barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Sifa hizo za uongo ni zipi?Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi wasanii wa sasa. Wakati Sanaa imekuwa sana na sasa hakuna tena ubabaishaji kama wa zamani ...kama kipaji kipo kinaonekana na kama sauti ipo inaonekana.
Nampa Lady Jaydee heshima kuliko Zuchu au Maua Sama lakini kulazimisha kuwa lady Jaydee ni mkali kisanaa kuliko Zuchu na Maua Sama sio kweli.
Wasanii wakongwe wanastahili heshima lakini tusiwape sifa za Uongo.
Lady Jaydee hata Ray C kwenye ubora wake alikuwa hamfikii kabisa, tuwape heshima lakini sio sifa za Uongo..
Soma comments za wadau utaona ni namna gani umeandika uchafu wa kutoshaWapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi wasanii wa sasa. Wakati Sanaa imekuwa sana na sasa hakuna tena ubabaishaji kama wa zamani ...kama kipaji kipo kinaonekana na kama sauti ipo inaonekana.
Nampa Lady Jaydee heshima kuliko Zuchu au Maua Sama lakini kulazimisha kuwa lady Jaydee ni mkali kisanaa kuliko Zuchu na Maua Sama sio kweli.
Wasanii wakongwe wanastahili heshima lakini tusiwape sifa za Uongo.
Lady Jaydee hata Ray C kwenye ubora wake alikuwa hamfikii kabisa, tuwape heshima lakini sio sifa za Uongo..
ni kumkosea heshima kabisa, Zuchu ashinde mechi zake, aendelee kugawa sugar sukariAlivyopewa jina Commando na Dada Mkuu/Mkubwa walikuwa sawa kabisa..
Kwa changamoto alizokutana nazo...sioni Mwanamziki wa Kike angeyeweza kuvuka...
Pongezi kwako Jide....kukulinganisha na hao wengine wote ni kukosea heshima..
aliukataa unini?Atakuwa alikukataa. 😎😎
aah! kumbe umesema atakuwa alimkataaAtakuwa alikukataa. 😎😎
Nani kawaambia music ni kiuno?! Fikra za kiafrica hiziRay c alikuwa full package
Melody,kiuno sio powa, alikuwa anauzika
Jay dee kiuno kigumu kama shoka
Zuchu ana lipi sasa aliloliimba mkuu?Binafsi Zuchu namuona kama kituko tuWapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi wasanii wa sasa. Wakati Sanaa imekuwa sana na sasa hakuna tena ubabaishaji kama wa zamani ...kama kipaji kipo kinaonekana na kama sauti ipo inaonekana.
Nampa Lady Jaydee heshima kuliko Zuchu au Maua Sama lakini kulazimisha kuwa lady Jaydee ni mkali kisanaa kuliko Zuchu na Maua Sama sio kweli.
Wasanii wakongwe wanastahili heshima lakini tusiwape sifa za Uongo.
Lady Jaydee hata Ray C kwenye ubora wake alikuwa hamfikii kabisa, tuwape heshima lakini sio sifa za Uongo..
Kwamba umeona hilo tu?Nani kawaambia music ni kiuno?! Fikra za kiafrica hizi
Umemaliza kila kitu. Mjadala ufungwe. Binafsi nimefanya muziki wa Hip Hop. Nimerekodi kwa Amba AB Records na Lamar lakini ilikuwa nikiwasikiliza Wasanii wa zamani naona kabisa siwezi kupenya. Sasa hivi ningesema niwekewe autotune na Beat nzuri, basi nimemaliza.I am a music producer, sound engineer, and vocalist.
Waimbaji wa zamani watabaki kuwa bora wakati wote. Nasema hivo kwa sababu;
1. Waimbaji wa zamani hawakuwa wanategemea sana effects za studio kwa ajili ya ku-tune sauti zao. Sauti zao zilikiwa ni hivo hivo zilivyo.
2. Waimbaji wa sasa hivi ukiwavua "Autotune" sauti zao ni mbaya mbaya tukizitoa huko kwenye platforms mtawachukia. Hata baadhi yao huwa wanajistukia. Ukimaliza tu kumrecord anakuambia niwekee Autotune.
3. Waimbaji wa zamani walikuwa sio wavivu kiuandishi, na walikuwa wakiandika kwa kufuata sheria za uandishi wa nyimbo.
Of course wapo waimbaji wa kike wazuri ila ni wale waliopita THT au waliotokea makanisani au waliokuwa wanaimba Kaswida.
4. Wasanii wa hivi sasa hata ukimuuliza Bridge/daraja katika music ni nini? Hajui.
Mi ni hayo tu machache, sitaki nimfukuze Zuchu bado sijaruka naye duniani. 😂
Mwe..hu hiyo point ya kipumbavu eti kiuno kigumu maamuma mkubwa p.wahedKwamba umeona hilo tu?
Kuwa na akili we pumbavu
Kweli nyimbo ya "honey" na " chapati" zimekuchanganyaWapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...
Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi wasanii wa sasa. Wakati Sanaa imekuwa sana na sasa hakuna tena ubabaishaji kama wa zamani ...kama kipaji kipo kinaonekana na kama sauti ipo inaonekana.
Nampa Lady Jaydee heshima kuliko Zuchu au Maua Sama lakini kulazimisha kuwa lady Jaydee ni mkali kisanaa kuliko Zuchu na Maua Sama sio kweli.
Wasanii wakongwe wanastahili heshima lakini tusiwape sifa za Uongo.
Lady Jaydee hata Ray C kwenye ubora wake alikuwa hamfikii kabisa, tuwape heshima lakini sio sifa za Uongo..
Hapa kapendeza na anafaa kuliwa bila hata kachumbari na chumviWapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana...