Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Mkuu sijengi hoja kwa Mwakasege wala Malasusa.
Biblia wanazotumia Lutheran hapa TZ ndio hizo zenye 66 books including ESTHER, UFUNUO nk.
Je, wamemgeuka mwasisi wao?

Kwa maelezo yako 3.
inatosha kabisa kuelewa jibu langu, kwanini nimesema zipo sawa kwa mtizamo na uelewa wa mtumiaji.

Unless unambie wewe mstari huu hukubaliani nao.
Matthew 7:20
Thus, by their fruit you will recognize them.
Mkuu uzi unasema MARTIN LUTHER yaani muasisi wa kanisa analosali malasusa na mwakasege ALIMUITA Esther,Yuda,Yohana na Muandishi wa waebrania ni mitume/manabii UCHWARA na alipotafsiri hiyo Biblia kwenda kijerumani alivitenga kabisa hivo vitabu na hoja yangu ndio ipo hapa..... sasa huyo malasusa au mwakasege wakitumia 66 haibadilishi ukweli kuwa Martin luther alivipinga..... Ndio nmekuuliza Je Luther Bible mpaka hapo itakuwa sawa na protestant Bible zingine?? Na kama sio Je unawezaje sema zote ni sawa kwa mrengo wa msomaji!! Yaani mtu awaite manabii wa Mungu ni UCHWARA alafu bado awe sawa na anayewaona ni WATAKATIFU??
 
Be serious
Unaipotezea koloani!; unaipotezea Biblia Takatifu. Halafu unajiona uko serious...hhhhhhhhhh fikisha mzigo huo! nimesha kupotezea!
IMG-20180501-WA0023.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi mtazamo wangu ni mmoja tu.....mf kabla ya izi dini mfano. na kabla ya amri 10 za MUNGU... mfano, mtu ukiua au ukizini, roho yako inakushuhudia dhambi au? yaan ulichofanya ni sahihi ama?....mi ninachojua, tendo lolote kama ni baya...... kama ukilifanya roho yako ikikusuta, basi ni baya. maandiko yapoooo na yapo ya ukweli na ya uongo... sasabasi, mi naamini binadamu ameumbwa na moyo, kwa maana lolote aliwazalo lazima lipite kwenye moyo na kulichuja na kujua kama ni sahihi kulitekeleza ama la .. na siku zote na milele, moyo huchuja jema na baya mbele ya Mungu...no excuse apo. ukitenda jema, moyo utakuambia kuwa ni jema au baya. .. sasa apo ni kuchagua, kusuka au kunyoa...ukitenda dhambi moyo utakushuhudia . na ukitenda mema, moyo utakushuhudia pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uzi unasema MARTIN LUTHER yaani muasisi wa kanisa analosali malasusa na mwakasege ALIMUITA Esther,Yuda,Yohana na Muandishi wa waebrania ni mitume/manabii UCHWARA na alipotafsiri hiyo Biblia kwenda kijerumani alivitenga kabisa hivo vitabu na hoja yangu ndio ipo hapa..... sasa huyo malasusa au mwakasege wakitumia 66 haibadilishi ukweli kuwa Martin luther alivipinga..... Ndio nmekuuliza Je Luther Bible mpaka hapo itakuwa sawa na protestant Bible zingine?? Na kama sio Je unawezaje sema zote ni sawa kwa mrengo wa msomaji!! Yaani mtu awaite manabii wa Mungu ni UCHWARA alafu bado awe sawa na anayewaona ni WATAKATIFU??
Show me the proof ya hiyo MANABII UCHWARA. Kwenye hiyo Bible.
 
Haya kuna mwandishi hapa kanukuu moja ya paragraph muhimu ya Dibaji ya Biblia ya luther alipoitoa mwaka 1522

In a word St. John’s Gospel and his first epistle, St. Paul’s epistles, especially Romans, Galatians, and Ephesians, and St. Peter’s first epistle are the books that show you Christ and teach you all that is necessary and salvatory for you to know, even if you were never to see or hear any other book or doctrine. Therefore St. James’ epistle is really an epistle of straw, compared to these others, for it has nothing of the nature of the gospel about it.
(The Protestant Reformation, Hans J. Hillerbrand, ed., New York, Harper Torchbooks, 1968, p. 42)

Haya kazi kwako je luther alikuwa sahihi au lah
 
mimi mtazamo wangu ni mmoja tu.....mf kabla ya izi dini mfano. na kabla ya amri 10 za MUNGU... mfano, mtu ukiua au ukizini, roho yako inakushuhudia dhambi au? yaan ulichofanya ni sahihi ama?....mi ninachojua, tendo lolote kama ni baya...... kama ukilifanya roho yako ikikusuta, basi ni baya. maandiko yapoooo na yapo ya ukweli na ya uongo... sasabasi, mi naamini binadamu ameumbwa na moyo, kwa maana lolote aliwazalo lazima lipite kwenye moyo na kulichuja na kujua kama ni sahihi kulitekeleza ama la .. na siku zote na milele, moyo huchuja jema na baya mbele ya Mungu...no excuse apo. ukitenda jema, moyo utakuambia kuwa ni jema au baya. .. sasa apo ni kuchagua, kusuka au kunyoa...ukitenda dhambi moyo utakushuhudia . na ukitenda mema, moyo utakushuhudia pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo moja laweza kuwa baya sehemu moja na lisiwe baya sehemu nyengine,sasa ukisema jambo baya lazima ujue kwa ni baya kwa taratibu za wapi?
 
Lakini hili jibu lako linakinzana na maneno ya walioandika Biblia... Mfano Mtume Yohana wa ufunuo alisema msiongeze au kupunguza neno kwenye maandiko ya Mungu sababu mtatupwa KUZIMU..... sasa basi huoni makanisa mengine kuwa na vitabu pungufu au nyongeza tayari wamekinzana na maandiko hivo kufanya Biblia zao kuwa batili

Karibu
Watahukumiwa wao.. kwa kufanya uharibifu... ingawa pia labda walikuwa na sababu zao ambazo hatuzijui ki undani! ...sio watumiaji ambao wamezikuta karne kwa karne..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kwa yote mradi tu hakuna hata kimoja ya hivyo vitabu yaani biblia kinachowachochea watu kufanya maovu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda mbinguni sio kwa KUEPUKA maovu bali KUFUATA MAFUNDISHO YA MUNGU.... Maana kama ni maadili tu na kuepuka uovu hata imani kama budha na Confucianism zinaongoza je ww kama mkristo hawa wataenda mbinguni???

Jibu ni HAPANA..... Sasa basi mafundisho ya kumfuata Yesu sijui Roho mtakatifu etc akiyafuata ndio atapata neema!!

Sasa kuna Biblia nimeeleza mfano wa kitabu cha Yakobo kinachosema IMANI huenda na MATENDO.... Martin luther alikipinga akasema ni cha Mtume Uchwara na akasema kifutwe kwenye Biblia yake....

Sasa mkristo ambaye hatosoma kuwa imani inaenda na matendo.... Bali akashika imani ilihali matendo yake baadhi ni mabaya je huyo atauona ufalme wa Mungu?? Kama hatouona Je huoni Luther Bible iliwaingiza wengi motoni.

Na kama iliwaingiza je huoni tayari moja wapo ya Biblia imepotosha mambo ambayo yanaweza cost watu mbingu?? Je sio UOVU huo??
 
Lakini hili jibu lako linakinzana na maneno ya walioandika Biblia... Mfano Mtume Yohana wa ufunuo alisema msiongeze au kupunguza neno kwenye maandiko ya Mungu sababu mtatupwa KUZIMU..... sasa basi huoni makanisa mengine kuwa na vitabu pungufu au nyongeza tayari wamekinzana na maandiko hivo kufanya Biblia zao kuwa batili

Karibu

Una tatizo la Hujui kwamba Hujui! Angalia HII TBS HALAFU NDIO UONYESHE KILICHO ONGEZWA IMA KILICHO PUNGUZWA! Sio unatoa hitimisho tu! Sio unavyo fikiria wewe ukiona nukta baadaye koma basi unakuja na hitimisho hapa wameongeza na kupunguza hhhhhhhhhh...wewe hufundishiki na Kazi unayo...
IMG_20181217_203655_665.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watahukumiwa wao.. kwa kufanya uharibifu... ingawa pia labda walikuwa na sababu zao ambazo hatuzijui ki undani! ...sio watumiaji ambao wamezikuta karne kwa karne..

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay kwahiyo hata Dini zingine waliopotoshwa na imani zao nao waasisi wao pekee ndio watahukumiwa ila hao wafuasi wataenda mbinguni?? Aisee ama sijaelewa mkuu
 
Una tatizo la Hujui kwamba Hujui! Angalia HII TBS HALAFU NDIO UONYESHE KILICHO ONGEZWA IMA KILICHO PUNGUZWA! Sio unatoa hitimisho tu! Sio unavyo fikiria wewe ukiona nukta baadaye koma basi unakuja na hitimisho hapa wameongeza na kupunguza hhhhhhhhhh...wewe hufundishiki na Kazi unayo...View attachment 1014044

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo amri 10 za Mungu zinatosha kukupeleka mbinguni hata Bila ya kujazwa Roho mtakatifu au kumkiri Yesu kristo?? Kama wwe ndio think tank wa wakristo humu JF na ndio unadai amri 10 zinatosha basi kazi ipo
 
Hebu kwanza nieleweshe kabla sija kupa DAAWA SAHIHI kulingana na maradhi yanayo kusibu!; wewe binafsi unamfahamuje ROHO MTAKATIFU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda mbinguni sio kwa KUEPUKA maovu bali KUFUATA MAFUNDISHO YA MUNGU.... Maana kama ni maadili tu na kuepuka uovu hata imani kama budha na Confucianism zinaongoza je ww kama mkristo hawa wataenda mbinguni???

