Hard Talk "Zitto junior" - JamiiForums

Otherwise baki kwenye mada je Biblia zote zitakuwaje sawa ilihali zinakinzana
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Hapo unatakiwa ujue neno gani lililokuwa linaagizwa, ni hayo maagizo ndiyo wanaagizwa wasiyaongeze wala kuyaunguza. Hata mwenye kitabu cha Ufunuo anaelekeza kuhusu maneno yaliyomo kwenye Ufunuo, hakuna alipotaja biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh vizuri kumbe Biblia ni kisiwa?? Kwahiyo hata Amri 10 za Mungu walipewa wayahudi hivo sisi hazituhusu?? Hata maagizo mengi paulo aliwapa wagalatia sijui waefeso kumbe hazituhusu sisi wajita na wachagga!!

Sasa biblia tunasoma ya nini kama kila ujumbe una hadhira specific na sio kila mtu...... Yaani ufunuo ana audience yake!! Wagalatia audience yake hivo hayako applicable kwetu!!
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Kuna umma ngapi kwa mujibu wailimu Islam?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye mada.... kama imekushinda sema tu sio kudandia hoja mfu.

Swali ni hili Je Torati pekee inakusaidiaje kumkiri Yesu kristo?? Kama ingekuwa hivo mbona wayahudi hawamtambui Yesu ilihali wamekariri vitabu vyote vya Torati ya Musa!!
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,285
Likes
2,023
Points
280

Forum statistics

Threads 1,262,477
Members 485,588
Posts 30,123,273