Je, asili ya majini ni ipi?

The power of your faith ndiyo inayoleta hiyo hali to existence!
Kama mtoto anayeona majoka akiona vijiti kwenye giza anavyotengeneza majoka kichwani mwake kutoka vijiti.
 
Shukran kwa elimu ila naomba kujuzwa, mimba zao wanabeba kwa muda gani mpaka kujifungua? Mtoto huwa anazaliwa na kilo ngapi? Je na wao wanazaa mtoto njiti?
Kwa leo naishia hapa
Nalog off
 
majini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
Majini ni malaika waliomuasi Mungu na kumfuata shetani? Naomba unijuze mkuu
1.shetani ni nani, ameumbwa na nani na nini na anakaa wapi, ni mwanamke au mwanaume?
2.idadi ya hao malaika waliomuasi Mungu walikuwa wangapi,wanaishi wapi, wanazaliana na kufa pia?
3.malaika ni nini?
Nalog off
 
Shetani aliye mjaribu Yesu ndiyo huyo huyo shetani aliyetunga Qur'an!
Inaonesha dhahiri kuwa quran huijui, shetani aitunge quran halafu ajilaani ktk tungo zake hizi na kuwasihi wanaokisoma kitabu hiko wasimfuate?
Andika kitabu chako itakuwa rahisi sana kukielewa, quran bado hujaielewa
Nalog off
 
Majini hayapo.

Kuna watu wana magonjwa ya akili, sasa yale magonjwa ya akili yakipanda watu wakianza kusema ovyo, watu wasio na elimu wanaita majini.

Au mtu akipata kitu kibaya, kama hataki kufanya uchunguzi, anasingizia majini tu.

Majini yangekuwepo waarabu wangeshamrushia Trump moja limuangushe kwa jinsi alivyowatukana Waislamu.

Mbona kapeta tu kote huko?
 
The most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.
Mpumbavu sana wewe na kizazi chako mkafe mbele milele yote! Wewe V Kweli Tupu! Stupid idiot!
 
Trump mwenyewe ana majini
 
Manini yake hela.

Ndiyo majini pekee hayo ukiwa nayo utaruka hewani ma kupasua miamba.

Mengine yoyote ni uzushi.
Kwani amezipataje hizo pesa?
Anyway tuishie hapa ndugu yangu...mambo mengine huwezi kuyaelewa! Yeremia 333!
 
Kwani amezipataje hizo pesa?
Anyway tuishie hapa ndugu yangu...mambo mengine huwezi kuyaelewa! Yeremia 333!
Amezipata katika real estate.

Wabongo wengi mnaamini sana majini. Ndiyo maana hatuendelei.

Unaweza kuthibitisha majini yapo?
 
Amezipata katika real estate.

Wabongo wengi mnaamini sana majini. Ndiyo maana hatuendelei.

Unaweza kuthibitisha majini yapo?
Nime kwambia, hutaweza kuelewa na hutakaa uelewe Al-Watan, take a chill pill and be calm!
Mambo mazito....siwezi tupia watoto KAA KIMYA!
 
View attachment 513041
Nime kwambia, hutaweza kuelewa na hutakaa uelewe Al-Watan, take a chill pill and be calm!
Mambo mazito....siwezi tupia watoto KAA KIMYA!
Hiyo ni namna ya mtu asiyeweza kuthibitisha anachosema kipo.

Mimi naweza kukwambia chochote halafu nikakwambia hutaweza kuelewa. Mambo mazito.

Huwezi kunielewesha siyo kwa sababu mambo ni mazito.

Huwezi kunielewesha kwa sababu unachosema ni uongo.

Majini ni uongo.

Ni utapeli wa wajanja wachache kula hela za wajinga wengi.
 
Kimsingi akili ndogo haiwezi kuitambua akili kubwa,lakini akili kubwa inaweza kuitambua akili ndogo...

Iko hivyo kwasababu huwezi kupata kubwa bila kuwa na ndogo na kwa maana hiyo ukishakuwa na kubwa tayari ndogo unayo hivyo ni rahisi kuitambua...

Lakini ukiwa na ndogo unakuwa huna kubwa na ili uipate unahitaji kupitia mambo fulani fulani hadi ufikie kwenye kubwa....

Kwakuwa akili ndogo haina uwezo wa kuitambua akili kubwa ni wazi kabisa ni ngumu sana akili ndogo kuielewa kubwa....
 
Gobbledygook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…