Je Balali Yupo ama Hayupo

Je Balali Yupo ama Hayupo

Mugabe wa Bongo

Senior Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
145
Reaction score
73
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka ileee...sasa jee hivi mshkaji yupo ama Hayupo...ukweli ni upi????
 
yupo "twiraa" ana tweet kila anapojisikia kufanya hivyo.
 
uliona wapi gavana alieisaidia ccm kuingia madarakani anazikwa kama nilivyo mzika mbwa wangu tu...
 
Kwani Huyu jamaa alifanikisha wizi wa Pesa kiasi gani hadi wadanganye amekufa?

Kama wezi wa Pesa za EPA, RICHMOND, DOWANS, KIWIRA, RADA, ESCROW n.k wao hawajazushiwa vifo wakati wamechota pesa zote hizo iweje Balali?

Kuna nini cha ziada Balali alifanya?
 
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka ileee...sasa jee hivi mshkaji yupo ama Hayupo...ukweli ni upi????

atuwepo huyo jamaa kwa jinsi alivokuwa na fedha ni vigumu kumzika ughaibuni lazima wangemsafirisha aje azikwe kwenye asili yake ni jambo la kisiasa hilo labda ndugu mwandishi anauwinda ukuu wa wilaya.
 
Yupo, we subiri lowasa asipopewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya ccm kuwania urais mwaka kesho!!!!
Tutakuwa na uhakika wa uwepo wa Bilali. Alisema atasema alipo.
Mie naomba asipewe hiyo fursa ili ukweli kuhusu bilali tuujue!!!!
 
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka ileee...sasa jee hivi mshkaji yupo ama Hayupo...ukweli ni upi????

jamaa yupo,nlipokuwa home iringa kijijn luganga ambako na ye ndo kwao nlickia kuw hakuna ndgu anaamin km kafa alaf pia ndguze weng wa kalb safar za nje naskia haziishag!
 
Wanaenda kusafisha kaburi.
jamaa yupo,nlipokuwa home iringa kijijn luganga ambako na ye ndo kwao nlickia kuw hakuna ndgu anaamin km kafa alaf pia ndguze weng wa kalb safar za nje naskia haziishag!
 
Ndo ujue wa Tz 2livyo w2 wa 2lio wajinga kupindukia na kupelekwa pelekwa eti gavana wa bank kuu ya tz anafariki anazikwa nje does it make sense? Na mbaya zaidi cku chache ili atoe ukweli wa jambo fulani,hi nidhahili kuwa kile alicho taka kusema ni kweli na wahusika w2 wanawajua sema!.
Ila mwajiri wake JM kikwete atakua anajua zaidi
 
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka ileee...sasa jee hivi mshkaji yupo ama Hayupo...ukweli ni upi????
Muulize JK anayekwenda Marekani mara kwa mara kwamba je alishafika nyumbani kwake kuhani na kutembelea kaburi. Maana Balali ni mtu mkubwa sana haiwezekani rais na matripu yake kibao ya kwenda huko akose hata nafasi ya kwenda kuhani msiba huo mkubwa wakati huwa tunaoneshwa akiwa na wasanii mbali mbali wa huko na hao wanaoitwa madiaspora sembuse kwenda msibani? Hebu hesabia tripu za Marekani alizozipiga rais toka Balali amefariki halafu jiulize kwa msiba mzito kama ule ashindwe kufika wakati hapa misiba ya wasanii hakosekani?
 
Balali yupo hai wamemfanya kafa sababu wangeumbuka wengi vigogo mafisadi ingekuwa historia ya dunia lakini Mungu hawafichi wanafki
 
Ngoja CDM ichukue inchi ndo utajua kama balali yupo hai au kafa
 
Back
Top Bottom