Jaribu, kutathmini IQ yako

Jaribu, kutathmini IQ yako

Life siyo simpe kiasi hicho mkuu upo ndani ya sytem au unatema cheche upo nje kama upo ndani unaelewa what it's
Nilishatoka siku nyingi baada ya kujitambua; mfano mdogo tu, kumiliki mabanda 20 ya chipsi yanakuhitaji uwe na phd?
 
Vipi kuhusu sisi tulio jiajiri tukategemea kutoboa na tukaangukia pua.. Na tumekula loss... But saiv tunajipanga upya.. bila kuchoka.. naitwa Mr IQ
Hiyo kuanguka ni sehemu ya kupata uzoefu ili ufanye kitu bora zaidi.
 
Mudi....
Sisi wenye aikyuu ndogo tuna komenti wapi Kwani
IMG-20260703-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom