Nasema hivi,
Uislamu na Ukristo ni Imani mbili tofauti kabisa. Ingawa Uislamu imekopi maneno fulani ya kwenye biblia.
Utashangaa baadhi ya waislamu wanasema Isa ni Yesu na wanamheshimu kama mtume lakini wengine wanamdhihaki, ni vipi mnamdhihaki tena Nabii Isa au Yesu wakati ni mtume wenu pia ?
Waislamu wamefundishwa kuwa kuna Majini mema na mabaya.
Majini mema ni maislamu kama wao, na wanashirikiana nao katika matendo yote ya Ibada, mimi nauliza ivi wanashirikiana kwenye ibada tu.
Mbona waislamu wengine wana majina ya majini ?
Kwa mfano jina MAIMUNA ni jina la majini pia.
Kwenye Biblia Mungu anawakataza watu kushirikiana na majini kwa hali yoyote ile.
Hapa nimenukuu kitabu cha Walawi 17 : 7
" 7 Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi "
Mungu anasema watu wasitoe sadaka kwa majini, wala kushirikiano nao kwa matendo mabaya kwa maisha yao yote, hapo inamaana majini hawana matendo mema.
Hapo ina maanisha kuwa majini ni viumbe walio laaniwa na hawana ushirika tana na Mungu milele.
Lakini Qurani inasema yametubu na ni maislamu.
Sasa hapo tumwamini nani, Allah au Yehova.
Yesu kila alipokutana na watu waliokaliwa na majini aliyafukuza, kwanini hakuyapa nafasi ya kutubu ?
Dini ya Kiislamu ni dini ya Majini na Binadamu wanao jiita Waislamu.
Nawaambia ndugu zangu wa Kiislamu waitafakari sana dini yao hiyo.
Mungu ni muasisi wa demokrasia na aliruhusu wema na ubaya, ufalme wa giza na nuru, umungu na ushetani, tumeona hapo mwanzo Mungu alitengeneza utaratibu wa kumwabudu na upo kwenye mtiririko mmoja tokea katika kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo, na katika kitabu cha Ufunuo Mungu anasema hayo ndiyo maandiko yake ya mwisho, mtu asiongeza wala kupunguza chochote.
Lakini bila kumshtukia kaja Muhamadi na kaongeza maneno yake tena. Mungu si alisha sema Ufunuo ndio mwisho, na katoa adhabu kwa yoyote atakaye leta neno jingine.
Na amesisitiza kabisa kuwa mtu atakayeleta Injiri nyingine na amekwisha laaniwa.
Shetani naye kaja na utaratibu wake wa kumuabudu Lusifer, na kaja na kitabu chake.
Lusifa kaiba mambo mengi ya kwenye biblia hasa yale mambo ya historia ambayo hayana uzito kwenye wokovu ili kuwahadaa watu waone kwamba hicho kitabu ni cha kweli.
Lakini mambo ya msingi ya wokovu ambayo Mungu ameyasisitiza kwa kizazi chetu mambo kama.
-Ubatizo
-Kifo na mateso ya Yesu Kristo
-Mamlaka ya Yesu
-Mungu alikuja duniani kama mtu Yesu, ili atupe kweli yake kwa usahihi
Qurani imeyakwepa kabisa na kumkweza Muhamadi.
Hivi Nabii anakuja duniani hajawahi kukutana na Malaika, hajawahi kutabiriwa popote, hajawahi kufanya muujiza wowote, eti anasema Qurani ndio muijiza wake.
Kwanza hivyo vitabu alivyo vinukuu sio muujiza ?
Ananukuu Torati halafu anasema ndio muujiza wake...!
Ni ajabu sana.
Waislamu mujitafakari tena na tena, haiwezekani mkifuate kitabu cha Dini ya Majini.
Rushidie aliposema kuwa Qurani ni aya za Shetani badala ya kukiruhusi hicho kitabu ili mkisome kwa umakini na kukitafakari mnaishia kukipiga marufuku.
Hamshangai kwa wenzenu Wakristo, vitabu vyoote vinavyo ukashifu Ukristo havipigwi marufuku, jiulizeni ni kwanini sio kwenu.
Mkimwona mtu kachana ukurasa mmoja tu wa kitabu cha Qurani mnataka kumchinja, je kwa biblia ni hivyo hivyo ?
Hiyo hasira inatoka wapi ?
Upendo kwenu una maana gani ?
Hakika nawaambia Uislamu, Qurani na Muhammadi ni kanyaboya tu.
Siku ya Kiyama atakapo kuja Yesu Kristo mtashuhudia ukweli huu.
Badala ya kumfuata atakaye kuja kutufufua binadamu wote na kutupeleka mbinguni, na wahalifu kuwatupa Jehanamu siku KIYAMA ninyi kwa makusudi kabisa mnamfumbia macho na kumthamini mfu Muhamadi.
Mtamweleza nini Yesu Kristo siku ya Kiyama ?
Akiwauliza,
" Niliwaagiza ni lazima Mbatizwe kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu "
Mtamjibu nini ?
Kwamba mlikatazwa na Muhamadi na mkamsikiliza...!