raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,508
- 35,697
Kipindi cha nyuma naona agenda kulikua hamnaSana mkuu toleo la mwaka 1986 hiloView attachment 1826856
Wakikaa ofisini wanaamua tu jaman tuchore tu katuni
Kipindi cha nyuma naona agenda kulikua hamnaSana mkuu toleo la mwaka 1986 hiloView attachment 1826856
Tabora vipi wakati mishe za madenge zilikua za kimjini mjini?Itakuwa ulikuwa wa mkoani, tuliokuwa dar kipindi hicho tulikuwa tunajua madenge na wenzie wanaishi tabora huko
Kabisa ilo la mwaka 85Kipindi cha nyuma naona agenda kulikua hamna
Wakikaa ofisini wanaamua tu jaman tuchore tu katuni
Mzee baba unayatoa wapi haya makituKabisa ilo la mwaka 85View attachment 1826868
Kaanza kunyoa kiduku kitamboTabora vipi wakati mishe za madenge zilikua za kimjini mjini?
Mkuu ninayo baadhi kwenye maktaba yanguMzee baba unayatoa wapi haya makitu
Ndio maana me nilidhani kwao ni dar.Kaanza kunyoa kiduku kitamboView attachment 1826873
Kweli umetunzaMkuu ninayo baadhi kwenye maktaba yangu
Ndio mkuu old is goldKweli umetunza
Mkuu ninayo baadhi kwenye maktaba yangu
Na riwaya zake tamuSANI-Said(MM Bawji) na Nicco(Yembajo) walikuwa wabunifu sana.
Nicknames tatu za watu maarufu wa kipindi hiki zimetoka kwenye gazeti la Sani.
Mzee Meko a k a Mwendazake (R I P), Lodi Lofa(R I P) na Betina.
Dah kweli umenikumbusha jarida la ambhajapo umechanganya wahusika wa majarida yote-sani,tabasamu,bongo.
kwa wakati huo hizi ndio zilikuwa instagram na facebook zetu.
mlezi wangu alikuwa anayaleta yote matatu kila mwezi akitoka town kufata mshahara,yaani unapokea mizigo huku mawazo yako yapo kwenye majarida.kuna jingine lilitwa ambha,lilikuwa na mashairi kibao.
uzuri wa haya madude yalisheheni visa visivyochosha kusoma,unaweza rudia hata mara tatu unaenjoy tu.
Mapung'o alikuwa gazeti la Bongo siyo sani. Na timu aliyokuwa anachezea na mlimani rangers. Star wa football bush stars alikuwa mzee meko, anazungusha kandanda Messi akasome.Duuh! Mapungo "The Goden Boy" yule mwamba akiwa Mabush Stars.
Kwani wamehama?Ujanja wangu wote nilikua najua MADENGE Anaishi Dar.
Madenge alikuwa golikipa wa timu gani?Tabora vipi wakati mishe za madenge zilikua za kimjini mjini?