Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Bi hadija mke wa mtume alikuwa ni mfanyabiashara na kiongozi aliyesambaza dini sana karne ya 6.
Alikua ana cheo gani?, Ninavyojua mwanamke wa kiislamu hata kwenye mimbali hasogerei kukiwa na wanaume, hebu toa ushuzi wako jaribu kuficha ujinga
 
Rais bora atasifika tu kwa kuwaungaisha wananchi wake kuwa kitu kimoja, kusikiliza ya upande wa pili nayo yakoje na mwisho kabisa kukuza demokrasia na utawala bora kwa kfuata Katiba na sheria zilizopo.

Hata sisi wababa majumbani mwetu mbona siku hizi tunasemwa sana tu na watoto wetu hawa wa .dot com ila hatukasiriki - unaambiwa " Dad every day your come late at home, do you think this is way of living..eating your dinner with your friends and not with your familly?" mtoto wa miaka 6 anakuambia hayo ila unakubali na unasema "Sorry " yaishe na maisha yasonge. Lakini nina uwezo wa kumbandika kofi moja tu ili asirudie tena na iwe fundisho wa wenzake kwamba baba hachezewi chezewi hovyo.

Demokrasia ndiyo kipimo pekee ya kiongozi yoyote shupavu duniani and not otherwise, ruhusu mijadala iendelee hata kukuhusu wewe ili upate muda wa kujisahihisha ukiwa ungali madarakani.
 
Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....

Uko Afrika.....

Waafrika tuna demokrasia yetu.....
Demokrasia ni moja tu dunia nzima. Hakuna ya afrika. Sasa mnataka maendeleo kama Sweden ambayo ina demokrasia na utawala bora alafu hamfuati principles of democracy!! Hamtofika kamwe.
 
Swedeni hakuna demokrasia ila kuna kukubaliana kuwa na matendo yasiyozingatiwa uwepo wa Mungu hivyo kila mwenye hisia zinazomfurahisha anaruhusiwa kuzifanya.

Siku serikali ikiondoa utaratibu wa mtu asiye na kazi kupata malipo ya mshahara ndipo utajua kilichoficha madai kwamba demokrasia utayaona bayana maana binadamu ni sawa na mnyama kasoro uwezo wa kufikiri na kutenda unatofautiana.
 
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

Mkuu Mapesa tuko pamoja, doing good
 
Safi Sana
 
Labda jarida la nungwi
 
Kazi iendelee mama
 
Kumbuka kuna Wa Far East weusi yaani nchi za Ufilipino, Indonesia, Singapole, Malasia nk.
Kuna Waarabu weusi
Kuna wahindi weusi
Kuna Waafrika weupe pe kabisa.

Hapa ulikuwa unamaanisha
Mtu yeyote mwenye rangi nyeusi au
Waafrika wote
Wote wenye asili ya Afrika
au
Wenye asili ya Afrika wanao ishi ndani ya bara la Afrika ?
Weusi wenye asili ya AFRICA hata kama kazaliwa ulaya kama wakina LIL WYNE
 
Back
Top Bottom