Je, asili ya majini ni ipi?

Biblia haijawahi taja majini bali imetaja mapepo wachafu, hivi ni viumbe viwili tofauti kiuumbaji.
 

Ha ha ,okay .
Was awfully nice talking to you ,Sir .
Take care then .
 
Ha ha ,okay .
Was awfully nice talking to you ,Sir .
Take care then .
Yes it is awfully nice talking to me when you talk garbage and blasphemous statements about Allah. Isn't it? Next time think before you write anything to anyone. Take care too, don't be an idiot!
 
Biblia haijawahi taja majini bali imetaja mapepo wachafu, hivi ni viumbe viwili tofauti kiuumbaji.
Tumia akili,jini ni neno la kiarabu,shetani neno la kiarabu,mapepo ni jina la kiswahili.
Jini =Mapepo. Shetani=Pepo mchafu
 
Tumia akili,jini ni neno la kiarabu,shetani neno la kiarabu,mapepo ni jina la kiswahili.
Jini =Mapepo. Shetani=Pepo mchafu
Mkuu unahisi sijatumia akili hapo? Hatuna vipimo kwakuwa. Ila kwanza nikufundishe kitu, majina Ibilisi na Shetani si yenye asili ya kiarabu bali kiebrania na ukitaka na kurahisisha hii hoja tafuta etymology yake.

Pili, neno jini ni kweli la kiarabu. Ila nawe tumia akili kidogo ingewezekanaje kiumbe kimoja kiumbwe kwa material ya moto na kingine kwa nuru, halafu uje useme ni kiumbe kilekile tofauti ni lugha tu za majina? Goat ndo mbuzi hapo sawa, lakini jini si mapepo waovu aka malaika waovu. Umenipata hapo?
 
Kiebrania na kiarabu zote ni lugha za mashariki ya kati,hizi lugha zinaingiliana matamko.
 
Jibu maswali usikimbilie usichoulizwa?

Kama mnakariri.

*Pepo wachafu=Majini/mashetani

*Pepo wasafi ni akina nani........?
Kwenye Biblia hakuna pepo wasafi
Biblia inatambua pepo wote ni wachafu
 
Hivi kuna mitume ya kijini kulingana na mafundisho ya Quran mkuu? Umesema majini yaliishi duniani kabla yetu, yaliishije? Una uhakika kuwa hufa?
 
Mito ya pombe na wanawake!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanamezeshwa na wachungaji makanisani ili waichukie dini nyingine . Mbaya zaid wanashindwa hata kuigusa quran kwa dhana mbovu walizomezeshwa...sasa cjui watajuaje kilichoandikwa ndani yke.
Hizo zana mbaya juu ya uislamu na Quran hazimezeshwi na wachungaji bana, ni ninyi wenyewe ndo mnaozihubiri, kwamba ukigusa hiki kitabu unachizika na mambo kama hayo. Kumbuka ile kesi ya mtoto kukikojolea kitabu ni ktk dhana hii.

Lakini nikuambie kitu, Biblia na Ukristu na Wakristu hawana habari na chochote kihusianacho na uislamu. Binafsi sijawahi kuingia kanisa lolote nkamkuta mchungaji au padri anahubiri kuhusianisha na Quran na uislamu.

Naijua sababu kuu, yenyewe imejitosheleza na inajiamini na mafundisho yake na yanaeleweka saana, haihitaji kitabu kingine kujipatia mashiko. Haya yanayoendelea kwetu ni kwakuwa tu tuko kwenye jamii mchanganyiko tu. Vinginevyo kungekuwa na wakristu ambao hawakuwahi kusikia lolote juu ya uislamu. Na nadhani hata Tz hao wapo, binafsi nimeujua uwepo wa uislamu na kuufutilia ukubwani.
 
Fafanua.Ueleweke.
Tafadhari ebu nisaidie hili swali...kuna ukweli na uwongo katika uislamu?
 
Mada inahusu Majini na Mashetani cha kushangaza Wakristo Uchwara wanaanza kuwakashifu Waislam na Dini yao. Jamani someni muelewe Maana ya hizi Dini acheni ushabiki usiyokuwa na Maana kujitia ujuvi kumbe hakuna mulijualo. Tazameni wenzenu hapo wanajifunza washachoka kufanywa wajinga [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Acheni kudangnya nyie waislamu eti majini nao waliumbwa na mngu naomba muelwe kua majini kma walvo mashetsni wengne ni malaika wachafu walioasi na waliotupwa katoka ufalme wa mngu na kuwekwa ktka hukumu ya moto wore walkua malaika zaman ila wakaasi kwa kumtii lusifer nackutupwa wte kuzmu HVO majin hyskuumbwa moja kwa moja ni majini Ila ndo HVO ni pepo wachafu tu kma wengne ndo mana wanaliogopa xna Nina LA yesu Kristo kwani huadhbu pale. Wamshkliapo bnadamu ,pia majini ni asili ileile tuvya wapepo wachafu pmoja na mizimu yote
 
Acha uzushi
Hakuna mkristo aliyemkashifu muislam.

Watu tunaeleza hali halisi ya ukweli uliopo.

Kwani ni uongo kwamba waislam wanachangia mungu mmoja na majini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…