Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Kama kweli awamu ya sita imedhamiria kufuta yote maovu ya awamu ya tano.

Miji imejaa wamachinga wawaondoe na hao.
 
Sauti ya magufuli itasikika mpaka oldonyo lengai bro hawezi kushinda 2025

Hata ya Idd Amini inasikika mpaka leo. Mliofaidika na uovu wake ndio mna muda wa kutunza hiyo sauti yake . Nchi hii sio ya kutawaliwa na kiongozi dhalimu.
 
Kama kweli awamu ya sita imedhamiria kufuta yote maovu ya awamu ya tano.

Miji imejaa wamachinga wawaondoe na hao.

Machinga kuwa barabarani ni uovu? Au umepagawa mpaka hujui umetetee vipi dhalimu?
 
Itoshe tu kusema wewe ni Mpumbavu wa kiwango cha SGR! Uwepo wako ni hasara kwa taifa
Ona unavyojionyesha ukichaa hapa bila aibu!

Hivi umetokea wapi wewe, mbona sijawahi kukuona hapa JF? Vichaa wenzako wote hapa wanajulikana, na huwa sihangaiki nao.
 
Lazima uwe juha kuamini kuwa marehemu alikuwa kiongozi. Yule alikuwa ni laana kwa Taifa. Ndiyo maana hakuna kilichostawi wakati wabutawala wake, kuanzia uchumi, umoja, demokrasia, haki, upendo - kila kitu aliharibu.

Mazuri aliyoyafanya niachache sana ukilingamisha na uovu alioutenda.
 
Ulitaka aendelee na siasa za utekaji na mauwaji za mwendazake sasa nakujulisha huyu mama ataendesha uchaguzi wa haki na atashinda kihalali bila ya kufanya ghilba na udanganyifu.
 
Sasa mtoa mada unataka aache madudu ya awamu ya 5 ama?? Ni lazima asafishe kwanza ndipo aweke vyake.

Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?
=>Hapana awamu ya sita haijifichi kwenye kivulu cha awamu ya tano, kurekebisha makosa yaliyofanywa hakufanyi kua inajificha ilhali kuna mambo kadha wa kadha hayakufanywa nyuma na sasa yanafanywa kwa uwazi kabisa.

Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?
=> Sio rahisi kumridhisha kila mwananchi na serikali ina watumishi wengi, utakua msafi wewe mwingine ni fisadi na mnafki. Hilo haliwezekani popote.

Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?
=> Kutokuyagusa ukiwa na maana ipi mkuu. Ilani ni ile ile inayoendela kutekelezwa kwani awamu ya tano iliyaacha mambo yaliyokua yanafanywa awamu ya nne??

Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?
=> Sio lazima ndio maana sio yote yanabadilishwa, mengi yapo vilevile.

Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?
=>Mazuri machache yalikuwepo, ila mengi yalikua mabaya yasiyo na manufaa yoyote na mengi pia mabaya yalifumbiwa macho(sabaya,happi,chalamila, bashite nk)
 
awamu ya mwenda zake, nikibahatika kuzeeka nitawahadithia wajukuu zangu
 
Sijui nikutukane
 
Tunarekebisha makosa yote tangu uhuru,
Hakuna tofauti Kati ya kutekeleza mambo ya wananchi,na kurekebisha makosa ya nyuma,
 
#
JPM hana mfano kwa aliyotufanyia yatabakia kama kumbukumbu ya kudumu.
Na Historia itajiandika kutokana na kwenye kila Mradi ya kimaendeleo ya kimkakati aliyoianzisha katika nchi nzima.Kama
Mabarabara,
Reli ya STANDARD GAUGE,
Madaraja ya kuvuka Bahari Kurasini DSm,na kuvuka ziwa Victoria
Busisi,Mwanza,
Mabwawa ya Umeme,
Umeme wa REA,
Stendi za Mabasi,
Shule,
Maghorofa ya Magomeni,
Ufufuaji wa ATCL,
Ufufuaji wa MELI na
VIVUKO Duuh mambo ni mengi na mimi nasema wazi iko siku watu watataka kuujua ukweli wa kifo cha #JPM.

View attachment 1829770
 
Broo iyo ndio kazi ya siasa za hapa nyumbani yaani nikutengeneza tatiza kisha kulitafutia ufumbuzi na sisi kupiga makofi basi, siku zinaenda miaka inayoyoma.
 
Bado hujui, mweupe sana hujui nchi hii vizuri...mwendazake alikuwa ovyo haijawai tokea
 
Binafsi chama chochote kitakachokuja na slogani za Kimagufuli, Kura yangi nawagea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…