Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Soma Luka 10:17 - 20Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)
Luka 10:17-20
"Ndipo wale sabiini waliporudi kwa furaha,wakisema Bwana hats pepo wanatutii kwa jina lako .18.Akawaambia ,Nilimuona shetani,akianguka kutoka mbinguni kama umeme.19.Tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge,na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru.20Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii ;bali furahini kwa sababu majina yanu yameandika mbinguni.
Mathayo 8:28 -32
Naye alipofika ng'ambo katika nchi ya Wagaesi ,watu wawili wenye pepo walikutana naye ;wanatoka makaburini ,wakali mno ,hata watu wasiweze kupita njia ile.
1Yesu alitumia mapepo kuwakinga Israel na wanyama wabaya na kuwaondolea mapepo au roho chafu.
2.Hapo panaonekana kuna mapepo wema na mapepo wachafu.
Katika Marko 5:1-7 inasema wakafika ng'ambo ya bahari ya mpaka nchi ya Wageresi .2 Na alipokwisha kushuka chomboni ,Mara alikutana na mtu,ambaye ametoka makaburini,mwenye pepo mchafu;3 makao yake yalikuwa pale makaburini;wala hakuna mtu yoyote aliyeweza kumfunga tena ,hata kwa minyororo 4kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo .........12 pepo wote wakamsihi ,wakisema tupeleke katika nguruwe tupate kuwaingia wao13 akawapa ruhusa .
3.Kwa hiyo Yesu alishirikiana na mapepo na pia biblia ilitaja kuhusu mapepo.
Tatizo la wakristo hamsomi biblia,mnafunguliwa kanisani baadhi ya aya za biblia,na nyingine mnafichwa..
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)
Luka 10:17-20
"Ndipo wale sabiini waliporudi kwa furaha,wakisema Bwana hats pepo wanatutii kwa jina lako .18.Akawaambia ,Nilimuona shetani,akianguka kutoka mbinguni kama umeme.19.Tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge,na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru.20Lakini, msifurahi
Propaganda hizo zinaenezwa na nani coz kuna waislamu wenye majini na ndo waliowengi kihome tunaita marohani? Mengine yote nimeshakujibu nadhani, si kwa wazungu tu hata waafrika wasonadini, waganga wa matunguli.... pia huutii uislamu. Fanya research ndogo tu, nenda kwa mganga wa matunguli siku ya ijumaa,atakuambia no, leo si siku yakufanya kazi.
Hapo umezungumzia majini ktk elimu ya kiislamu. Kweli yako hivyo ktk uislamu. Kinyume na imani hiyo, yooote ni mashetani ibilisi tu. Nikupe kakwizi kadogo tu, hivi unadhani kwa uwezo huu ulioutaja, na kwa dhambi zao na kulaniwa kwao na nia yao ya kushindana na Mungu wangeweza kufanya mangapi ktk kutimiza nia zao?Ukweli upo wazi mkuu.Majini ni viumbe kama walivyo wanadamu na viumbe vingine vyoote ulimwenguni.Majini wameumbwa kwa moto usio na moshi (moto wa mlipuko).Majini hawa kama ilivyo kwa wanaadamu nao huzaliana,hula,hunywa,huchukia,hufurahi n.k.Na kusudio la kuumbwa kwao ni kumuabudu Mwenyezi Mungu kama ilivyo kwa wanaadamu.
Tofauti yetu na wao ni kwamba kwanza yapo makabila zaidi ya 600,wana nguvu maradufu kuliko sisi,wanaishi muda mrefu kuliko sisi (life span),wana uwezo wa kujibadilisha katika umbo lolote,wana uwezo wa kwenda umbali mrefu kwa muda mfupi,wana uwezo kuigiza sauti yoyote.Sasa wale wanaokwenda kinyume na taratibu za kiislamu huitwa MASHETANI.Mashetani wanaishi maeneo dhalili sana kama jalalani,kando ya mito,kando ya bahari,chooni,msituni,majumba yasiyokaliwa kwa muda mrefu,mapangoni,kwenye mabaa,kumbi za starehe n.k. Katika sheria za kiislamu ni marufuku kupashana au kubadilishana taarifa kati ya mwanadamu na majini.Na hakuna uwezekano wa MTU yeyote kufuga jini.
Soma Luka 10:17- 20Shetan yuko msikitini wanakosali majini si kwangu
Soma Luka 10:17- 20Shetan yuko msikitini wanakosali majini si kwangu
Wana matatizo hawa Mkuu!Kaka nakuona unavyoshuka vizuri kwa maswali reasonable yasiyohitaji mwanga wa jua kuyajibu.lakini sioni jibu sjui tatizo nini????
Majibu umeshapata,biblia imetaja majini(pepo)kabla ya Qur'an.Na Yesu alishirikiana na majini.Wana matatizo hawa Mkuu!
Hapo ndipo nimekuelewa kuwa ww ni bingwa wa uongowewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.
TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.
NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Naona unaamua kuharisha tu sasa baada ya kuishiwa hoja.Soma Luka 10:17- 20
Mapepo wanatii Kristo(wanakuwa wakristo)na wateule tangu walipochaguiwa,
Luka 10:17-2 "Ndipo watu sabiini waliporudi kwa FURAHA,wakisema,BWANA HATA PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO".
Soma Luka 10:17- 20
Mapepo wanatii Kristo(wanakuwa wakristo)na wateule tangu walipochaguiwa,
Luka 10:17-2 "Ndipo watu sabiini waliporudi kwa FURAHA,wakisema,BWANA HATA PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO".
Hakuwa na sababu yakufia kama na majini nao wangeweza kuongolewa. Hakushirikiana nao bali aliyakemea yaondoke. Kikuu hapa, hakuwa wala hakuhitaji kuwa na wafuasi majini. Mwenyewe umesema majini yamuingiayo binadamu ni maovu... Nabii Issa si muovu kiaje ashirikiane nao ktk kazi zao?Majibu umeshapata,biblia imetaja majini(pepo)kabla ya Qur'an.Na Yesu alishirikiana na majini.
Luka 10:17-20
Halafu Yesu pia aliwatuma wanafunzi wake,wawaingize katika ukristo kila kiumbe(jini pia ni kiumbe)
Nendeni ulimwenguni kote na mfundishe Injili kwa kila KIUMBE
Mkuu ni kweli kabla ya UISLAMU majini hayakuwepo?hayakuwa na majina?hayakuzagaa katika mitaa waishiyo watu?watu walikuwa hawayaoni?.Hapo ndipo nimekuelewa kuwa ww ni bingwa wa uongo
Umesema kuwa hakuna Nina ambalo wanaliogopa
Hapo ndo umetokota
Karika majina yote ambayo yanaogopwa na majini ni jina la Yesu pekee ambalo lina nguvu za kuangamiza utawala wa majini kwa mwanadamu
Pia umesema kuwa hakuna uhusiano wowote kati ya uislam na majini
Ilihali majina yote ya majini ni ya kiislam [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba ueleze vizuri
Kama majini hayana uhusiano na uislam
Haya majina ya majini yametokana na nini?
Nb: Ukibishi juu ya majina ya majini
Naweka wazi hapa.
Mkifunga mbona na majini huwa yanafunga RAMADHANI?Go on.
Umewahi kushiriki ibada ya kiislam mara ngapi?
Je ulishuhudia Waislam wakiswali pamoja na majini?
Uliyaona vipi majini wakati wengi tunajuwa hayaonekani?
Unaweza vipi kushiriki ibada na kisichoonekana?
Usipende kukaririshwa tukia akili yako walau kidogo tu ufikiri,
*Nijibu hayo maswali kiufasaha nikuelewe*
-Ukishindwa kuyajibu utakuwa dhalimu kwa kusema usiyokuwa na ufahamu nayo
Nakubaliana nawe mkuu!Mkuu ni kweli kabla ya UISLAMU majini hayakuwepo?hayakuwa na majina?hayakuzagaa katika mitaa waishiyo watu?watu walikuwa hawayaoni?.
Majina ya Majini ambayo yapo kwa kiyahidi,kigiriki ,kichina ina maana hawa pia nao ni majini maana king na 100+ majina ya majina kwa kiyahudi,kigiriki nkNakubaliana nawe mkuu!
Kuwa kabla ya uislam majini walikuwepo
Lakini baada ya kuja uislam
Majina ya majini wakayachukua waislam
Huoni hapo [emoji115] uislam ni dini inatotokana na majini?
Mkuu bana hayo yote ni kwa kuwa huna ushahidi kwamba hapo kabla walitumia majina gani ama kwa kuwa waislamu wanayaita katika lugha ambayo inatumiwa katika kitabu chao wanachokiamin hivyo unataka tuamini yangeitwa John,Edgar,Stella,Jeny basi lazima wangekuwa ndugu wa wakristo?Nakubaliana nawe mkuu!
Kuwa kabla ya uislam majini walikuwepo
Lakini baada ya kuja uislam
Majina ya majini wakayachukua waislam
Huoni hapo [emoji115] uislam ni dini inatotokana na majini?
Mkuu! Ha ha ha ha ha haMajina ya Majini ambayo yapo kwa kiyahidi,kigiriki ,kichina ina maana hawa pia nao ni majini maana king na 100+ majina ya majina kwa kiyahudi,kigiriki nk
Point yako dhaifu na ya kitoto
I was expecting thisThe most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.
Biblia na Quraan inatuambia juu ya haya viumbe nani kawaumba sasa huyo muogofya watu kama unamuamini basi ni hiyari mkuuKama sikosei niliwahi kumsikia marehemu sheikh yahya akielezea elimu ya utengenezaji wa majini na pia unasema yaliumbwa na mungu nipo njia panda kwa kweli