Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,551
- 22,840
Kichogo upo kumbe unachekacheka tu🙂😹😹😹
Cc kichogo corn
Kichogo upo kumbe unachekacheka tu🙂😹😹😹
Cc kichogo corn
Naumwa bana 😥Kichogo upo kumbe unachekacheka tu🙂
Unaumwa nini! PoleNaumwa bana 😥
Asante!Unaumwa nini! Pole
Unafikri vitu ni rahisi hivyo?Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.
Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.
Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.
Jaribu, kutathmini IQ yako.
AliolewaYule mchumba wangu ulimpeleka wapi?
Pole my kichogolist🥲Asante!
Kichwa kilikua kinaniuma..!
R.I.P in advance 😁Tunao kaa kwa mama wa kambo 40+ years nasi una neno gani ? ajira tulikosa na kujiajiri ikawa imposible. Hapa ni mwendo wa kwenda kusaga mashineni kula kulala na kucheza bao na footblal
Ugumu unatokea wapi?Unafikri vitu ni rahisi hivyo?