wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.
lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Na sasa wanafanya nini mkuu mana naona umeandika "walijitahidi"Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
msiwe biased watanzania sasa tumeelimika na tumechoka, tumeichoka ccm na viongozi wake wazembe, tumechoka kusikiliza ngonjera zenu za amani ya kinafiki, tumechoka kusikia ccm ikijisifia kuwa imeleta maendeleo ambayo mm nayaona ni kiini macho ili muendelee kubaki madarakan, tumechoka kuona sheria zikivunjwa kwa maslah ya watu wachache na sasa hivi c.cm kimekuwa pango au ficho la wafanyabiashara haram za madawa ya kulevya, pembeza ndovu na rasilimali nyingi za taifa..... ccm wanadhan watanzania ni wasahaulifu wa kufuatilia maendeleo ya nchi yetu, hatuko tayari tena kuendelea na viongozi ambao ni waoga wasiokua na ujasir wa kuitetea nchi yao kwa mfano suala la mikataba mibovu ya uwekezaji hususan kwenye madini ni matokeo ya mfumo mbov wa utawala wa chama cha mapinduzi na viongoz wao kuwa wa hovyo kabisa. Wapo wanaoishabikia sisiem kwasababu wamepewa khanga, vilemba, madera, kilo moja ya sukari au kofia na kujisahau ya kua wanaandaa taifa bovu.. kwa hili mimi huwa ninasema na nitaendelea kusema CCM MTAJI WAO NI UJINGA, ila sasa watanzania wengi wanaufahamu na wataihukumu Ccm kisawa sawa....
unaongelea mwaka 95 wakati ccm ingari imara, tena na nyerere alikuwa yu ngali hai.....leo mwaka 2015 ccm i vipande vipande chini ya m/kiti jk, kinana na mangula ni kama wanalazimishwa kufanya kazi, mkapa,mwinyi,karume na wazee wengine kama kina warioba na butiku wnatamani ccm ife waangalie ustaarabu mwingine.
Mrema hakufukuzwa,bali alijivua mwenyewe uwaziri kwenye serikali ya mwinyi.wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.
lowasa amehamia cdm baada ya kukatwa mchakato kila mtu ameshuhudia tick tack zA MWENYEKITI ,nenda kawaaminishe Ujinga wako wajinga wenzio huko mtaa wa lumumba
umejitahidi sana kuandika hisia zako za uwongo
lakini hiyo haiwezekani kuishi kwa historia.
bado naamini yaliyopita yamepita
huu ni mwaka wa mabadiliko.