Mimba ilichoropoka kitambo.Samahani hivi huyo dada ameshajifungua.
Mimba ilichoropoka kitambo.
Hizo ni ndoto za alinacha. Lugha inagomba!
Na mimi nimepanga kuinunua United Arab Emirates yoote kuibadilisha na kuwa mbuga za wanyama ili kuiongezea pato la taifa letu pendwa Tanzania. Wanasheria wangu na Mh. Kaga wako kwenye maongezi ya mwisho na Wawakilishi wa U.A.E.Lady Jaydee anafikiria mambo makubwa zaidi na sasa amepanga kufanya awezalo ili apate beat kutoka kwa Dr. Dre. Ataweza kweli!
DAILY ENTERTAINMENT TAKE AWAY: Lady Jaydee apanga kutengenezewa beat na Dr Dre!
Angejifunza kuimba kwanza