Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

Uliza kàma huelewi upate ufafanuzi haiko hivo kama unavodhani
wabongo....bwana...haya wewe unaejua nieleweshe...yani ukiona mtu kavaa zile nguo basi ndio unaona kama awezi kuingilika...mimi binafsi siku taka tuu kuoa jeshini ila hao wenye vyeo mnao waona awaingiliki wanatafuta wa kuwapenda
 
Wanaingilika vizuri sema kuna mipaka
 
jamani ifike kipendi...msizanie kuwa watu waliopo kwenye sekta za ulinzi labda pengine wao si binaadam ama...kwenye suala la kuoa ama kuolea haliangalii vyeo...mtu ata awe na vyeo hadi kwenye magari bado anaweza kuolewa ata na mchunga ng'ombe mapenzi na cheo ni vitu viwili tofauti...!
Nahisi mtoa mada aliuliza wao kwa wao (askari) nijuavyo hata me ni uwa hairuhisiwi mfano Lieutenant kumuoa private/ corplo ila ataruhusiwa kwa lieutenant mwenzake / lieutenant usu and other rank lakini ziw3 za juu. Ila wa chini wenyewe ruksa (wenyewe kwa wenyewe)
 
wabongo....bwana...haya wewe unaejua nieleweshe...yani ukiona mtu kavaa zile nguo basi ndio unaona kama awezi kuingilika...mimi binafsi siku taka tuu kuoa jeshini ila hao wenye vyeo mnao waona awaingiliki wanatafuta wa kuwapenda
Acha kujifanya mjuaji. Kisheria afisa hawezi kuoa au kuolewa na askari wa kawaida Ila anaweza kuoa au kuolewa na mchunga mbuzi
 
Salam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho wa wiki!

Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote.

Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
Nini afisa cadet hata yule canali mlinzi wa mama anapigwa pumbu vizuri tu na wananzengo wasiowahi hata kukanyaga jeshini......anainamishwa kidog dog fresh tu na viuno anakata huku akiulilia mpini
 
MaaAmiri Jeshi wakuu Kikwete na Magufui walioa waalimu wa Primary sembuse Private aliyepiga kwata
 
Mi nimepata dem mjeshi, yuko poa sana, loyal na pia social, nataka nibebe huo mzigo. Tuombeane kheri

We mbulushi unaniangusha sasa

Inamaana hujui huyo mwanamke akiwa lindoni usiku pembeni ya mwanaume atakusaliti
 
Nahisi mtoa mada aliuliza wao kwa wao (askari) nijuavyo hata me ni uwa hairuhisiwi mfano Lieutenant kumuoa private/ corplo ila ataruhusiwa kwa lieutenant mwenzake / lieutenant usu and other rank lakini ziw3 za juu. Ila wa chini wenyewe ruksa (wenyewe kwa wenyewe)
Sawa WP
 
Samahani Dada we ni PW au MTM ?
 
Nini afisa cadet hata yule canali mlinzi wa mama anapigwa pumbu vizuri tu na wananzengo wasiowahi hata kukanyaga jeshini......anainamishwa kidog dog fresh tu na viuno anakata huku akiulilia mpini
wenye vyeo hao huwa ni watamu sana.Just imagine mtu na cheo chake anatepeta mbele bholo,raha sana ukimkuna vizuri.
 
Nini afisa cadet hata yule canali mlinzi wa mama anapigwa pumbu vizuri tu na wananzengo wasiowahi hata kukanyaga jeshini......anainamishwa kidog dog fresh tu na viuno anakata huku akiulilia mpini
Mkuu umejibu kwa dhana potofu.

Ipo hivii:

Enzi za 'chama kimoja' hiyo kuoana kamchamganyikeni ilikuwepo, yaani waliruhusiwa kuoana bila kuangalia vyeo vyao vya mabegani.

Baadaye ikaja sheria, kuanzia nyota1 hadi cheo cha juu cha mwisho kwa maafisa wanaruhusiwa kuoana.

Na private hadi warrant officers wanaruhusiwa kuoana.

Ni marufuku kwa afisa na askari kuoana seuze kukonyezana, huchukuliwa kuwa ni utovu wa nidhamu uliopitiliza.

Raia mwanamke ama mwanaume anaruhusiwa kuoa ama kuolewa na mwanajeshi wa cheo chochote bila pingamizi ama kikwazo chochote.
 
Back
Top Bottom