Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa.
Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na vinywaji nao hivyo hivyo walalavi. Hawajali maslahi ya walaji.