Jaymond wa Instagram

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,934
26,633
Dogo ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha. Anafanya classic comedy. Akiendelea kuongeza bidii atafika mbali sana. Tanzania tuna vipaji vingi sana.

Big up sana Jaymond unafanya kazi nzuri sana.
 
Hapana, Hapana, Hapana.
Hujawahi kunichekesha wala huna kipaji hicho.
Naona Jay mwenyewe unajipa promo!
 
Wa kawaida sana huyo dogo nani sijui Jaymond...huyo dogo haingii hata mara moja kwa somebody like Oka-Martin,kile kingine sijui ki Dully Vany kinajuajua kidogo ila kimeanza kiburi siku hizi,......
 
Unataka uniambie kundu lako liko katikati ya matako yako mawili?
Umechemka mkuu. Una mawazo ya kimasikini sana and u know what i got Povertyphobia. Huwa naugua niki interact na mtu mwenye mawazo ya kimasikini kama wewe cause am.not confortable with ur thoughts. Watu wenye roho za kimasikininsiku zote huwa wanakuwaga na roho mbaya and they cannot appreciate kitu mwingine anafanya.
 
Wa kawaida sana huyo dogo nani sijui Jaymond...huyo dogo haingii hata mara moja kwa somebody like Oka-Martin,kile kingine sijui ki Dully Vany kinajuajua kidogo ila kimeanza kiburi siku hizi,......
Kwanini unasema ni wa kawaida?
 
Kwanini unasema ni wa kawaida?
Jaymond ni Comedian wa kawaida,...ila akikaza na akiwa mbunifu atatoboa,...mi ni shabiki yake wa muda so namfahamu toka ana anza,in short yupo poa zaidi ya jana lakini aongeze ubunifu,soko la Short crip comedy limeingiliwa na kila mtu,hivyo kuna vijana wapo kitaa wanajua na wakipata platform hawa walipo watapata changamoto..
 
Umechemka mkuu. Una mawazo ya kimasikini sana and u know what i got Povertyphobia. Huwa naugua niki interact na mtu mwenye mawazo ya kimasikini kama wewe cause am.not confortable with ur thoughts. Watu wenye roho za kimasikininsiku zote huwa wanakuwaga na roho mbaya and they cannot appreciate kitu mwingine anafanya.
Ni kweli mimi huwa sikubaliani na kila mtu hata mimi mwenyewe mambo yangu siyo yote nayakubali ije kuwa mtu mwingine !!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom