Je, asili ya majini ni ipi?

kuna aya katika qur'an Mwenyezi Mungu anasema 'sikuumba majini na watu ila KWA AJILI YA KUNIABUDU' hiyo sentensi haina ukakasi kabisa so ukiona mtu yoyote awe sheikh au ustaadh au nani sijui anasema ana hayo madude ujue huyo kashatoka katika maamrisho ya mwenyezi Mungu.
 
Wewe umeelezea vizuri ukaeleweka sawasawa katika Imani ya dini yako juu ya majini

Ngoza waje waislam mapovuu hapa wakurupuke.
 
Ndiyo maana nimesema tunatofautiana. ..wewe unavyoelewa na mimi is totally different. ...parallel lines. ..we can never ever meet to agreement. ..
Wewe umeshindwa kuelezea unachoamini. Sawa?
 
Hawa majini miongoni mwao,si ndio yule aliyemzidi Yesu nguvu,akambeba juu kwa juu.Na kumuweka na njaa siku arubaini.
Yaonyesha wana nguvu kuliko Yesu,kwa maana mmoja tu,alimpelekesha sana Yesu.
Weyeee....wewe ndiye yule kijana wa bwn. Mudy usiyejua chochote zaidi ya kukurupuka eeh?

Mwenzio ameelezea kunagaubaga kuhusu majini

Weye umeandika haya ukiwa umeelekeza tako angani au kibla?
 
"Wapo duniani kushirikiana na shetani ambaye ni baba yao"

Ni ipi maana ya neno shetani? na hao malaika waliyomuasi mungu ndiyo hao hao wapo hadi Leo au idadi huwa inaongezeka kwa maana malaika wengine huwa pia wanamuasi mungu na kujiunga hao?
Yakhee kabla ya kujibiwa hayo....wamjua sheitwan (according to Qur'an aliyoshushiwa mtume muhammad (S.A.W) acha Shetani.

Wamjua huyo?

Ukijibu hilo itakuwa rahisi kujibiwa zaidi.
 
Tantalila mbumbumbu mbwabwajaji....hapo umebwabwaja kwa nguvu za Maimuuna.

Huyo jini wa Kikristo anaitwa jini nani? Sharifu ama Joseph?

Qur'an ndiyo iliyochezewa kicontents kwa mara 38.


Unataka ushahidi yakhee?
 
Sasa hao wafuasi wake huwa wanaongezeka au wale wale tu aliyoshushwa nao?

Na umesema alijiona anatosha kupambana na mungu kwa sababu ya nguvu alizopewa, je nini hasa alikuwa akikitaka hadi ikafikia kutaka kupambana na mungu?
Aliota PRIDE, ile ambayo waumin wa dini ya hakhi mwaita KIBRI.

Umeelewa au lengo lako si kuelewa ila kubishana kama waislam wa ubwabwa waso akili upstairs?
 
Wamjua Salman Rushdie weyeee?

Wamjua Muingereza aliyeprint Qur'an ile ya Saudi Arabia inayotofautiana kicontents na ya Sudan ya kusini na ile ya Spain?

Wayajua hayo au wewe ni muislam wa kwa mtogole unayejua kutawadha mguu na mkono kisha kukaa jamvini kutupia tonge za ubwabwa wa amira tumboni?

Tuanzie hapo ili ujibiwe critically.
 
Hakuna mjuzi kwenye hii sector. .kila siku yanazaliwa mambo mapya. ..
 
Hebu lete ushahidi wa biblia ya kuhusu Lucifer kutupwa kuzimu.

Halafu haya majina ya mapepo/majini/shetani je,haya yamepatikana wapi hadi wakaitwa hao malaika yana maana gani? kwanini waache kuitwa malaika na kuitwa hayo majina?
Wewe nilikufahamu kama muumin wa Muhammad S.A.W (Amani iwe kwake) mwenye ufahamu mpana zaidi ya waislam mapovu ila kwa baadhi ya standard ya maswali yako...yanadhihirisha jinsi gani unafanya kitu kinachoitwa

"Voluntarly retardation of your own IQ capacity"

Hiyo imetokea kutokana na kuuliza maswali yaliyo chini ya kiwango cha uelewa wako.

Swali la msingi na muhimu hapo ni hilo la kuhusu

"Habari ya Lucifer kuhasi na kutupwa kuzimu" na utajibiwa

ILA, hilo la kuuliza kuwa tumetoa wapi au kwanini tusiwaite hao "Malaika" badala ya "Majini" au "Mapepo" ni ILLOGICAL QN.

Again, how could we answer that, while ua concrete justification here...kwa wenye uelewa hv noticed this:-

" what u need is Arguments n not positive dialoque neither discussion"


-Mnaamini "Malaika" wameumbwa na Nuru

-Majini yameumbwa kwa moto

-Bin'adamu wameumbwa kwa udongo

NOTE:

Ikiwa nitakuuliza uliye smart kichwani kuwa ni kwanini hamkuwaita Bin'adamu MALAIKA

Huoni utaniona mimi ni Taahira mkurupukaji.
 
Ulimwengu wa roho! ...FOR CRYING OUT LOUD! GOOD GRIEF!
Wajuzi wa mambo ya kiroho "wapo" ibada zote za kweli katika dini zote zinafanyika kiroho...na msaada kwa wanaoamini unapatikana kwanza kiroho kabla ya kudhihirika kimwili...SAWA?

Ibada au msaada wa kidini usio wa kiroho ni ibada ya "Show up"
 
Wajuzi wa mambo ya kiroho "wapo" ibada zote za kweli katika dini zote zinafanyika kiroho...na msaada kwa wanaoamini unapatikana kwanza kiroho kabla ya kudhihirika kimwili...SAWA?

Ibada au msaada wa kidini usio wa kiroho ni ibada ya "Show up"
I agree to disagree. .Bye-bye. ..and have a nice life ndugu yangu. .Naenda sebuleni kupata upepo wa Indian Ocean. .na kusali maana ndiyo mida yenyewe. .
 
I agree to disagree. .Bye-bye. ..and have a nice life ndugu yangu. .Naenda sebuleni kupata upepo wa Indian Ocean. .na kusali maana ndiyo mida yenyewe. .
Warmly welcome ndugu....good prayer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…