WATAENDA MBINGUNI!

Jibu ni HAPANA..... Sasa basi mafundisho ya kumfuata Yesu sijui Roho mtakatifu etc akiyafuata ndio atapata neema!!

HATA HUELEWEKI! KUMBE HUJUI hhhhhhhhhh

Sasa kuna Biblia nimeeleza mfano wa kitabu cha Yakobo kinachosema IMANI huenda na MATENDO.... Martin luther alikipinga akasema ni cha Mtume Uchwara na akasema kifutwe kwenye Biblia yake....

KIMEFUTWA WAPI?

Sasa mkristo ambaye hatosoma kuwa imani inaenda na matendo.... Bali akashika imani ilihali matendo yake baadhi ni mabaya je huyo atauona ufalme wa Mungu?? Kama hatouona Je huoni Luther Bible iliwaingiza wengi motoni.

WEKA BIBLIA ILIYO FUTA KITABU CHA YAKOBO!?

Na kama iliwaingiza je huoni tayari moja wapo ya Biblia imepotosha mambo ambayo yanaweza cost watu mbingu?? Je sio UOVU huo??

WEKA BIBLIA ILIO FUTA KITABU CHA YAKOBO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEKA BIBLIA ILIO FUTA KITABU CHA YAKOBO!

Sent using Jamii Forums mobile app
Martin Luther alitaka kuvifuta ila kwa msaada wa wanamatengenezo wengine kama Calvin vikabaki ila kama anavyosema Zittojuniour ni kweli wakati anatafsiri aliviondoa. Thanks to Calvin na wenzake walau Wakristo tumebakia na agano jipya moja na tofauti kubakia agano la kale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kwanza nieleweshe kabla sija kupa DAAWA SAHIHI kulingana na maradhi yanayo kusibu!; wewe binafsi unamfahamuje ROHO MTAKATIFU?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usihamishe mada embu jibu swali amri 10 pekee ndio zinampeleka mtu mbinguni hata asipozaliwa upya wala asipomkiri Yesu wala kujazwa Roho mtakatifu??

Agano jipya linasema Sheria za musa ni kivuli tu cha mambo mazuri yajayo ambayo reality ya hicho ni Yesu kristo ambaye ndio alikuja kuitimiza..... alafu ww unasema Amri 10 pekee zinatosha ina maana unampinga paulo aliyeziita KIVULI !!

Kazi kwelikweli
 
Haya kuna mwandishi hapa kanukuu moja ya paragraph muhimu ya Dibaji ya Biblia ya luther alipoitoa mwaka 1522

In a word St. John’s Gospel and his first epistle, St. Paul’s epistles, especially Romans, Galatians, and Ephesians, and St. Peter’s first epistle are the books that show you Christ and teach you all that is necessary and salvatory for you to know, even if you were never to see or hear any other book or doctrine. Therefore St. James’ epistle is really an epistle of straw, compared to these others, for it has nothing of the nature of the gospel about it.
(The Protestant Reformation, Hans J. Hillerbrand, ed., New York, Harper Torchbooks, 1968, p. 42)

Haya kazi kwako je luther alikuwa sahihi au lah
Kweli huu ndio ushahidi niliotaka uulete hapa? C&P andiko la 1968 kuelezea habari ya 1522 how many years? Hiyo nayo umeshindwa kuiona.
Bado nasubiri proof ya Luther. Otherwise uje tukubatize. Ukiogopa ya baridi yako tutachemsha!!
 
Mkuu mie unanichosha tu sasa ulitegemea nilete hapa maandishi ya kijerumani ya mwaka 1522??? Are you serious?? Hiyo ni tafsiri ya DIBAJI ya Luther Bible ya kwanza kabisa. Mbona Yesu aliishi miaka 2000 iliyopita ila Biblia unayosoma ya kiswahili imekuwa copy and pasted 1970s hapo ila bado unasoma na kuiamini na wala hujawahi hoji wakuletee original maneno aliyosema Yesu ?? Huoni una double standards

Issue hapa ni kwamba tukio hilo lipo wewe unaweza hata kugoogle au kwenda maktaba au kuuliza wachungaji wako kuhusu EPISTLE OF STRAW hiyo nadharia ni ya Martin Luther na utakutana na vitabu,articles vyote na journals ambazo zimechambua hili swala sasa kama hutaki nicopy and paste vitabu vilivyoandika sijui unataka nitoe wapi facts???

Au otherwise kanunue Luther Bible original version iliyoandikwa kijerumani usome dibaji yake ukikuta nachosema hakipo ndio uje ubishe sio unabisha kitu ambacho dunia nzima inajua
 
Back
Top Bottom