Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

We bado una fikra za mwenyekiti zidumu eti?Kwa taarifa yako huu si Mwaka tisini huu ni Mwaka 2015 kizibo wewe, unaongelea miaka ambayo tulikuwa hatuna mitandao? Amka wewe hata vijijini wako up to date wanaisoma JF

Unadhani miaka ya tisini hakukua na mitandao au wananchi walikuwa hawapati taarifa za uchaguzi?
 
Unaongelea mwaka 95 wakati CCM ingari imara, tena na Nyerere alikuwa yu ngali hai.....leo mwaka 2015 CCM i vipande vipande chini ya M/kiti JK, Kinana na Mangula ni kama wanalazimishwa kufanya kazi, MKAPA,MWINYI,KARUME na wazee wengine kama kina Warioba na Butiku wnatamani CCM ife waangalie ustaarabu mwingine.

= ingali
 
Una uhakika huko CCM hakuna mamluki?

Ninyi watu mnaofanya vyama vya siasa kama uumini wa dini huwa mnashangaza sana...

Kuna watu wanaamini CCM inapaswa iwepo madarakani milele...

Kuna watu wanaamini mtu kuhama chama ni usaliti...

Hivi CCM mmeifanyia nini hii nchi hata mjigambe kuwa mtu hapaswi kutoka huko kwenu na kwenda kwingine?

Mkuu umeongea jambo kubwa sana ni wachache mno wanaolitambua hilo,wanajiaminisha watatawala milele.Sio kweli huu ni wakati wa madiliko hata mtu asijua siasa anakuambia anataka mabadiliko
 
Mkuu umeongea jambo kubwa sana ni wachache mno wanaolitambua hilo,wanajiaminisha watatawala milele.Sio kweli huu ni wakati wa madiliko hata mtu asijua siasa anakuambia anataka mabadiliko

Mamluki anayegombea urais??
Kamwe hakuna
 
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!

ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.

Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.

Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Bila ya kuing'oa CCM kwenye utawala, Stori za kitoto kama hizi hazitaisha. Watoto wanaangalia sinema za ngumi basi tayari wanajua ujasusi.

Vitoto vya shule za kata vingi sana humu JF. Vikishaenda JKT miezi mitatu kulimishwa mahindi na maharage tayari ni vijasusi.

Naweni miguu, kojoeni mkalale. Siwapi soda msije mkaharibu godoro!!!!
 
wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.

lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
mliberali upo sahihi. I agree withyou.
 
Last edited by a moderator:
Ccm bila wizi wa kura hamuwezi kushinda...tumeshuhudia juzi tuu mlivyo ibiana wenyewe kwa wenyewe....
 
Back
Top Bottom