Je, aamue Kuendelea na kazi ama aende Chuo?

Achana na ujinga wa kusoma, kikubwa Kwa sababu upo sector binafsi anzisha side work nyingine na hakikisha inasimama na inakupa matunda, why coz private sector sio Mahali salama kabisa Hasa Kwa mtu mzima mwenye familia utafukuzwa kazi anytime ndugu,kuwa salama ni kuwa na kazi yako
 
Kabisa mkuu ,yaani uache hela kisa Shule? Kwani hawezi kusoma huku akifanya kazi? Mbona wengi wanafanya kazi huku wanasoma.
Kweli kabisa, ikimfaa hii itabidi afanye japo chuo ni full time
 
Ana biashara chache tu, lakini ujumbe utamfikia huu
 
Asome Open University ili aendelee kujikimu na kuhudumia familia kupitia salary.
Mazingira ya nchi yetu siyo rafiki kwahiyo akiacha kazi kuipata tena ni mtihani akumbuke umri unasonga na watoto wanakuwa watahitaji elimu bora.
 
Hakika! Asante sana mdau. Atafarijika sana kwa namna ushauri unatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…