Hapana, Hapana, Hapana.Dogo ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha. Anafanya classic comedy. Akiendelea kuongeza bidii atafika mbali sana. Tanzania tuna vipaji vingi sana.
Big up sana Jaymond unafanya kazi nzuri sana.
Sicheki hovyo.. Nina hela zenye kutatua kila tatizo langu.. Sijui unataka nitafute kiasi gani cha fedha.Tafuta hela bro. If u get money almost everything is funny
Unataka uniambie kundu lako liko katikati ya matako yako mawili?One buttock does not support the anus
Umechemka mkuu. Una mawazo ya kimasikini sana and u know what i got Povertyphobia. Huwa naugua niki interact na mtu mwenye mawazo ya kimasikini kama wewe cause am.not confortable with ur thoughts. Watu wenye roho za kimasikininsiku zote huwa wanakuwaga na roho mbaya and they cannot appreciate kitu mwingine anafanya.Unataka uniambie kundu lako liko katikati ya matako yako mawili?
Jaymond ni Comedian wa kawaida,...ila akikaza na akiwa mbunifu atatoboa,...mi ni shabiki yake wa muda so namfahamu toka ana anza,in short yupo poa zaidi ya jana lakini aongeze ubunifu,soko la Short crip comedy limeingiliwa na kila mtu,hivyo kuna vijana wapo kitaa wanajua na wakipata platform hawa walipo watapata changamoto..Kwanini unasema ni wa kawaida?
Ni kweli mimi huwa sikubaliani na kila mtu hata mimi mwenyewe mambo yangu siyo yote nayakubali ije kuwa mtu mwingine !!Umechemka mkuu. Una mawazo ya kimasikini sana and u know what i got Povertyphobia. Huwa naugua niki interact na mtu mwenye mawazo ya kimasikini kama wewe cause am.not confortable with ur thoughts. Watu wenye roho za kimasikininsiku zote huwa wanakuwaga na roho mbaya and they cannot appreciate kitu mwingine anafanya.