mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Kwani Huyu jamaa alifanikisha wizi wa Pesa kiasi gani hadi wadanganye amekufa?
Kama wezi wa Pesa za EPA, RICHMOND, DOWANS, KIWIRA, RADA, ESCROW n.k wao hawajazushiwa vifo wakati wamechota pesa zote hizo iweje Balali?
Kuna nini cha ziada Balali alifanya?
nasikia mchizi alikuwa muaminifu. Hakuiba chochote ila aliwajua wote waliochota mahela na laiti kama wangemuacha angewataja