Jarida la burudani la Sani limepoteleaga wapi

Jarida la burudani la Sani limepoteleaga wapi

Kila jambo hapa duniani, mwanzilishi wake 'akivuta', jambo hilo huishia kusambaratika na kufa kifo cha kawaida.

Hata akatokea mrithi, huwa hawezi kulipeleka kama mwanzilishi alivyoliendesha.

Kadhia ilianza pale mchoraji wao nguli Kaduma kufariki kifo cha mapema pamoja na waandishi wengine.

Waliofuatia hawakufikia viwango vya waanzilishi.

Na mabadiliko ya teknolojia ya mawasiliano, hasa simu janja kuzagaa mikononi mwa wadau, ndiyo basi tena.
Mkongwe alikua mhariri wa jarida la Sani
FB_IMG_1624389717480.jpg
 
Mbona sokomoko bado nipo mkuu?

Hivi majarida yanapatikana wapi kwa sasa online tena yale ya zamani?
green rajab
 
Hivi gazeti lenye wanawake wenye mizigo ya maana lilikuwa ni sani au?
 
Hivi gazeti lenye wanawake wenye mizigo ya maana lilikuwa ni sani au?
Huyo anty soni, aliyechorwa
Kiukweli kiuhalisia alikuwa na
Zigo kweli kweli
Miaka ya nyuma kila baharia
Aliyekuwa anatoka nje,alikuwa
Anamvizia

Ova
 
Naweza kutoa dau nipate nakala za Bongo kuna Njomba nchumali,. Ob mikwara, Naitwa Kiokote n.k sani pia ningependa sana kulipata
 
Huyo anty soni, aliyechorwa
Kiukweli kiuhalisia alikuwa na
Zigo kweli kweli
Miaka ya nyuma kila baharia
Aliyekuwa anatoka nje,alikuwa
Anamvizia

Ova
Hivi wale watu walikua halisi?
 
Back
Top Bottom