Walikuwa na fedha nyingi lakini wakafilisika

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Ifuatayo ni List ya Wachezaji ambao awali waliingiza Fedha Nyingi sana Kupitia Mpira wa Miguu lakini Baadae walifilisika.

1.Ronaldinho.
Mwaka 2020 Alikamatwa na Polisi kwa kosa la kuwa na Passport Fake, Dhamana ya kutoka ilikuwa Dollar 150K lakini alishindwa kutoa, Inadaiwa Account yake ilikuwa imebakiwa na €5, Samuel Etoo ndio alilipa Dhamana hiyo, Ronaldinho akatoka. Baada ya tukio hilo Ulimwengu ulifahamu ukweli kwamba hali ya uchumi wa Ronaldinho sio kama zamani.

2.Emmanuel Eboue.
Alifilisika Baada ya Kuachana na Mke wake, Mkewe aliondoka na Mali Zote maana ndio alikuwa amesaini kwenye Hati za Umiliki.

3.Royston Drenthe
Mwaka Uliopita alipoteza zaidi ya 3.2 Million Pounds. Hali hii ilimfanya Afilisike.

4.Asamoh Gyan.
Baada ya Kuachana na Mke wake uchumi wake uliyumba, inasemekana alibakiwa na €600 tu. Mke wake alibeba mali nyingi sana baada ya Ndoa Kuvunjika.

5.David James.
Alifilisika Baada ya Kuachana na Mke wake.

6.Diego Maradona.
Mwaka 2009 alifilisika Baada ya Mamlaka ya Mapato Italia kumtaka alipe kodi ya € 42 Million aliyokuwa anadaiwa tangu akicheza Napoli.

7.Eric Djemba Djemba
Alifilisika Mwaka 2007, kabla ya hapo alikuwa na Account za Bank zaidi ya 30 lakini Madeni yalikuwa Mengi.

8.John Arne Riise.
Alichukua Mikopo sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuendesha Biashara zake, biashara zilikwama akafilisiwa ili kulipa madeni.

9.Celestine Babayaro.
Alifilisika Mwaka 2011 Baada ya kuwa na Madeni Mengi.

10.Taribo West.
Pesa nyingi zilipotea baada ya kuanza kuhudhuria Club za Starehe, hivi sasa ni Mchungaji.

NYONGEZA

Samson aliangushwa na mwanamke
Adam aliponzwa na mwanamke
FB_IMG_1680844445546.jpg
 
View attachment 2579245

Halafu kuna watu wanang'ang'ani wanawake wengi
Mjue tuu kwa wanawake ni watu wa malengo 🤣
 
Basi conclusion ni kwamba mwanamke ni kiumbe hatari sana

Ukifuatilia ni wanawake wa kizungu. Wanamichezo ambao wanafanyia kazi zao Ulaya watafakari mara mbili mbili kabla ya kuoa wazungu. Ukichepuka kidogo tu anaanza kudai talaka, lakini wenyewe kwa wenye wanavumiliana. List ya mleta mada ni ya wachezaji wa mpira tu, ukiingia kwenye michezo mingine walio filisika hasa kwa sababu ya wanawake ni ndefu sana.
 
Ifuatayo ni List ya Wachezaji ambao awali waliingiza Fedha Nyingi sana Kupitia Mpira wa Miguu lakini Baadae walifilisika.

1.Ronaldinho.
Mwaka 2020 Alikamatwa na Polisi kwa kosa la kuwa na Passport Fake, Dhamana ya kutoka ilikuwa Dollar 150K lakini alishindwa kutoa, Inadaiwa Account yake ilikuwa imebakiwa na €5, Samuel Etoo ndio alilipa Dhamana hiyo, Ronaldinho akatoka. Baada ya tukio hilo Ulimwengu ulifahamu ukweli kwamba hali ya uchumi wa Ronaldinho sio kama zamani.

2.Emmanuel Eboue.
Alifilisika Baada ya Kuachana na Mke wake, Mkewe aliondoka na Mali Zote maana ndio alikuwa amesaini kwenye Hati za Umiliki.

3.Royston Drenthe
Mwaka Uliopita alipoteza zaidi ya 3.2 Million Pounds. Hali hii ilimfanya Afilisike.

4.Asamoh Gyan.
Baada ya Kuachana na Mke wake uchumi wake uliyumba, inasemekana alibakiwa na €600 tu. Mke wake alibeba mali nyingi sana baada ya Ndoa Kuvunjika.

5.David James.
Alifilisika Baada ya Kuachana na Mke wake.

6.Diego Maradona.
Mwaka 2009 alifilisika Baada ya Mamlaka ya Mapato Italia kumtaka alipe kodi ya € 42 Million aliyokuwa anadaiwa tangu akicheza Napoli.

7.Eric Djemba Djemba
Alifilisika Mwaka 2007, kabla ya hapo alikuwa na Account za Bank zaidi ya 30 lakini Madeni yalikuwa Mengi.

8.John Arne Riise.
Alichukua Mikopo sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuendesha Biashara zake, biashara zilikwama akafilisiwa ili kulipa madeni.

9.Celestine Babayaro.
Alifilisika Mwaka 2011 Baada ya kuwa na Madeni Mengi.

10.Taribo West.
Pesa nyingi zilipotea baada ya kuanza kuhudhuria Club za Starehe, hivi sasa ni Mchungaji.

NYONGEZA

Samson aliangushwa na mwanamke
Adam aliponzwa na mwanamke
View attachment 2579245
Wengi wamefilisiwa na wake zao naona hapo
 
Back
Top Bottom