Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

Huo utaratibu umekaaje mfano kwa majeshi mengine Wp wa police mwenye cheo cha inspector kuolewa na private wa jeshi?
 
Inasemekana anaweza akaoa uraiani na sio kuona askari aliye chini yake kicheo labda wawe wamelingana, so kwa mwalimu ni tofauti sababu Mwl ni raia

Wanaoana bila tatizo. Nawafahamu wana wake wanajeshi walioolewa na askari wa chini Kwa vyeo na walioolewa na wanaume waliowazidi vyeo wake zao.
 
Sijawahi kuona ndoa baina ya wnavyeo hawa wawili.. Pia sidhani kama inaruhusiwa
 
Salam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho was wiki!
Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote
Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
Wanaoa Raia sembuse private soldier
 
Ni hivi,
Taratibu zinaelekeza kuwa, wenye vyeo sawa ndiyo waoane. Yaani, afisa kwa afisa na private kwa private.

Lakini, afisa wa Kiume anaweza kumuoa private wa kike. Lakini afisa wa kike hawezi kuolewa na private wa kiume. Hivyo, muolewaji anapaswa kuwa chini kicheo kuliko muoaji. Endapo kuna ambaye atataka kuolewa nje ya masharti, basi mmoja aache kazi au figisu zihusike.

Lakini, kuolewa na raia ni ruksa na wala hakuna shida. Ijapo, kuna sheria mpya inataka kuanzishwa kuwa Mwanajeshi wa kike haruhusiwi kuolewa na raia. Sijajua kama imeshapita na itaanza kutumika lini.
Mkuu sasa hapo raia wana nini mbaka ishindikane kwa mwanajeshi wakike kuolewa na raia
 
ni sawa na kuuliza et hiv waziri anaweza kumuoa mbuge? Jibu liko obvious anaoa kama kawa
 
Kwani jioni baada ya kazi huwa wanaenda nyumbani na kuingia ndani na vyeo vyao?
 
Salam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho was wiki!
Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote
Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
We oa mke.!!!
 
jamani ifike kipendi...msizanie kuwa watu waliopo kwenye sekta za ulinzi labda pengine wao si binaadam ama...kwenye suala la kuoa ama kuolea haliangalii vyeo...mtu ata awe na vyeo hadi kwenye magari bado anaweza kuolewa ata na mchunga ng'ombe mapenzi na cheo ni vitu viwili tofauti...!
 
Uliza kàma huelewi upate ufafanuzi haiko hivo kama unavodhani
 
Back
Top Bottom