Je, asili ya majini ni ipi?

Sijui kama nimekuelewa vema! Una maana baba yao ambaye ni shetani, wao wana amini hayupo?
No, nina mana babayaowote hao shetani na majini, kwa mujibu wa vitabu vyenu, ni Mungu. Mungu ndiye muumba vyote, hata huyo shetani na majini wameumbwa na Mungu.

Sasa mimisiaminikuwapo kwa Mungu.

The prpoblem of evil severely contradicts the existence of God.

Kwa hiyo kama Mungu anayesemwa kawaumba hawa shetani na majini hayupo, basi hata hao shetani na majini hawapo.

Ni stories tu.

Mungu, shetani, majini, wote hawapo.

Watu tunasema wapo kama mtoto anayeona majitu katikagiza kwa mawazo yake tu wakati kikweli hayo majitu hayapo.
 
Hahahaha
 
Waislam hatujawahi kutatizika juu ya majini na malaika. Malaika aliumbwa kwa nuru jini kwa moto. Wapi umeona tumetatizika? Malaika hana freewill na hamuasi Allah jini ana freewill na anaweza kumuasi Allah na kumtii.

Vitabu ulivovizungumzia hawakupewa mayahudi na wakristo, wamepewa mayahudi tu.

Biblia unazingumzia biblia ambayo imetumgwa na watu? Maana madhehebu zenu zina sura tofauti tofauti kuendana na dhehebu.

Ndio muislam ili imani ikamilike lazima aamini ayanayoonekana na yasioonekana! Nyie hamuamini yasiyopnekana?

Shetani ni jini aliemuasi mungu. Katika quran akitajwa shetani basi ni yule aliemuasi mungu. Kama wewe ukimwita mwenzako mwizi lakini anabaki kuwa binaadamu ila tabia yake ni uwizi.

Kitabu kuhusu kujiwa na shetani ni fundisho tu linapotokea jambo ndo mana mwandidhi akamalizia kusema uendelee na sala mpaka uwe na uhakika kuwa umetokwa na upepo au umesikia harufu, hayo ni mafundisho ukikutana na situation hio. Ni kawaida shetani kumchezea alieshika dini akitaka apotee.

Umeliza swali huyo jini anaeshirikiana katika tendo la ndoa katumwa na nani? Jibu ametumwa na iblisi. Kwani wee ukenda kulewa umetumwa na yesu? Tujarobu kuzitumia akili tulizopewa basi.

Umeongea mambo mepesi sana ambayo hata wewe ungeyajibu mwenyewe.

Umenichekesha uliposema waislam wametatizika kuhusu Malaika. Sijui umetoa wapi kituko hicho.

Mliotatizika ni nyie, kuwa malaika amemiasi mungu mkawaita mapepo wakati malaika hawana freewill.... poleni sana. Nlisikia kuna pastor zimbabwe anapigiwa cmu na mungu, labda ungechakarika kumwambiaamuulize mungu kuhusu malaika na majini
 
Hahahaa umesema ukweli , lkn daaah kwa hiyo waache kujadili bro!!
 
Kila mtu anao uamuzi wa kuamini anachotaka. Kutokuamini existence ya Mungu kwa sababu ya evilness of his creatures is illogical. Mungu aliumba viumbe wenye uhuru wa kuamua kufanya baya au zuri. Kutokuamini kuwapo kwa Mungu ni sawa na kusema nyumba unayoishi haikuwa na designer au mjenzi!

Fikiria kwa mfano, mtu anapotumia kisu kuuwa haimaanishi aliyetengeneza ndiye mwenye makosa. Ndege za kivita zinapo angusha mabomu katika vita ni wazi yupo mtengenezaji wa hiyo ndege, sivyo? Matumizi mabaya ya kisu au ndege ndiyo yanayosabisha evilness siyo Mungu. We as humans are to blame for misusing our God given ability on earth.
 
Unamfananisha Mungu wako na mtengeneza kisu?

Mtengeneza kisu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kutendeka kama tusivyoweza kurudi nyuma katika muda kama kweli yupo na ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na kaumba ulimwengu huu?

Hujajibu swali hili.

Sina hakika kama umelielewa hata kulielewa.
 
Umeyapata wapi haya?
 
Unaweza kufafanua zaidi?

Ana majini gani? Kwa majina pls.
Google Switzerland Opening Tunnel Ceremony to the World Cup and Olimpics Ceremonies..,angalia yote! Alafu tuishie hapa hapa! Chakula cha wakubwa hakiwafai watoto! Kama huku elewa usiniulize tena maswali, uwe na siku njema ndugu yangu!
 
naona wewe ni typical new ager, that is occult thinking
Mtu anakwambia kuhusu supernatural power. Unamuuliza umeijuaje supernatural wakati wewe si supernatural?

Unakuta hata maana ya supernatural hajui.
 
Mtu anakwambia kuhusu supernatural power. Unamuuliza umeijuaje supernatural wakati wewe si supernatural?

Unakuta hata maana ya supernatural hajui.
huyo anapractice occultism angalia avatar na signature yake.

isis is a pagan god(dess)
 
Wewe ulipo hapo n mchafu na unamzonga Mohammad saw ukisilimu utakuwa msafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…