Ni hivi!
Kwanza unatakiwa ujue mwanamke mwanajeshi ni kama anaoa yy,
Maana akipata mchumba anapeleka picha na jina na linawekwa kwenye faili,halafu huyo mchumba anaitwa atapewa masharti.
Ni kwamba kama kumuoa basi unatakiwa tukubaliane kua,
Wakati wowote tukimtaka usimzuie .
Unaluhusiwa kujua zamu zake za kazi,
Kama hajaludi na sio zamu yake kazini ukitutaarifu tutamuadhibu.
Kama hujakubaliana na hayo muache.
Kuhusu data za kwenye faili huyu mdada anaweza kusetiwa na akachukua data za mdogo/kaka na akazipeleka na akahojiwa yy Siku ya mwisho ataenda kuishi na muhusika.
Ilishawahi kutokea private akakubaliana na afsa ili waoane Sheria zinasema aaache kwanza kazi.akaacha na wakafunga ndoa.bahati mbaya kabla ya mwaka afsa akavuta.
Kwahiyo kutokana na mambo ya aina hii watu wanaamua kuweka data kwa staili hiyo.