Fanya kazi,hata kama unabiashara zako mkeo anasimamiaHebu tusaidie hapo tuna shauri vipi? Nimeiweka hapa ili vipanga msaidie kuichakata
Asome OpenHabari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu. Ana mke na watoto,
Na kama akijiendeleza atakuwa nje ya mfumo wa ajira.
Karibuni wanajukwaa kwa ushauri wa manufaa yake na wengine.
Asanteni!
Ila now nikiamua kusimama na kampuni naipiga kama part time hukosi 1m monthlyInahitaji maamuzi magumu sana mkuu
Aende open universityHabari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu. Ana mke na watoto,
Na kama akijiendeleza atakuwa nje ya mfumo wa ajira.
Karibuni wanajukwaa kwa ushauri wa manufaa yake na wengine.
Asanteni!
Kuna BAADHI ya vijana hujua mapema katika umri mdogo yaani wafuate elimu au wafuate kazi/ biashara/ kukimbiza pesaHahahahaaa unapiga kwenye maumivu! Ila nimevaa viatu vyake sasa, wajuzi wa mambo msaidie
Chuo cha HOVYO watu kibao humu wanakilalamikiaAende open university
Asante sana mtaalam umeweka vizuri sanaUnadhani hiyo shahada unayoitafuta ndo itakuza uchumi wako? Hujaona madaktari na maprof. machawa? simaanishi ni masikini ila hizo elimu kubwa walizonazo ziko overated.
Pambana ndani na nje ya mfumo wa ajira, kuwa mbunifu.
Aminia mwanangu, Ufafanuzi wako wa ujumbe umefika sawasawa.Kuna BAADHI ya vijana hujua mapema katika umri mdogo yaani wafuate elimu au wafuate kazi/ biashara/ kukimbiza pesa
Kwenye maisha unatakiwa ujue your purpose hizo pesa unazo lipia chuo Bora uzifanye mtaji
Otherwise kama familia na watoto vipo comfortable unaweza kuendelea chuo kikuu kama unasoma ili apate pesaaa/ KAZI ya malipo ya juu
Hio dream Bora uiamishie kwa wanao waza kupata pesaaa nyingi hiyo diploma itoshe kukupa maisha wekeza kwenye kusaka pesa na kuwekeza kwenye biashara
Yaah ni kweli kabisa hawako serious na pesa za watuChuo cha HOVYO watu kibao humu wanakilalamikia
Nimevaa viatu vyake kwa sasa, kuhusu ajira/wanaoomba ajira katika kampuni yao sina taarifa zaidi mwanaHivi ukisema ni wewe ndio unaomba ushauri utakufa???
We jiulize swali moja alafu chukua hatua, kwenye hiyo kazi unayofanya, kazi hiyo hiyo unayofanya kunaa watu wana Degree wameiomba alafu wanafanya au hakuna