Je, asili ya majini ni ipi?

Muongo mzandiki mkubwa ww muumini wa kwanza kuingia katika uislam ni Abu Bakr (r.a) kwa wanawake ni bi Aisha (r.a) majini walikuja baadae sana baada ya revelations nyingi za Qur'an
 
mtu wa kwanza kuingia ktk uislam alikua ni mke wa mtume wa kwanza, bi Khadija, na majini waliumbwa kabla ya binadamu, binadamu ni kiumbe wa mwisho kuumbwa ktk viumbe vyote unavyovijua ww, na majini ndo walianza kuishi ktk dunia hii, baada ya kumuasi Mw. Mungu ndo wakaondolewa nakuletwa binadamu na tunaishi nao lakini hatujapewa uwezo wa kuwaona, ila wao wanatuona na wana wamepewa uwezo wa kutuingia mwilini mwetu kupitia mishipa ya damu.
hapo umekosea ndugu yng, tunarekebishana c nia mbaya,
 
Muongo mzandiki mkubwa ww muumini wa kwanza kuingia katika uislam ni Abu Bakr (r.a) kwa wanawake ni bi Aisha (r.a) majini walikuja baadae sana baada ya revelations nyingi za Qur'an
Safi sana kumbe wewe waijua vizuri din ya khaki huyu alisimishwa na nani na aliingizwa na nan kwenye uisilamu nifafanulie vizur rafiki yangu
 
Umesema kuwa Mungu aliwaumba wamtukuze yet Mungu tena akatuma malaika awaangamize wote then wakakimbilia mapangoni au malaika alikuwa anachagua yupi jini mwema au jini mzuri pindi anawaua?na ikawaje wamchukue huyo mdogo? Na alitumwa kuwaangamiza? Na inakuwaje hiko kijini then ghafla kipate nguvu ya kupimana na Mungu......??? Kidogilo story yako haijakaa sawa
 
wanasema bora kumuelimisha mpumbavu kuliko mjinga, sasa we ni mjinga,
haya tuambie bac huyo shetani wako aliumbwa kutokana na nini? km binadamu tunajua tuliumbwa kwa udongo...
Ni bora mjinga kuliko mpumbvu, ujinga yaweza kuwa mtu anajua tofauti na ulivyokaririshwa.

Sasa tuanze kuuchambua ubata ulio nao.

Roho inaumbwa kwa kutumia material gani????
 
Duuuuu chanzo please
 
Ni bora mjinga kuliko mpumbvu, ujinga yaweza kuwa mtu anajua tofauti na ulivyokaririshwa.

Sasa tuanze kuuchambua ubata ulio nao.

Roho inaumbwa kwa kutumia material gani????
hujaelewa huo msemo ndo mana umekuchanganya, mjinga anaweza kuelimishwa lakini kwa kibri, jeuri au upeo mdogo, atataka kuleta ubishi na ushindani na kujifanya mjuaji, lakini mpumbavu atasikiliza na kukaa kimya ili akafanye utafiti zaidi na kuelimika.
hakuna ayeijua roho zaidi ya Mw. Mungu mwenyewe, coz elimu ya roho Mw. Mungu anayo ye mwenye, imeumbwa kwa material gn, anajua yeye, na ndo mana mzungu katengeneza kila kitu lakini roho imemshinda.
labda na haya maneno kwenye attachment itakusaidia kidogo, fungua hii picha, post ya mmoja wetu kwenye hii mada.
 
Attachments

  • Capture.PNG
    15.4 KB · Views: 43
Acha mfumo wa kukariri katika maisha yako, kwanini useme sijaelewa!!!!mimi nimemaanisha ulichosoma unayedhani mjinga, anaweza asiwe mjinga ila tu anajua tofauti na unavyojua wewe.

Elimu ya roho anayejua ni Mungu pekee.hili halina ubishi, ingawa waislam wanasema shetani aliumbwa kwa moto[emoji26].na tunajua shetani\jini ni kiumbe roho.sasa sjui roho yenye mwili wa udongo(binaadam) iliumbwa na nini???
 
DOGO ACHA UBISHI WA KIJINGA, HAKUNA KIUMBE KINACHOITWA SHETANI, SHETANI NI NENO LA KIARABU NA MAANA YAKE NI UCHAFU AU UOVU AU ADUI, SO KITU CHOCHOTE KIBAYA KWA BINADAMU NDIPO LINAPOTUMIKA NANO SHETANI,
HATA HYO ATTACHMENT HAIJAKUSAIDIA NGUGU YANGU, TAFUTA MWINGINE WA KUBISHANA NAE. SIPO HUMU KWA AJILI YA UBISHI WA KIJINGA.
 
NENO SHETANI LINATUMIKA KWA JINI/IBILISI COZ YE NI MUOVU NA NI ADUI KWA BINADAMU.
 
NENO SHETANI LINATUMIKA KWA JINI/IBILISI COZ YE NI MUOVU NA NI ADUI KWA BINADAMU.
[emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
[emoji22] [emoji22] [emoji22]
WE MWENYEWE UNAWEZA KUWA SHETANI KWA BINADAMU WENZAKO, USHETANI UNATOKANA NA MATENDO YAKO, NASIO MAJINI WOTE NI MASHETANI, COZ WAPO MAJINI WEMA AMBAO WANAMCHA MW. MUNGU.
UPO HAPO.......
HAYA ENDELEA NA UBISHI WAKO.......................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................

NIMEKUACHI NAFASI HYO.
 
Kwanza Isaya 14:14 ni maneno ya mfalme wa Babeli Nebukadreza,ila wakristo wengi wanaambiwa ni maneno ya Ibilisi.

Yani ni story za kuunga unga tu katika hili suala.
 
Huwez kujua maana umefumbwa na ibilis ndo kitu unachokiabudu
Ibilisi huyohuyo ndiyo aliyewafanya watu waamini miungu watu,na ndiyo maana hata wewe leo hii unaamini kuna mtu aliwahi kuwa Mungu.
 
Ibilisi huyohuyo ndiyo aliyewafanya watu waamini miungu watu,na ndiyo maana hata wewe leo hii unaamini kuna mtu aliwahi kuwa Mungu.

Shetani kawafanya baadhi ya wajinga fulani kudhani Mungu hana uwezo wa kuwa binaadam.
 
Siwezi kuwa shetani ila mwenye ushetani.upo???
 
Shetani kawafanya baadhi ya wajinga fulani kudhani Mungu hana uwezo wa kuwa binaadam.
Kama ni hivyo mbona mnakataa kuwa Mungu wenu ana uwezo hadi wa kufa na ndiyo maana alikufa?

Kwahiyo unakubali kuwa Mungu wenu aliwahi kupatwa na mauti kama ambavyo Mimi na wewe tutakuja kupatwa na umauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…