Yeah Majini pamoja na Shetani walikua malaika waliomuasi MunguMajini ni malaika waliyoumbwa na mungu,ni kwa mujibu wa biblia.
Takbirrrrr?Katika Tafsiri ya Qurani ya Imam Jalalaini Uk 6:151 anasema kuhusu majini
“ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Hii ndiyo sababu hata Wanawake wa Kiislamu wakiwa katika kipindi cha hedhi hawaendi Msikitini kwa sababu mle ndani kuna majini na chakula cha majini ni damu.
Ni propaganda tu,kama wangekuwa wanafungamana na uislamu,biblia ilikuja kwanza kabla ya Qur'an,mbona wametwaja ndani ya biblia,na wakati yakitajwa na yakijulikana yapo,huko ilikoandikwa biblia kulikuwa hakuna muislamu hata mmoja.Kaka hapa swali ni kwanini haya majini maovu yafungamane na uislamu na si ukristo waovu wenzao? Yafurahie unywaji pombe, yawaamrishe wale wanaobamba kwenda kanisani, wasali ibada za Kikristu nk, uhalisia ni kinyume na haya, why?
Kwa hakika hujuwi unacho kizungumza na pia unaleta upotofu mkubwa ambao umejaa fitina ya hatari. Kwa hakika Hii ni sifa ya Shetani.Katika Tafsiri ya Qurani ya Imam Jalalaini Uk 6:151 anasema kuhusu majini
“ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Hii ndiyo sababu hata Wanawake wa Kiislamu wakiwa katika kipindi cha hedhi hawaendi Msikitini kwa sababu mle ndani kuna majini na chakula cha majini ni damu.
Si hayo tu jini anaweza akamtaka mtu awe mganga kabisa na akiwa anakataa mtu huumwa,mambo haya yapo sana.Hapa ndo nilipokuwa nataka ufike, umefika. Jambo moja tu nakuomba, kuwa mwerevu na punguza munkari tufundishane jambo hapa.
Mi ni mwenyeji wa mikoa ya pwani ya Tz. Kuna vitu tusibishane kwakuwa nimeishi navyo na kuvishuhudia kwa macho tena hata kwa baadhi ya wana ukoo wangu.
Uislamu unafundisha ukristu ni upotofu,, walopotea. Kundi la ushetani. Dhambi ni zao la shetani mkuu.
Majini maovu tu ndo humuingia mwanadamu, ni kauli yako na ya uislamu, na ya waislamu wengi wala we si wa kwanza kunena hivyi.
Swali, kwanini kila jini limuingialo mwanadamu, humtumikisha kuutii uislamu kwa kutimiza yote ya uislamu wakati lenyewe ni ovu la kishetani? Kila mwenye majini lazima aitii ijumaa, ramadhani afunge, akae mbali na pombe, asile nguruwe, aswali swala tano, awashe udi, anene kiarabu (watetezi wanasema si kiarabu bali lugha ya kijini, lakini mashehe na si mapadri wanayoielewa) avae kama wavaavyo waislamu, mida yao ni mida ya swala ktk uislamu, why?
Mi nilitarajia kwakuwa ni maovu na ukristu ni uovu yangefungamana na yakikristu why? Hapa ndipo wakristo wanapodhani Allah ni Lucifer ujuwe? Nifundishe mkuu wangu, nko mweupe kabisa, huru kujifunza kitu kipya, na ntakutumia kwa mengi. Hope sijakukwaza.
Uongo Mkubwa sana !! Wewe kwa hakika unasifa ya Shetani......! !Tafakari kwa hiyo sifa ya hayo majini au mashetani kwa ujumla ni kuwa “ hujaribu kwa bidii sana kuwa karibu na waumini (Waislamu) wale wanaosali, kufunga na kusoma Qurani” (Asili ya majini, DK. Ahmed H. Sakr Uk 28) Ndiyo maana baadhi ya Waislamu wao binafsi wasingependa kuwa waislamu lakini majini huwashurutisha kwenda kuswali.
Ukweli upo wazi mkuu.Majini ni viumbe kama walivyo wanadamu na viumbe vingine vyoote ulimwenguni.Majini wameumbwa kwa moto usio na moshi (moto wa mlipuko).Majini hawa kama ilivyo kwa wanaadamu nao huzaliana,hula,hunywa,huchukia,hufurahi n.k.Na kusudio la kuumbwa kwao ni kumuabudu Mwenyezi Mungu kama ilivyo kwa wanaadamu.Ni kweli! Ila mi nawe tufe pasi kuujua ukweli pia? Hapana, lazima tuijue KWELI ituweke huru.
Kwani jini ni nani na shetani ni nani?Yeah Majini pamoja na Shetani walikua malaika waliomuasi Mungu
[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]Ni propaganda tu,kama wangekuwa wanafungamana na uislamu,biblia ilikuja kwanza kabla ya Qur'an,mbona wametwaja ndani ya biblia,na wakati yakitajwa na yakijulikana yapo,huko ilikoandikwa biblia kulikuwa hakuna muislamu hata mmoja.
Na ikiwa wako kwa waislamu tu,wazungu ambao ni wakristo walipaata wapi neno devil.
Nilichomaanisha hapa ni ile dhana waliyonayo wengi kwamba uislamu una uhusiano wa kufuga Majini.Hili sio kweli.Uislamu upo pamoja na yule anayefuata kwa dhati taratibu na desturi za kiislamu.Sasa majini waasi ambao ni mashetani,uislamu hauwatambui.Na kwa wanaadamu halikadhalika ni hivyo hivyo.Umesema majini hayana uhusiano na uislamu wakati ni dini yao, mola wa kiislamu ni mola wao pia, kanuni za kiislamu ni zao pia.
Inawezekana yote uliyoyaongea yana ukweli, ila hujajibu why yajifungamanishe na uislamu? Mkuu mi ni mzaliwa wa maeneo tofauti kikabila na kimazingila, jamii yangu nyingine ni ya Kikristu, ukristu pure. Huko hatukujuaga kama duniani kuna dini nyingine zaidi ya ukatoliki tu.Kuna watu wanajifanyisha wana majini,au wamevamiwa na jini.Huwa wana lengo lao fulani.Wapo wanaojifanya wana jini au majini,kwa kujifanya jini anataka pete ya dhahabu au jini ataka niolewe na fulani au jini anataka pombe.Hawa si wa kweli,wanatunga wao wenyewe kwa maslahi yao.
Jini wapo pia wanaongea kimasai,kingido,kiingereza,kijerumani,lakini ukiwa umebobea katika lugha hizo pamoja na hicho kiarabu utakuta lugha inayongelewa ni broken tupu,jaribu kuwa jaribu na hawa wanaosema wana majini utaelewa.
Utasikia jini anasema tuko wengi kwa huyu kiti,ni uongo mtupu,IMA yule mtu anajifanyisha hivyo au pepo mchafu anajifanya wako wengi,kwa kubadilisha sauti na lugha.
Shetani siyo Kiumbe bali Shetani ni Sifa ! Sifa ya Matendo maovu na machafu. Jini ni Kiumbe mwenye Sifa tofauti kama alivyo binadamu.Kwani jini ni nani na shetani ni nani?
Nauliza hili swali mara nyingi ila sijibiwi.Sorry Mkuu nakuungilia, ila yote ni ktk kujifunza. Uhusiano uliopo ni huu, majini yanamuabudu Allah Mungu wa waislamu, (tusiingie ktk mada ya jina la Mungu hapo kulitetea hili) ila majini yapo ili yamfanyie Allah ibada. Majini wema (kwa tafsiri ya kiislamu) ni waislamu wachamungu.
Ukristu hauna waumini majini, wanao wachamungu wanyama, mawe, miti nk lakini si majini. Ktk Ukristo majini ni malaika waliokwisha hasi na muda wao wamsamaha ulishapita, wanangojea adhabu tu.
Muislamu yeyote duniani atakayekwenda kuswali kwa kushurutishwa na mashetani,sala hana na ameingia katika shirki.Halafu tambua hata kwa wanaadamu mashetani wapo.Yeyote mwenye kumuasi Mwenyezi Mungu amefuata mila za kishetani awe mwanadamu au majini.Tafakari kwa hiyo sifa ya hayo majini au mashetani kwa ujumla ni kuwa “ hujaribu kwa bidii sana kuwa karibu na waumini (Waislamu) wale wanaosali, kufunga na kusoma Qurani” (Asili ya majini, DK. Ahmed H. Sakr Uk 28) Ndiyo maana baadhi ya Waislamu wao binafsi wasingependa kuwa waislamu lakini majini huwashurutisha kwenda kuswali.
Mkuu wale manabii wanao waambia waumini wale majani au kuwapulizia dawa ya mbu kwa kudai ni ameambiwa na roho mtakatifu, je unafikiri ni kweli roho mtakatifu anaweza akaelekeza kufanyika hivyo au ni shetani?Kaka hapa swali ni kwanini haya majini maovu yafungamane na uislamu na si ukristo waovu wenzao? Yafurahie unywaji pombe, yawaamrishe wale wanaobamba kwenda kanisani, wasali ibada za Kikristu nk, uhalisia ni kinyume na haya, why?
Mkuu, labda hujaelewa kitu hapa. Si kwamba Ukristu hautambui uwepo wa viumbe kinzani na Mungu.... la hasha. Ila ni akina nani hao? Kwa ukristu hao ni malaika waovu walokwishalaaniwa, hakuna wema huko. Hivyo hakuna waumini wakikristo ktk uzao wa majini. Ni hivyo tu. Pepo waovu, pepo wema ni malaika ingawa haisound vyema sana.Majini wabaya (pepo wa wachafu)walitajwa ndani ya biblia kabla hata Qur'an kuwapo.Kwa hoyo lazima ujuwe kuna mafungano makubwa baina ya hiyo dini yenye biblia na hao pepo wachafu.
Yesu alipofika nchi ya Wageresi,na kukutana na mtu aliyekuwa na mapepo machafu,waliokuwa wakivunja minyororo,aliokuwa akifungwa,waliokuwa wakimfanya yule mtu ajichane chane kwa mawe.
Kwa hiyo majini walikuwako wakati wa Yesu.
Tuliza povu kaka, mimi sio niliosema hayo, ni nyie wenyewe kaka.Uongo Mkubwa sana !! Wewe kwa hakika unasifa ya Shetani......! !
kaka soma nukuu kaka, sijakurupuka kuleta haya hapa, pinga hoja kwa hoja, unangangania kuwa ni sifa ya shetwani wakati mwaingia msikiti na mashetwani? LETE HOJA KAKA, SIO VIOJA.Kwa hakika hujuwi unacho kizungumza na pia unaleta upotofu mkubwa ambao umejaa fitina ya hatari. Kwa hakika Hii ni sifa ya Shetani.