Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Kama kweli awamu ya sita imedhamiria kufuta yote maovu ya awamu ya tano.

Miji imejaa wamachinga wawaondoe na hao.
 
Sauti ya magufuli itasikika mpaka oldonyo lengai bro hawezi kushinda 2025

Hata ya Idd Amini inasikika mpaka leo. Mliofaidika na uovu wake ndio mna muda wa kutunza hiyo sauti yake . Nchi hii sio ya kutawaliwa na kiongozi dhalimu.
 
Kama kweli awamu ya sita imedhamiria kufuta yote maovu ya awamu ya tano.

Miji imejaa wamachinga wawaondoe na hao.

Machinga kuwa barabarani ni uovu? Au umepagawa mpaka hujui umetetee vipi dhalimu?
 
Awamu ya tano
Q0f.jpg
 
Itoshe tu kusema wewe ni Mpumbavu wa kiwango cha SGR! Uwepo wako ni hasara kwa taifa
Ona unavyojionyesha ukichaa hapa bila aibu!

Hivi umetokea wapi wewe, mbona sijawahi kukuona hapa JF? Vichaa wenzako wote hapa wanajulikana, na huwa sihangaiki nao.
 
Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Lazima uwe juha kuamini kuwa marehemu alikuwa kiongozi. Yule alikuwa ni laana kwa Taifa. Ndiyo maana hakuna kilichostawi wakati wabutawala wake, kuanzia uchumi, umoja, demokrasia, haki, upendo - kila kitu aliharibu.

Mazuri aliyoyafanya niachache sana ukilingamisha na uovu alioutenda.
 
Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Ulitaka aendelee na siasa za utekaji na mauwaji za mwendazake sasa nakujulisha huyu mama ataendesha uchaguzi wa haki na atashinda kihalali bila ya kufanya ghilba na udanganyifu.
 
Sasa mtoa mada unataka aache madudu ya awamu ya 5 ama?? Ni lazima asafishe kwanza ndipo aweke vyake.

Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?
=>Hapana awamu ya sita haijifichi kwenye kivulu cha awamu ya tano, kurekebisha makosa yaliyofanywa hakufanyi kua inajificha ilhali kuna mambo kadha wa kadha hayakufanywa nyuma na sasa yanafanywa kwa uwazi kabisa.

Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?
=> Sio rahisi kumridhisha kila mwananchi na serikali ina watumishi wengi, utakua msafi wewe mwingine ni fisadi na mnafki. Hilo haliwezekani popote.

Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?
=> Kutokuyagusa ukiwa na maana ipi mkuu. Ilani ni ile ile inayoendela kutekelezwa kwani awamu ya tano iliyaacha mambo yaliyokua yanafanywa awamu ya nne??

Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?
=> Sio lazima ndio maana sio yote yanabadilishwa, mengi yapo vilevile.

Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?
=>Mazuri machache yalikuwepo, ila mengi yalikua mabaya yasiyo na manufaa yoyote na mengi pia mabaya yalifumbiwa macho(sabaya,happi,chalamila, bashite nk)
 
Cha kushangaza wewe ni CCM lakini hujui chochote kuhusu Ilani ya uchaguzi na mpango wa maendeleo wa taifa wa miaka 5.

Ila binafsi sishangai, naona unajaribu kujificha ficha lakini ukweli ni kwamba humkubali Rais Samia tangu ameingia madarakani.

Samia mpaka sasa bado ni Rais bora mara 200 kuliko kibwengo Magu, ambaye kila mwenye akili timamu anashangaa alifikaje pale juu.

Luckily, Mungu kasaidia kama ambavyo alifika pale juu kwa ajali, ameondoka vile vile kwa ajali.

Sasa hivi huna tofauti na Mmawia kifikra.
awamu ya mwenda zake, nikibahatika kuzeeka nitawahadithia wajukuu zangu
 
Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Sijui nikutukane
 
Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.

Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.

Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.

Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?

Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?

Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?

Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?

Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?

Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.

Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
Tunarekebisha makosa yote tangu uhuru,
Hakuna tofauti Kati ya kutekeleza mambo ya wananchi,na kurekebisha makosa ya nyuma,
 
#JPM hana mfano kwa aliyotufanyia yatabakia kama kumbukumbu ya kudumu.
Na Historia itajiandika kutokana na kwenye kila Mradi ya kimaendeleo ya kimkakati aliyoianzisha katika nchi nzima.Kama Mabarabara,Reli ya STANDARD GAUGE,Madaraja ya kuvuka Bahari Kurasini DSm,na kuvuka ziwa Victoria Busisi,Mwanza,
Mabwawa ya Umeme,
Umeme wa REA,Stendi za Mabasi,Shule,Maghorofa ya Magomeni,Ufufuaji wa ATCL,Ufufuaji wa MELI na VIVUKO Duuh mambo ni mengi na mimi nasema wazi iko siku watu watataka kuujua ukweli wa kifo cha #JPM.
View attachment 1829770
 
Broo iyo ndio kazi ya siasa za hapa nyumbani yaani nikutengeneza tatiza kisha kulitafutia ufumbuzi na sisi kupiga makofi basi, siku zinaenda miaka inayoyoma.
 
#JPM hana mfano kwa aliyotufanyia yatabakia kama kumbukumbu ya kudumu na Historia itajiandika kwenye kila Mradi aliouanzisha.Kama Mabarabara,Madaraja,
Mabwawa ya Umeme,
Umeme wa REA,Stendi za Mabasi,Shule,Maghorofa ya Magomeni,Ufufuaji wa ATCL,Ufufuaji wa MELI na VIVUKO Duuh mambo ni mengi na mimi nasema wazi iko siku watu watataka kuujua ukweli wa kifo cha #JPM.
Bado hujui, mweupe sana hujui nchi hii vizuri...mwendazake alikuwa ovyo haijawai tokea
 
Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke
Binafsi chama chochote kitakachokuja na slogani za Kimagufuli, Kura yangi nawagea
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom